Dr. Slaa anajiamini sana kwa sababu anasimama katika ukweli always na anajua hasa nini kinachompeleka Ikulu kwa dhati yake. Nadhani hakuna swali hadi sasa ambalo hawezi kulijibu hata lile la maisha yake binafsi.
Kurushwa live akijibu maswali kutamuongezea credit kubwa kwa wananchi ambao hawajahudhuria mikutano yake na ambao either wana wrong information or are not conviced enough hasa ukizingatia watanzania wengi ni wasomaji kijuu juu tu, wasikilizaji na watazamaji wala si wasomaji wa kina.
Kwa ufupi ni wavivu wa kusoma. Hii ni fursa ambayo Dr. Slaa atatia msumari wa mwisho na mkali kwa mpinzani wake mkuu JK