Elections 2010 Dr. Slaa kumuwekea pingamizi Kikwete!

Elections 2010 Dr. Slaa kumuwekea pingamizi Kikwete!

Tume ya Uchaguzi Taifa umetengua maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi Nyamagana na kuamua kwamba uchaguzi utaendelea! Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now start my campaigns on the 14th of September! (SOURCE LAU MASHA FACEBOOK WALL)

Mkuu; not so clear.
 
teheee Anko Tendwaaaaaaaa je utawatenda waliokuajiri nawe utendwe? kumbuka Kenya aliyeharibu uchaguzi (KWA MTAZAMO WANGU) sio Kibaki wala Odinga bali alikuwa msimamizi wa uchaguzi aliyeponzwa na ugali wake wa baadae akasahau haki! na baadae fujo na mauaji mpaka leo ametoroka kenya! tusifike huko PTUUU eeh MUNGU Epushilia mbali! MALIZA HII KESI IKIENDA MAHAKAMA YA RUFAA ITAKUWA TENA KAMA ILE YA MGOMBEA BINAFSI WENZAKO 7 WALIOGOPA KUTENDWA WAKATUTENDA WATANZANIA MPAKA LEO TUNABAKI MDOMO WAZI! ANKO TENDWAAAA TENDA SASA!
 
Mbali ya pingamizi la CHADEMA kwa JK; ipo dalili pia NEC inaweza ikatoa hukumu ya haki kwa mapingamizi yote yaliyochakachuliwa!
 
Ama kweli nchi za kiafrika ni za ajabu sana... likely vyama vya upinzani na media vitapoteza muda kwenye haya mapingamizi... badala ya uchaguzi... mwishowe uchaguzi utakuwa wa chama kimoja... yangu macho.
 
Hivi unategemea kweli kesi ya nyani kumpa ngedere kuamua???? Huyu Tendwa ndiye aliyegombea ujumbe wa NEC ndani ya CCM na kushindwa sasa unategemea anaweza kupinga maamuzi ya chama chake kweli? Na tayari leo kaanza kusema kuwa haoni tatizo kwa CCM kuhusu ilo pingamizi ila atawaita ili kuongea noa wote.
 
The BUCK STOP WITH WASAIDIZI. Mzee Makamba ameshasema hilo muda sii mrefu.

Kama uraia wa Bashe ni makosa ya wasaidizi na mheshimiwa Masha ilibidi arudi mjini haraka sana kuweka mambo sawa, Bwana Mkulo naye inabidi arudi mjini haraka sana ili aje achapishe PAGE ZA MISHAHARA MIPYA ili sababu iwe, WAZIRI ALISAHAU KUJUMUISHA HIZO PAGES WAKATI WA BAJETI.

Hicho ni kilio kingine kwa wafanyakazi kwani itakuwa haijapitishwa kisheria na Bunge. Hii ni SERIKALI YA GUNDI GUNDI.

What a joke!

Kama unataka kulaumu wasaidizi (which is the oldest lame excuse to protect the president) tumia msemo mwingine, usitumie msemo wa "The Buck stop with...". Huu ni msemo alioupopularize Harry S. Truman alipotaka kuonyesha responsibilities zote huishia kwa rais.

Kwa hiyo ukishaanza "The buck stop with..." unanikumbusha Harry Truman na principle ya kwamba the president is ultimately responsible.

Kama Kikwete ana Ikulu yenye wasaidizi wasio makini kiasi hiki, basi Kikwete naye ana matatizo kukubali wasaidizi hawa.

Hivi kuna mtu kashawajibishwa on this? Maana yasije kuwa maagizo ya Kikwete haya halafu tunalaumu wasaidizi.

By the way, Ikulu inahusika vipi na ku vet wagombea ? Wasaidizi wa rais wanahusika vipi na hili? Hili si swala la mambo ya ndani?
 
Ama kweli nchi za kiafrika ni za ajabu sana... likely vyama vya upinzani na media vitapoteza muda kwenye haya mapingamizi... badala ya uchaguzi... mwishowe uchaguzi utakuwa wa chama kimoja... yangu macho.

More than likely Slaa atagain alienation from wafanyakazi wanaozitolea macho nyongeza za mishahara tu.
 
si ajabu ukaitwa/ukajiita Sokomomko. polee!
Chadema hawana hoja na nina imani hawataridhika na nimegundua chuki zenu ni za kidini mnamchukia JK kwa dini yake nilikipenda sana chama chenu ila ubaguzi wenu wa kidini umenifanya niwasikitikie nyie sio watu wazuri mnaweza kusababisha mauaji ya kimbari ANGALIENI SANA
 
ZIMEPITA SIKU TAKRIBAN TATU TOKA CHADEMA kuwasilisha pingamizi la kugombea uraisi Bwana kwete Jakaya.
sasa Swali langu ni hili Hawa jamaa wameianzisha Vita nzuri na ushindi wa Vita hii upo kwao, maopambano haya waliyo yaanzaisha watayaendeleza mpaka waishinde au watabaki wanahang kama walivyo zoea miaka yote..

Wakifikia hatua hii mimi sitakuwa na imani na wanachokisema na sitakuwa tayari kuwasuport kuendeleza za chinichini kuwaelimisha wenzangu kwani kutumia nguvu nyingi ambazo mwisho wake hauonekani si haja, ni gheri kukaa home na kupunga upepo..

Wanajamii naomba tujipange vizuri ili tuhakikishe lile pingamizi linakubaliwa na CCM wanakosa sifa ya kugombea uraisi mwaka huu,, wao wasubiri next time wawe chama pinzani

tusi babaike,, na Wala tusi ogope..
 
CV ya Dr Slaa
EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993
TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985
St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981
St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]
Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973
Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969
Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960

Nikiangalia hapo sioni sehemu inapoonesha kasomea sheria zetu nje ya sheria ya kanisa (Canon Law)
Elimu inapaswa ikuongezee uwezo wa kutafakari na kumudu maisha. Lugha ya kisheria inafanana kwa sheria zote. Dr anaweza kutumia elimu ya canon laws kuzielewa vizuri sheria zingine. Na kwa kweli ukiwa umesoma, sheria unaweza kuzielewa, kwa mfano sheria inayozungumzwa hapa ya gharama za uchaguzi iko wazi juu ya ahadi zisizo ndani ya ilani ya uchaguzi. Haihitaji uwe na doctorate ya sheria!
 
Kuna rushwa nyingi tu ametoa - Meli kubwa ziwa victoria, trekta kwa masisita wa kanisa moja huko karagwe Nk.
 
Mmmm tumeasha fanya makusanyo ya siri tusubiri mahesabu ya hadharani
 
Ukweli ni kuwa malalamiko yatokanayo na kampeni mhmili wake wa mwisho ni Tume kama Chadema haijajikita huko basi mahakamani lalamiko hilo halina nguvu hata chembe............
 
jayjay ungekuwa siyo mdini na wewe ungebaki ktk msimamo na mgombea umtakaye. kuondoka na kurudi kulekule ni UDINI.
 
kidini!? Nasikia JK ni mmoja wa watu walio lelewa kwa maadiri ya kikristo na hata hiyo elimu aliyo nayo ni kanisa ndiyo lilimsaidia kufika hapo alipo ni kweli

Muulize JK atawaambia. Kuna siku JK alikuwa akiwahamasisha WAISLAMU nao waanzishe shule za sekondari ili nao wasomeshe watoto wao na akawaambia WAISLAMU WENZAKE KUWA YEYE AMESOMESHWA KATIKA SHULE YA MISHENI.

Unajua WAISLAMU walisemaje: ASITULETEE MAMBO YA MAKAFIR HAPA KAMA ANATETEA UKRISTO AENDE KWENYE UKRISTO WAKE!!!!!.
 
hahahahah SASA KIKWETE AMESHA CHAGULIWA NA Wananchi wasiopenda Maendeleo ya Taifa Letu
 
Wireless internet is Available here,, kama Slaa hajashinda that means Wananchi woote hatujashinda nyi hamuoni kama tunajitusi wenyewe jamani
 
Ha ha! Wafamaji acheni kutapatapa,mambo ya udini yameingiaje hapo? mbona Lipumba kapata kura nyingi kuliko Slaa,yuko nyuma ya Jk hamchongi wala Lipumba hachongi?
 
Back
Top Bottom