Tume ya Uchaguzi Taifa umetengua maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi Nyamagana na kuamua kwamba uchaguzi utaendelea! Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now start my campaigns on the 14th of September! (SOURCE LAU MASHA FACEBOOK WALL)
The BUCK STOP WITH WASAIDIZI. Mzee Makamba ameshasema hilo muda sii mrefu.
Kama uraia wa Bashe ni makosa ya wasaidizi na mheshimiwa Masha ilibidi arudi mjini haraka sana kuweka mambo sawa, Bwana Mkulo naye inabidi arudi mjini haraka sana ili aje achapishe PAGE ZA MISHAHARA MIPYA ili sababu iwe, WAZIRI ALISAHAU KUJUMUISHA HIZO PAGES WAKATI WA BAJETI.
Hicho ni kilio kingine kwa wafanyakazi kwani itakuwa haijapitishwa kisheria na Bunge. Hii ni SERIKALI YA GUNDI GUNDI.
What a joke!
Ama kweli nchi za kiafrika ni za ajabu sana... likely vyama vya upinzani na media vitapoteza muda kwenye haya mapingamizi... badala ya uchaguzi... mwishowe uchaguzi utakuwa wa chama kimoja... yangu macho.
Chadema hawana hoja na nina imani hawataridhika na nimegundua chuki zenu ni za kidini mnamchukia JK kwa dini yake nilikipenda sana chama chenu ila ubaguzi wenu wa kidini umenifanya niwasikitikie nyie sio watu wazuri mnaweza kusababisha mauaji ya kimbari ANGALIENI SANA
Elimu inapaswa ikuongezee uwezo wa kutafakari na kumudu maisha. Lugha ya kisheria inafanana kwa sheria zote. Dr anaweza kutumia elimu ya canon laws kuzielewa vizuri sheria zingine. Na kwa kweli ukiwa umesoma, sheria unaweza kuzielewa, kwa mfano sheria inayozungumzwa hapa ya gharama za uchaguzi iko wazi juu ya ahadi zisizo ndani ya ilani ya uchaguzi. Haihitaji uwe na doctorate ya sheria!CV ya Dr Slaa
EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993
TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985
St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981
St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]
Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973
Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969
Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960
Nikiangalia hapo sioni sehemu inapoonesha kasomea sheria zetu nje ya sheria ya kanisa (Canon Law)
kidini!? Nasikia JK ni mmoja wa watu walio lelewa kwa maadiri ya kikristo na hata hiyo elimu aliyo nayo ni kanisa ndiyo lilimsaidia kufika hapo alipo ni kweli