Elections 2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

Elections 2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

Naona Huku kwetu wameamua Kukata Umeme hawa Washenzi
 
Augustino unaonekana uko bize sana sidhani kama utapiga kura wewe una kazi nyingi sana wewe
 
We son of peasant kwa nini ulikuwa unatujaribu? Hujui kwamba unaweza kufanya watu tupatwe na presha? Maana masaa hayo mawili tumeyapangia kazi maalum: nayo ni kumsikiliza Dr. Halafu wewe unakuja na mauzauza ya ajabu hapa! Acha mambo ya utani kwenye mambo mazito wewe!
 
Mnamkumbuka kada mmoja wa ccm siku ya mdahalo wa wabunge vijana pale movenpeak, alijiandaa na swali lake, anapoingia tu mtangazaji kumuhoji nini hasa anategemea kuuliza, akajigamba lazima awakomeshe, eti wengine wameahidi mambo makubwa kama elimu, afya bure watapata wapi hizo hela! Alikua na munkari hadi generali akampa chance! Kituko ni kwamba aliliuliza kama amekurupuka vile. Kilichotokea ni kumpa macredit Zito, kwani alilijibu kwa ufasaha na kwa kujiamini hadi yule kada akawa anatingisha kichwa tu kumkubali zito.

Ndicho kitakachotokea leo kwa Dr. wa ukweli. Amini usiamini atawavuta makada wengi wa ccm kumpa kura za ndio!
 
game muhimu na mdahalo muhimu, watakaoweza rekodi watuwekee hapa!!
 
Hakiki jina lako katika kituo cha kupiga kura,mimi ,wife na totos ndani ya house tayari kura nne kamilifu za chademaaaaaa,wewe je?
 
nitajaribu simu ili kumuuliza dk slaa, endapo sitofanikiwa nitamomba generla ulimwengu kuniulizia maswla haya


1) uganda imejiunga na oic huku ikiwa na idadi kubwa ya wakirsto, wanafaidi misaada inayotolewa na taasisi hiyo. Licha ya uganda kuna nchi nyingi kama msumbiji.
Lkn kwa kuwa swala hili linazungumzwa waziwazi na waumini hao, na huku dk slaa akiwa na matumaini makubwa (kama wanavyoamini chadema sio ms) jee endapo waumini hao wakadai jee nini utakuwa msimamo wake?
Waislam watz wanataka kujiunga. Nini malengo ya chama cha chadema ktk swala hili?
Naamini generla ulimwengu ataniulizia swala hili kwa manufaa ya taifa

mbona unadhani hatashinda swali hilo kwa maana hiyo huna sababu ya kumuuliza
 
Dr. Ni kichwa jamani.amenifurahisha anaposema akipata ridhaa mawaziri hawatotokana na wabunge.
Hii itaepusha 'uswahiba' ktk baraza la mawaziri.
 
NITAJARIBU SIMU ili kumuuliza dk slaa, endapo sitofanikiwa nitamomba generla ULIMWENGU kuniulizia maswla haya

1) Uganda imejiunga na OIC huku ikiwa na idadi kubwa ya wakirsto, wanafaidi misaada inayotolewa na taasisi hiyo. licha ya Uganda kuna nchi nyingi kama msumbiji.
lkn kwa kuwa swala hili linazungumzwa waziwazi na waumini hao, na huku dk slaa akiwa na matumaini makubwa (kama wanavyoamini chadema sio MS) jee endapo waumini hao wakadai jee nini utakuwa msimamo wake?
waislam watz wanataka kujiunga. nini malengo ya Chama cha chadema ktk swala hili?
naamini generla ulimwengu ataniulizia swala hili kwa manufaa ya taifa
Ukiweka sera za udini pembeni nakwambia tutaelewana sana.
Mimi sijawahi hata siku moja kufikiria maslahi ya WAKRISTO. naangalia maslahi ya WATANZANIA.
natamani tungjiengua na hizi taasisi za kimataifa maana hiyo misaada yao ina masharti ndani yake.
Ukiona jirani anakupiga sana tafu, chunguza nyendo za mkeo
 
kwani umemsikia nani katoa ahadi ya saruji el 4? mbona dk slaa katoa ahadi hiyo. kwa hivyo kwanini tusijue msimamo wa dk slaa ktk swal hili?
jee endapo atashinda, waislam wakataka kujua nini itakuwa?
Unanilazimisha nikutukane wewe MJINGA. ulikaa lin na waislam na mkajenga hoja juu ya hili?
Wewe ni MTU hatari kwa usalama wa nchi. Nakwambia ningekuwa nakufahamu ningekupeleka mahakamani kwa kuhatarisha usalama wa nchi kwa hoja zilizoegemea kwenye Udini. Tangu lini wewe umetumwa na WAISLAM uwe msemaji wao hapa?

NAKURIPOT KWA MODS maana naona umeishiwa na hoja na unavuruga jukwaa kwa kupenyeza hoja zenye mgawanyiko wa udini. Naamini ukipata server ban tutakuwa tumewasaidia WAISLAM ambao unaharibu image yao hapa jukwaani.
 
.

Hatumchagui Askofu wala Sheikh kwenda Ikulu ni makosa kunukuu vifungu vya kitabu kimoja cha dini na kusema Dr Slaa ni Musa wetu.Unapomfananisha Dr Slaa na Musa wa kwenye Biblia unataka wapiga kura wa dini zingine wamfananishe na nani kutoka kwenye vitabu vyao vya dini? Au Hussein mjukuu wa Mtume Muhammad .Ni muhimu kuelewa na kutenganisha kwamba wapiga kura ni wa dini zote lakini Mungu ndiye mmoja kwa wote.

Vitabu vyote vya dini, Kuran na Biblia vinamtaja Musa kama Nabii wa Mungu. Kwa hiyo Musa ni wa wote. Kutaja jina hilo hakubagui mtu wa dini yoyote kati ya Uislamu na Ukristo.
 
Fisadi Kiwembe
slaa%26Rose.jpg
Umeanza sio? Tukija kwa nguvu hapa utakuja na green guard. Shauri yako
 
Back
Top Bottom