Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lolkwani hizo siku tano ziko mbali?
Ya mwaka huu si mchezo!
Amini amini nakuambieni, kuna watanzania wanatuona wasaliti sisi tunaokesha kusaka uhuru wa kweli na ukombozi halisi dhidi ya wakoloni weusi.
Chama Cha Mapinduzi kimepoteza dira na mwelekeo. Huo ndo msimamo wa katubu wao mkuu aliyepita (RIP H. Kolimba). Na tangu siku hizo mpaka leo hakijapata mwelekeo zaidi ya kupapasa gizani na kupiga kelele kuwa kimeuona mwanga
Ngoja niandae 'bisi' za kutosha!
Hivi ile mishahara Kikwete aliyoahidi Mwanza imeshatoka, kama haijatoka basi rais ni mwongo na kama imetoka basi Kinana mwongo. Either of the two answers CCM watakuwa wamebanwa tu, kwa sababu kama mishahara imetoka mwezi huu basi Kikwete kakiuka sheria ya uchaguzi na kama haijatoka vile vile wanalo kwa kuwadanganya wafanyakazi. Kwahiyo iliyobaki kwao ni kuchagua bega ila safari iko pale pale.He pointed out that Mr Kikwete was the incumbent president and may use his mandate to address people's problems.
"However, none of the promises he has made will be delivered between now and election day, so the question of bribing voters does not arise," Kinana explained
Hebu rejea ktk post yangu unioneshe hicho kitu kinachoitwa UDININina kerwa sana na UDINI WENU matawafukuza watu wengi sielewi kwanini mnaweka dini mbele kuliko maslahi ya nchi....
If you can't fight them join them
kidini!? Nasikia JK ni mmoja wa watu walio lelewa kwa maadiri ya kikristo na hata hiyo elimu aliyo nayo ni kanisa ndiyo lilimsaidia kufika hapo alipo ni kweliChadema hawana hoja na nina imani hawataridhika na nimegundua chuki zenu ni za kidini mnamchukia JK kwa dini yake nilikipenda sana chama chenu ila ubaguzi wenu wa kidini umenifanya niwasikitikie nyie sio watu wazuri mnaweza kusababisha mauaji ya kimbari ANGALIENI SANA
Haaa haaa
Unajiweka Pembeni Mkuu?
Unaogopa Msongamano?
Bora utulie utafute Po-Corn ule . . . .
kweli baadhi ya watz wana roho mbaya kushinda simba ambaye akimkamata mnyama anamla,lakini baadhi ya watz wapo sawa na kobla(nyoka) ambaye yeye anajisikia raha kutema mimate na kudonoa watu bila kula!
Yaani mijitu inakasirika wafanyakazi kuongezewa mishahara wakati wenyewe mlishasema wafanyakazi kura zao kwa padri sasa yamegeuka nini?yaani mnakuwa vigeugeu kama kinyonga!acheni roho mbaya kwasababu wafanyakazi wameongezewa mishahara,nanyi mkitaka kafanyeni kazi serikalini ili muongezewe hivyo vijimishahara.wafanyakazi wanajua wa kumpa kura kama padri,jk,lipumba n.k
Soini uhusiano wowote wa post yako na topic hii hapa tunaongelea sheria zimekiukwa wewe unaongelea roho mbaya, hata kama JK amefanya vizuri kuongeza mishahara lakini kakiuka sheria. Ni sawa na kuiba chakula cha mtoto wa jirani kumpa mtoto wako ni sawa lakini umefanya kosa simple.KWeli baadhi ya waTZ wana roho mbaya kushinda simba ambaye akimkamata mnyama anamla,lakini baadhi ya watz wapo sawa na kobla(nyoka) ambaye yeye anajisikia raha kutema mimate na kudonoa watu bila kula!
Yaani mijitu inakasirika wafanyakazi kuongezewa mishahara wakati wenyewe mlishasema wafanyakazi kura zao kwa padri sasa yamegeuka nini?Yaani mnakuwa vigeugeu kama kinyonga!Acheni roho mbaya kwasababu wafanyakazi wameongezewa mishahara,nanyi mkitaka kafanyeni kazi serikalini ili muongezewe hivyo vijimishahara.Wafanyakazi wanajua wa kumpa kura kama Padri,Jk,Lipumba n.k
Nina kerwa sana na UDINI WENU matawafukuza watu wengi sielewi kwanini mnaweka dini mbele kuliko maslahi ya nchi....
If you can't fight them join them
nafikiri Tendwa ni mtu makini,ndio maaana aliwaongezea Chadema na vyama vingine kwa ujumla siku za kurejesha fomu za maadili.Hivyo Chadema msihofu na kumpa rushwa Tendwa,atatenda haki.
Mbona mlipoongezewa siku hamkumjadili na kuhofia utendaji wake wa kazi!?
Amini amini nakuambieni, kuna watanzania wanatuona wasaliti sisi tunaokesha kusaka uhuru wa kweli na ukombozi halisi dhidi ya wakoloni weusi.
Chama Cha Mapinduzi kimepoteza dira na mwelekeo. Huo ndo msimamo wa katubu wao mkuu aliyepita (RIP H. Kolimba). Na tangu siku hizo mpaka leo hakijapata mwelekeo zaidi ya kupapasa gizani na kupiga kelele kuwa kimeuona mwanga