Ni muda wake muafaka ipelekwe kwa wananchi haraka iwezekanavyo ili watu wainase fasta. Ila kwa jinzi ninavyoijua ccm wanaitafuna fasta na usalama wa taifa.
JAMANI - NAOMBA ISIICHIE HAPA JAMVINI - HIVI HAKUNA GAZETI LINALOWEZA KUCHAPISHA HII ARTICLE????? YAANI INAMFUMBUA MACHO ALIYEKUWA KIPOFU, NAAM KIZIWI PIA AWEZA SIKIA - NA UFAHAMU WA MTU KUFUNGUKA
YAANI CCM INATUFANYA TUNAFIKIRIA TUKIMBILIE WAPI............WAKATI NCHI YETU TZ IPO TENA NZURI SANAAAAAAAAAAA
ELLI - kunywa Juice baridiiiiiiiiiiiiiiiii - I will pay - GOD BLESS YOU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.