Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ndio jentoaiseeeee babayangu kwanza nagonga LIKE kubwa hata huyo kwenye a vaster yako pia alibebwa bebwa na GPA yake ya 2.2
Udsm ni chuo namba 6 kwa ubora barani afrika
Taja graduate watano wa mlimani ambao wamekataliwa ktk soko la ajira, taja sita amao wamekariri badala ya kuelewa.
ww unataka tujue kuwa umesoma nje huna lolote. Hako kadiploma cha kupewa badala ya kusomea ndio unaturingishia hapa??????????????? Jinga

Aiseee unaonekana umetoka kuamka na kuja kuchangia hapa JF..,rudi usingizini mzee..,usingizi ni bora kuliko kuchangia JF...Unajua category wanazotumi ku rank vyuo duniani? Au unatoa mapovu tu? Unajua kairuki ndo chuo pekee cha Tanzania kuingia vyuo 100 bora Tanzania ukiacha hicho cha UDSM? Usikurupuke kujenga hoja kwa kitu usichojua.
wewe unahisi tatizo ni nini mkuu?? na kipi kifanyike kuboresha hali hiyo..??NDUGU YANGU KAMA ELIMU UNAYOPATA HAIKUPI MWAMKO WA KUJITEGEMEA BASI HIYO SIO ELIMU.
nimesoma nje post graduate mafunzo unayopata ni ya kujitegemea na sio kusubiri kuajiriwa.
watanzania wangapi wako mitaani hivi leo wakisubiri ajira badala ya kujiajiri?
ni watanzania wangapi wa UDSM wanakataliwa katika soko la ajira kwa vile hawakubaliki ktk soko la ajira?
pale UDSM kuna la zaidi ya kukariri kwa vile wananfunzi wanaogopa SUP?/
tena walimu wa pale wakiwafelisha wanajisifu sana badala ya kuwa ashamed kwanini mwanafunzi kafeli..
wengi wanasoma kwa tensio ya kufaulu na sio kuelewa.
Granted, UDSM is a dump, a shadow of what it used to be, if that was much to begin with.
Lakini.
Wazo kwamba logic inafundishwa shule tu nalo ni illogical.
By 19 I was teaching my teachers cosmogony, yet there was no school or class on that subject (at that level, possibly at any level) in Tanzania.
Hivi na chuo cha matap tap kinachozalisha makanjanja udom ni cha ngapi.... ni chuo changu jamani lakini nisivyokipenda kile chuo...ukisoma Udom unamaliza ukiwa huipendi Tz...wenye wadogo msithubutu waje pale....Baibui kwa madada siku hizi ni lazima....Mwanafunzi mwenzako ambaye ni Ccm pale ni ruksa kukutisha atakufukuza chuo....kile chuo ni majanga ni moja kati ya taasisi zinazoichafua nchi kwa maana zote.
Hapa nimepapenda sanaUkweli uko wazi
nimesoma UDSM
kile chuo wengi wanafaulu kwa kudesa na kubebwa
ndio maana wengi hawauziki katika solo la ajira.
hatujapikwa vema katika kujitegemea au kukubalika katika solo la ajira
Ndio maan first class ya Mwigulu haina tofauti na gentleman pass ya mtu yoyote.
Dogo nikuletee kiti moto? Au ramadan hii umepunguza kubugia hiyo kitu?
watu wengine bado wana akili za kijima
ndio maana wakenya wanatupita kwa mengi, wako proud sana kwa walisoma na walio nje ya nchi
mtu kusema kasoma nje sio kuringa ni kukupa moyo nawe utafute scholarship
watanzania tumebaki na majungu na kulalamika kila siku
wenzenu wanasonga mbele nyie mnabaki na midomo yenu..
ukweli uko wazi na narudia tena UDSM haimwandai mwanafunzi kujitegemea kifikra. Mfano mzuri ni wewe kama ulisoma hapo na wengine kama kina Mwigulu. sisi wachache tumejitambua tulikotoka na tuliko.
I am not in a position to detail what you need.do your own research

Ukweli uko wazi