Tetesi: Dr.Slaa Katibu Mkuu ajae CCM?

Tetesi: Dr.Slaa Katibu Mkuu ajae CCM?

Kuna tetesi kwamba kuna majadiliano yanaendelea kati ya marafiki wa Slaa walioko CCM na Slaa kuhusu uwezekano wa mwanasiasa huyo kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya Katibu Mkuu wa sasa Abdulrahman Kinana kumaliza muda wake.

Marafiki hao ndani ya CCM wanadai kwamba "Style" ya Mwenyekiti wao John Pombe Magufuli inaendana na Slaa na wanaamini kwamba wawili hao watakiimarisha sana chama chao. Pia inadhaniwa kuwepo kwa Slaa kutakuwa ni mwiba mkali sana kwa chama chake cha zamani CHADEMA.

Slaa alikuwa ni mwanachama wa CCM kabla ya kujiunga na CHADEMA mwaka 1995 kutokana na kutopewa nafasi ya kugombea Ubunge jimbo la Karatu kupitia CCM. Kuna wakati CCM walidai kuwa Slaa alikuwa bado analipia kadi yake na Slaa mwenyewe alikiri kwamba kadi yake ya CCM bado anayo.

Dears friends,
I kindly urges you not to undermine this thread, if you don't like to comment, why can't you jut pass through it and leave peacefully without throwing stones to the author?. Besides, don't forget that politicians do change. Who knew that Slaa could leave Chadema? or Prof could resign CUF and return again?. Who believed that one day CDM could become a traitor of their own agenda?. Generally speaking, don't give much trust in politicians, these guys are too much opportunistic.

All the best,
K
 
Kuna tetesi kwamba kuna majadiliano yanaendelea kati ya marafiki wa Slaa walioko CCM na Slaa kuhusu uwezekano wa mwanasiasa huyo kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya Katibu Mkuu wa sasa Abdulrahman Kinana kumaliza muda wake.

Marafiki hao ndani ya CCM wanadai kwamba "Style" ya Mwenyekiti wao John Pombe Magufuli inaendana na Slaa na wanaamini kwamba wawili hao watakiimarisha sana chama chao. Pia inadhaniwa kuwepo kwa Slaa kutakuwa ni mwiba mkali sana kwa chama chake cha zamani CHADEMA.

Slaa alikuwa ni mwanachama wa CCM kabla ya kujiunga na CHADEMA mwaka 1995 kutokana na kutopewa nafasi ya kugombea Ubunge jimbo la Karatu kupitia CCM. Kuna wakati CCM walidai kuwa Slaa alikuwa bado analipia kadi yake na Slaa mwenyewe alikiri kwamba kadi yake ya CCM bado anayo.
ahaaa...nikwambie kitu mkuu?
kumbe mtu wetu bila cheo hafugiki.
alikosa kuteuliwa ubunge CCM, akakimbilia Chadema.
alikosa kuteuliwa kugombea urais Chadema, akakimbilia CCM (via Serena via Canada)!
 
Leo mtu aliyekuwa anaziakuwa kwa uzee kwa kuitwa Kizee amebadilika kuwa Dili.

Kweli ninaamini ccm kuna laana kwa walioko ndani.

Ccm si ilele kuna mabadiliko gani ya kumfanya aje huku kwani hakuna jipya Viongozi ni walewale na uendeshaji ni ule usiokuwa na desturi ya Kiongozi Mtanzania.

Yaani upendo kwa unaowaongoza ili kuwa mfano wa kuigwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tetesi kwamba kuna majadiliano yanaendelea kati ya marafiki wa Slaa walioko CCM na Slaa kuhusu uwezekano wa mwanasiasa huyo kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya Katibu Mkuu wa sasa Abdulrahman Kinana kumaliza muda wake.

Marafiki hao ndani ya CCM wanadai kwamba "Style" ya Mwenyekiti wao John Pombe Magufuli inaendana na Slaa na wanaamini kwamba wawili hao watakiimarisha sana chama chao. Pia inadhaniwa kuwepo kwa Slaa kutakuwa ni mwiba mkali sana kwa chama chake cha zamani CHADEMA.

Slaa alikuwa ni mwanachama wa CCM kabla ya kujiunga na CHADEMA mwaka 1995 kutokana na kutopewa nafasi ya kugombea Ubunge jimbo la Karatu kupitia CCM. Kuna wakati CCM walidai kuwa Slaa alikuwa bado analipia kadi yake na Slaa mwenyewe alikiri kwamba kadi yake ya CCM bado anayo.

"Lisemwalo lipo..." ama mkuu Allen Kilewella nawe umejiunga na wapiga ramli maarufu humu JF?

Nauliza tu
 
slaa anataka kutumia karata kama aliyotumia LE PLOFESELI PUMBA alipojitoa cuf na cuf wakachelewa kumfukuza akawahi kurudi.
so kwa mtaji huu SLAA nae atawahi kurudi ccm kabla hajafukuzwa ili agombee ukatibu.
wana LUMUMBA na nyie kaeni kimya kama walivyokaa WANA CUF muone kitakacho tokea.
na alishasema kadi ya ccm aliyokuwa nayo ni mali yake. ameilipia mpaka 2040

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tetesi kwamba kuna majadiliano yanaendelea kati ya marafiki wa Slaa walioko CCM na Slaa kuhusu uwezekano wa mwanasiasa huyo kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya Katibu Mkuu wa sasa Abdulrahman Kinana kumaliza muda wake.
Je hilo halikufanyi ufurahi mbona unawasiwasi basi haya kwa hiyo walemadiwani waliojiuzulu ndio maandalizi ya kumpokea huyo dr. msisahau kumchukua na prf.tunawatakia mema
 
CCM wasihangaike kuongea na Slaa waongee na yule mwanamke wa Kihaya aliyeshikilia pHD ya mzee akikubali tu Dr Slaa hatokuwa na kipingamizi chochote,Penzi la mwanamke wa kihaya halijawahi kumuacha mwanaume salama Shikamoo "KATERERO"
 
Slaa aliomba ukimbizi Canada akija tena hatapoteza kibali cha ukimbizi
 
Ninavyompenda Slaa, akija ccm namimi nanunua kadi ya kjani.
 
Kama wanaweza kukaa na kina Wasira na Kaborou hata huyo watakaa naye! Keshakuwa mwenzao dhidi ya CHADEMA na UKAWA!
Hukuna Mbaya yeyote. Kama ni raia wa Tanzania, na akaridhia kwa hiyari yake hapana shida!
 
Si rahisi kwa ccm, ingekuwa vyama vingine sawa. Wapo waliojitoa na kukisaliti cdm na kuhamia ccm enzi za jk na bado wanasota hawajapewa hata uenyekiti wa kijiji... Dr slaa bado anahofu na mbowe na El, ingawa hawana nguvu kwa sasa lakini imani yake bado ni ndogo kwa hao kwa alichowafanyia kipindi kile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tetesi kwamba kuna majadiliano yanaendelea kati ya marafiki wa Slaa walioko CCM na Slaa kuhusu uwezekano wa mwanasiasa huyo kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya Katibu Mkuu wa sasa Abdulrahman Kinana kumaliza muda wake.

Marafiki hao ndani ya CCM wanadai kwamba "Style" ya Mwenyekiti wao John Pombe Magufuli inaendana na Slaa na wanaamini kwamba wawili hao watakiimarisha sana chama chao. Pia inadhaniwa kuwepo kwa Slaa kutakuwa ni mwiba mkali sana kwa chama chake cha zamani CHADEMA.

Slaa alikuwa ni mwanachama wa CCM kabla ya kujiunga na CHADEMA mwaka 1995 kutokana na kutopewa nafasi ya kugombea Ubunge jimbo la Karatu kupitia CCM. Kuna wakati CCM walidai kuwa Slaa alikuwa bado analipia kadi yake na Slaa mwenyewe alikiri kwamba kadi yake ya CCM bado anayo.

Hivi huwa Hamna kazi...............
Kutwa,kuchwa ni upumbavu tu.
 
Back
Top Bottom