Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Sasa kazi ni moja tu nayo ni kumnadi mgombea huyu makini. Kampeni mbele kwa mbele: mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba, kitanda kwa kitanda - mpaka kieleweke mwaka huu. Hongera Dr. Slaa! Tuko nawe.
Bora aendelee na ubunge tu.
Urais naamini atakosa ni mapema mno haraka ya nn ajipange kwanza.
Hatujachelewa. Lipumba aende Sikonge au jimbo lolote analoona atashinda ili tuunganishe nguvu!
Tatizo la upinzani, pamoja na Dr. Slaa kukubalika kwa sasa bado vyama vingine vitasimamisha wagombea, hili linanipa taabu sana
Nimefarijika sana kusikia habari hizi njema! Ninaamini ukombozi wa mtanzania upo jirani. Muda wa mabadiliko ni sasa. Ni muhimu wote tukajiunga na kuwa sehemu ya mabadiliko hayo.
Misemo ya kukatishana tamaa kuwa haiwezekani, kama vile CCM wamesaini mkataba na wananchi haina nafasi kwa sasa. Sasa ni wakati wa wananchi kuchagua maendeleo au kuchagua umaskini ambao umetawala toka enzi na enzi.
Nimehakiki kikadi changu cha kupigia kura nimegundua kuwa ninacho. Hata hivyo kura yangu pekee haitoshi. Tuwahamasishe watu wote mabibi na mabwana, mijini na mashambani, ikiwezekana kwa kufunga safari kwenda sehemu ambazo babu zetu wapo, tuwaambie ukweli huu, na tumaini jipya linalokuja.
Ujumbe huu ukifika kote, ninaamini hizo kura zitatosha tu. Hongera Dr. Slaa, muda wa mabadiliko ni huu, kwa kuwa wewe umeanza mimi nipo nyuma yako, pamoja na wote wanaoitakia nchi hii mema.
Bora angegombea Ubunge ingelipa!!!!
Mbona nimesubiri tbc kutangaza wala sijaona?
Kama hata vyombo vya habari vinaogopa kutangaza habari hii, basi yaonekana mgombea huyu anatisha kama nini. Duh!Mkubwa
Sio wewe peke yako. Hata mimi nilikuwa nategemea waseme kitu fulani. Sio TBC tu, hata ITV kimya. Wanaogopa reaction ya boss wao?
Wananchi ndio wenye nchi; na watashinda tu. Zilikuwepo dola za kirumi na zikaanguka; sembuse hii CCM ya waswahili wa pwani, ya mipasho?
Binafsi namfagilia sana Dr. Slaa.
Suala la kukaa kijiweni halipo wakuu!!
Msishangae huyu jamaa akawa rais wetu.
Hata mimi nilikua siamini kama walivyo wengi lakini kwasasa ninaamini kwa asilimia nyingi tu.
Kikwete lazima tumngoe round hii.
wafanyakazi wote tupigeni kura jameni.
Kura yako moja ndo italeta mabadiliko nchini.
nina sababu nyingi sana za kumkubali huyu jamaa.
1. The guy ana machungu na rasili mali zetu
2. He is the pioneer behind the fight of ''mafisadi''
3.
4.
5.
Kutangaza nia kwa Dr. Slaa kumewaamusha wengi, kamalaika toka March 2007 hii ndiyo post yake ya 8, leo imebidi aseme yaliyo moyoni, 'Bubu ataka kusema' si mchezo,Nakubaliana na wewe. These people will never learn. Dr. Slaa, Mbowe wanahitajika sana bungeni kwa sasa.
Nakubaliana na wewe. These people will never learn. Dr. Slaa, Mbowe wanahitajika sana bungeni kwa sasa.
Tatizo la upinzani, pamoja na Dr. Slaa kukubalika kwa sasa bado vyama vingine vitasimamisha wagombea, hili linanipa taabu sana
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema kwamba Dk. Slaa ndiye mgombea urais wa Chadema mwaka 2010.
Kikao kilichomchagua Dr. Slaa kuwa mgombea urais wa CHADEMA
More to come