Dr Slaa na Dharau kwa Chuo Kikuu cha Mlimani (UDSM)

Asenga wa Pakaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
260
Reaction score
60
Dr Slaa.,Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameonyesha dharau kubwa na kukosa kwake imani kwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam maarufu kama UDSM juu ya kiwango cha Elimu kinachotolewa chuoni hapo. Kadhia hiyo imetokea pale Dr Slaa alipokuwa anajibu Post ya Mwigulu Madelu Nchemba Naibu Katibu Mkuu wa CCM ambapo Dr Slaa alisema kuwa kulingana na kauli za Mwigulu anazozitoa ni zao la Elimu aliyoipata chuoni hapo ambapo Mwigulu alipata ufaulu wa first class chuoni hapo...
sina hakika Kama Mwigulu aliwahi kujifunza kitu kinachoitwa logic katika maisha yake. Kuelewa kuwa Kaulinzako zinajikanyaga huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa, unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho

Je maneno haya ya Dr Slaa yanaukweli wowote kuwa chuo hiko kinatoa mazao yasiyofaa na kwamba anayoyasema na kuyafanya mwigulu yanatokana na Elimu yake aliyoipata Chuoni hapo..???
 
Asenga tangu ubebwe na kuwekwa ktk famili ya Baba Rizimoko na wewe unajiona ni wa Ikulu,unamua kujiita ASENGA WA "PAKAYA"...umebadili na dini upate fadhila...
 

Huyo mzede si kasoma kanuni za kanisa tu, na hata hizo zikamshinda. Anakijuwa nini huyo zaidi ya majungu na ufataani na kuitakia mabaya Tanzania.
 
Kwani uwongo kama icho chuo kinatoa elimu aina ya mchemba ni bure kabisa
 

Here we Go wale wazee wa buku 7 fc...hamkawii kuzusha na kuongeza chumvi kwenye maneno...hovi mtaacha lini kumuandama dr slaa?? Hamchoki tuu? Mwambie mwigilu aliyekutuma , dr slaa ni noumar..na tishio kubwa kwa magamba.damages aliyoipa magama ni kubwa na inaigharimu magamba...wanajita kumfahamu dr.slaa.kwa hiyo muacheni dr.slaa
 

Here we Go wale wazee wa buku 7 fc...hamkawii kuzusha na kuongeza chumvi kwenye maneno...hovi mtaacha lini kumuandama dr slaa?? Hamchoki tuu? Mwambie mwigulu aliyekutuma , dr slaa ni noumar..na tishio kubwa kwa magamba.damages aliyoipa magamba ni kubwa na inaigharimu magamba...wanajita kumfahamu dr.slaa.kwa hiyo muacheni dr.slaa...ile list of shame inawagharimu..mpaka wengine wakaukosa uwarizi mkuu..wengine miundo mbinu..yaani dr.slaa aliiisambaratisha ccm..mpaka.leo inasomba watu na malori kwa mikutano yao.hakika hamtakaa mumsahau dr.slaa
 
Ukweli uko wazi
nimesoma UDSM
kile chuo wengi wanafaulu kwa kudesa na kubebwa
ndio maana wengi hawauziki katika solo la ajira.
hatujapikwa vema katika kujitegemea au kukubalika katika solo la ajira
Ndio maan first class ya Mwigulu haina tofauti na gentleman pass ya mtu yoyote.
 
Kwahiyo akipata ridhaa ya kuongoza nchi atakifuta au ataimarisha taaluma, mbona hakusema na kuongeza kauli hiyo..!!
 

Angalia utakamatwa na mzigo unategemea kutumwa na wewe kama wenzako huko kwa madiba...................
 
Hawa watu wanadharau kila kitu, mwisho watajidharau wenyewe

Wamedharau jeshi la polisi

Wamedharau Jeshi la wananchi

Wamedharau watendaji wote serikalini, hii ikiwa na maana hata walimu

Na sasa wanadharau vyuo vyetu
 
Kweli JF imevamiwa na Vilaza wa CCM, mleta mada hujui hata kusoma na Kuelewa alichokiandika Dr.Slaa.

Embu jaribu kusoma between the lines na kisha tafakari maneno haya kwenye hiyo nukuu ya Dr.Slaa.
''Sina hakika Kama...'' kisha ''Unless mnatuambia....''

*Kifupi ni kwamba Dr.Slaa ana mashaka sana elimu ya Mwigulu anayotambia nayo(First Class Economic!!!) kinyume chake Chuo alichosomea Mwigulu kitakuwa ni kibovu sana, why? Haiwezekani mtu aliyepata elimu ya Chuo kikuu kwa uhalali kila mara akashindwa kuwa na LOGIC kwa kile anachokisema.
 

aiseeeee babayangu kwanza nagonga LIKE kubwa hata huyo kwenye a vaster yako pia alibebwa bebwa na GPA yake ya 2.2
 
Granted, UDSM is a dump, a shadow of what it used to be, if that was much to begin with.

Lakini.

Wazo kwamba logic inafundishwa shule tu nalo ni illogical.

By 19 I was teaching my teachers cosmogony, yet there was no school or class on that subject (at that level, possibly at any level) in Tanzania.
 
yeye amesomea upadre,hata sheria aliyosomea inahusiana na masuala ya kiimani,arudi kanisani,hawezi siasa
 
UDSM ni chuo kinachotoa taaluma na huduma za jamii. Hakitoi mafunzo ya ajira..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…