- Mkuu unajua sisi watu wa mjini matusi ni kawaida sana kwanza hapa hujatukana, na siwezi kushuka hiyo level hapana, however ninakukaribisha kurudi kwenye mada anytime ukimaliza matusi yako, ha! ha! ha!
William.

Some people never grow up, ADOLESCENT mind will keep u bogus, not to get matured, & i am sure u will remain that way, na ww si mtu wa mjini GOGO wa DODOMA, shut up
- Haha ha! ha! hilarious, ukimaliza matusi yako mkuu turudi kwenye mada, ha! ha! siwezi kushuka chini kiasi hiki mkuu ha! ha! ha!
William.
- Mkuu unajua sisi watu wa mjini matusi ni kawaida sana kwanza hapa hujatukana, na siwezi kushuka hiyo level hapana, however ninakukaribisha kurudi kwenye mada anytime ukimaliza matusi yako, ha! ha! ha!
William.
Bwana Malecela Jr. Humu ndani itakuja kurukwa na akili. Sasa wewe utakuwa mtu mmoja unapingana na dunia nzima. Uwezo huo hauna kitu cha kwanza. Unajua ubishi wako ni wa kitoto usiyokuwa na maana.
1. Fedha za watanzania walipa kodi zinaibiwa, unataka wafanyeje?
2. Serikali iliyo madarakani ya Kikwete na babako ndo wezi, hiyo unasemaje?
3. Wewe baba yako amefanyiwa kitu kibaya bado unaitetea CCM akili iko wapi?
4. Unataka kuniambia kwamba hakuna kitu kama DOWANS, kwa hiyo watanzania wasiulize au ni haki ya hao majambazi kuwaibia watanzania?
Nadhani ungetafakari kilio cha walio wengi ukatumia busara kuangalia unakotoka na unakokwenda. Naona umeamua kutumia jina lako ili kundi la kikwete wakusome, sawa watakusoma. Ila watu wenyewe wamelewa wewe watakusaidia nini? Miaka yote CCM ikiwa madarakani na baba yako akiwa kinara ni kitu gani ulichokifaidi? Mkuu humu tuna machungu sana. Nchi yetu inaharibika watu kama wewe ndo wale ambao watatufukuza kuingia porini na kurudi kama wanyama wa kweli kuing'oa CCM na Kikwete.
Mimi nimezaliwa ndani ya CCM. Baba yangu bado yupo ndani ya CCM, mwenye bado ni mwana CCM tena mwenye kadi tangu 1989 ila naamua kuipinga serikali ya Kikwte iondoke madarakani. Tumechoka. Tutembelee uone ucungu wetu siyo kukaa na ndoto zako za abunuwasi. http://ufisaditanzania.blogspot.com
William you need to grow up. you are like an adolescent, there is no doubt about that. Get some help kwa maana unayoyasema humu ni mambo ambayo mtu timamu hawezi kuyasema. kama nilivyosema hapo hawalai, mimi siyo mshabiki wa Dr. Slaa wala Chadema. Mimi ni mwana CCM wa kudumu ila nimechoka na ufisadi ndani ya CCM na watu wenye akili kama yako. Bw. William tafakari ndugu zako uliowaacha tanzania wanaoumia kutokana na sra mbovu na ufisadi wa kikwete na familia yake.
- Mkuu unajua sisi watu wa mjini matusi ni kawaida sana kwanza hapa hujatukana, na siwezi kushuka hiyo level hapana, however ninakukaribisha kurudi kwenye mada anytime ukimaliza matusi yako, ha! ha! ha!
William.
- Haha ha! ha! hilarious, ukimaliza matusi yako mkuu turudi kwenye mada, ha! ha! siwezi kushuka chini kiasi hiki mkuu ha! ha! ha!
William.
- Mkuu endelea kutukana matusi ukichoka nifahamishe turudi kwenye mada, naona unajaribu kila mbinu kunitoa kwenye mada na hasa kwa kutumia matusi, hapana hizo zako sio lugha zangu, siasa sio vita wala ugomvi na huwezi lazimisha mawazo yako kwa nguvu, pole sana hapa JF inatakiwa hoja sio matusi, pole sana kaka!
- Sizuii katiba mpya, isipokuwa ninaweka tahadhari tu mapema kwamba katiba mpya ni lazima ipitishwe na bunge na as long as bunge lina majority ya wabunge wa CCM, siamini kwamba yote yatakubaliwa na kupita!, kama kuwa na haya mawazo ninakuwa matusi yote uliyonitukana so far, so be it!
William.
Stop that COMMON NONSENSE u grow up with & u possess, u r still dreaming u r papa is a PM, even u don't know what the topic is, ONE-ONE debate u r lucky Wagogo wengi i never do with MGOGO they are lazy to think na kufanya kazi, Ombaomba, Thanks to CCM ungekuwa Matonya leo
Mkuu Malecela wewe mwenyewe unajua jinsi bunge letu na wanbunge wetu walivyo. It is only recently wabunge wetu wameonesha kujali maslahi ya Tanzania kwa kiasi fulani. Mabadiliko ya katiba tunayotaka baadhi ya watanzania ni pamoja na kuwabana hao hao wabunge na chama kitakachokuwa kinatawala, are seriously saying that bunge ndio lifanye kazi hiyo? Hata kama linapolitical mandate, je ni chombo muafaka kufanya kazi hiyo? Hatuna mechanisim nyingine inayokubalika zaidi kufanya kazi hiyo? unajua kuwa sehemu kubwa ya wabunge hata katiba yenyewe hawaijui vizuri???
- Duh! what a Great Thinking, mkuu una sound to be a very inteligent person!
William.
- Mkuu hata mimi ningependa kujua unawezaje kufanya katiba mpya bila kulihusisha bunge? Ambalo majority ni CCM na wamechaguliwa na wananchi wengi, tunaambiwa kuna kamati iliyokusanya maoni ya wananchi na kugundua kwamba hawataki vyama vingi na sio siri ukweli wa siasa zetu since then unajisema wenyewe, je kwenye hili la katiba itakuwaje?
- Unaweza kuwa na political mechanism itakayowalazimisha CCM kukubali wasichotaka kwa sababu Demokraisa ni kubadili katiba kama Chadema na Dr. Slaa wanavyotaka?
- Anyways, naomba kupumzika hapa, it was nice debate people!

William Baba yako na CCM wamewasaidiaje wagogo, hata wewe mwenyewe si wangekupa kijikazi badala ya kujidhalilisha humu ndani?
- Mkuu rudi nyuma ukaone nilipoanzia, nimesema hivi wabunge wengi wa CCM wamechaguliwa na wananchi wengi kwa hiyo kama kuna ishus za katiba zitaenda kuwa approved bungeni, then CCM itakua na the upperhand ya kuamua kwa sababu ina wabunge wengi waliochaguliwa na wananchi wengi hivyo wanawakilisha mawazo ya wananchi wengi, I hope umenielewa hapo mkuu!
William.
Mkuu have a good rest. Lakini ukweli ni kwamba tukianza kufuata kila wabunge wa CCM wananochata (kwa maslahai yao) hatutafika popote tutaendelea kupiga kwata palepale.
Kuna mechanisms nyingi tu za kuweza kuipata katiba bila kulihusisha bunge,buunge lifanye kazi ya kuibariki tu. Kuna legal experts wengi tu Tanzania wenye uelewa wa sheria na wanaoweza kufanya kazi ya kuandika katiba yenye maslahi kwa Tanzania (sio kwa CCM na baadhi ya watu ndani ya CCM). So rahisi kitu kama hiki kukubaliwa na CCM, ni lazima washinikizwe na wafahamishwe kuwa si watanzania wote wanaoji-invilve kwenye siasa na sio watanzania wote waliwachagua kuwa madarakani. Tanzania ya sasa haiwezi kukosa watu 10 wanaoweza kufanya kazi ya kuandika katiba kitaalamu na kwa mtazamo wa maslahi ya taifa. Tuna wanasheria wastaafu, tuna majaji wastaafu, na wahadhiri wa sheria waliobobea kwenye mambo ya sheria, hao wanajua sheria vizuri zaidi kuliko wabunge wetu na wanaweza kuandika katiba nzuri zaidi kuliko wabunge wetu.
Ni kweli kuwa watu hawakutaka vyama vingi vya siasa. Lakini ukiangalia kati ya wale asilimia 80 waliosema hawataki vyama vingi, aslimia sitini waliweka LAKINI ambayo wataalamu walisema tasfiri yake ni mfumo mpya wa kuiwajibisha CCM na viongozi wake. Kimahesabu unaweza kuona kuwa asilimia 80 hawakurudhika na mfumo wa chama kimoja, japo hawakusema wanataka mfumo wa vyama vingi.
Anachosema JK sasa ni kama kutufanya wajinga na kutuonesha kuwa hana interest na hayuko serious, kuunda tume ya kupitia katiba ni kupoteza muda kwa kuwa kazi hiyo ilifanyika zamani, na ilitembezwa white paper na kazi ya kupitia maoni yaliyokusanywa ilifanyika, hakuna sababu ya kurudia mchakato ule tunatakiwa kwenda hatua nyingine.
Hatuwezi kuwa na katiba kama anayotaka Slaa au wanayotaka Chadema, Slaa na Chadema ni politician na political part, kuna uwezekano wanataka katiba ya kuwawekea mazingira fair ya ushindano wa kisiasa. Katiba ni more than that, inatuhusu sisi walala hoi, wakulima, wanasiasa, wanamichezo, NGO,s watu wasio na vyama, ombaomba etc etc.... so sio simpe namna hiyo. Nan ukiangalia unaweza kuona si wote hao wanaowachagua wabunge. Na ukiangalia unaweza kuona kuwa kuna wengine wameingia madarakani kwa ujanja ujanja, so huwezi kuwafanya hao ndio wawe wanafanya maamuzi ya kuandika katiba.