Dr Slaa na Dharau kwa Chuo Kikuu cha Mlimani (UDSM)

Dr Slaa na Dharau kwa Chuo Kikuu cha Mlimani (UDSM)

Mtoa mada tafadhali na ww hebu kuwa logic ni kweli mwingulu anaitumia elimu yake ktk mawazo yake anayoitoa au niambie labda kaamua kuiweka degree yake pembeni.
 
Mods peleka hii jukwaa la elimu sababu naona hoja za msingi zimeisha.

CC Invisible
 
Last edited by a moderator:
ASENGA UNATUMIKA SANA ANGALIA USIJE KUTUMIKA KIMWILI,RAFIKI YAKE MATEU NA RISASI MWAULANGO WAKO WAPI? Au hampo nao kwenye buku 7?
 
watu wengine bado wana akili za kijima
ndio maana wakenya wanatupita kwa mengi, wako proud sana kwa walisoma na walio nje ya nchi
mtu kusema kasoma nje sio kuringa ni kukupa moyo nawe utafute scholarship
watanzania tumebaki na majungu na kulalamika kila siku
wenzenu wanasonga mbele nyie mnabaki na midomo yenu..
ukweli uko wazi na narudia tena UDSM haimwandai mwanafunzi kujitegemea kifikra. Mfano mzuri ni wewe kama ulisoma hapo na wengine kama kina Mwigulu. sisi wachache tumejitambua tulikotoka na tuliko.
I am not in a position to detail what you need.do your own research

Taja graduate watano wa mlimani ambao wamekataliwa ktk soko la ajira, taja sita amao wamekariri badala ya kuelewa.
ww unataka tujue kuwa umesoma nje huna lolote. Hako kadiploma cha kupewa badala ya kusomea ndio unaturingishia hapa??????????????? Jinga
 
babayako
kuna jamaa anaitwa habari mnafanana sana. ni mapacha?

kama hata akina juliana shonza wamehitimu hapo udsm, hilo ni janga la kielimu.
 
Unajua category wanazotumi ku rank vyuo duniani? Au unatoa mapovu tu? Unajua kairuki ndo chuo pekee cha Tanzania kuingia vyuo 100 bora Tanzania ukiacha hicho cha UDSM? Usikurupuke kujenga hoja kwa kitu usichojua.
Aiseee unaonekana umetoka kuamka na kuja kuchangia hapa JF..,rudi usingizini mzee..,usingizi ni bora kuliko kuchangia JF...
 
NDUGU YANGU KAMA ELIMU UNAYOPATA HAIKUPI MWAMKO WA KUJITEGEMEA BASI HIYO SIO ELIMU.
nimesoma nje post graduate mafunzo unayopata ni ya kujitegemea na sio kusubiri kuajiriwa.
watanzania wangapi wako mitaani hivi leo wakisubiri ajira badala ya kujiajiri?
ni watanzania wangapi wa UDSM wanakataliwa katika soko la ajira kwa vile hawakubaliki ktk soko la ajira?
pale UDSM kuna la zaidi ya kukariri kwa vile wananfunzi wanaogopa SUP?/
tena walimu wa pale wakiwafelisha wanajisifu sana badala ya kuwa ashamed kwanini mwanafunzi kafeli..
wengi wanasoma kwa tensio ya kufaulu na sio kuelewa.
wewe unahisi tatizo ni nini mkuu?? na kipi kifanyike kuboresha hali hiyo..??
 
Granted, UDSM is a dump, a shadow of what it used to be, if that was much to begin with.

Lakini.

Wazo kwamba logic inafundishwa shule tu nalo ni illogical.

By 19 I was teaching my teachers cosmogony, yet there was no school or class on that subject (at that level, possibly at any level) in Tanzania.

Very well said mkuu Kiranga! Udsm is a dump
 
Hivi na chuo cha matap tap kinachozalisha makanjanja udom ni cha ngapi.... ni chuo changu jamani lakini nisivyokipenda kile chuo...ukisoma Udom unamaliza ukiwa huipendi Tz...wenye wadogo msithubutu waje pale....Baibui kwa madada siku hizi ni lazima....Mwanafunzi mwenzako ambaye ni Ccm pale ni ruksa kukutisha atakufukuza chuo....kile chuo ni majanga ni moja kati ya taasisi zinazoichafua nchi kwa maana zote.

Acha upumba.vu dogo Udom inaingiaje hapa? Kaanzishe thread ya kuijadili udom sio kujitia kujua kwinhi apa...
 
Ukweli uko wazi
nimesoma UDSM
kile chuo wengi wanafaulu kwa kudesa na kubebwa
ndio maana wengi hawauziki katika solo la ajira.
hatujapikwa vema katika kujitegemea au kukubalika katika solo la ajira
Ndio maan first class ya Mwigulu haina tofauti na gentleman pass ya mtu yoyote.
Hapa nimepapenda sana
 
watu wengine bado wana akili za kijima
ndio maana wakenya wanatupita kwa mengi, wako proud sana kwa walisoma na walio nje ya nchi
mtu kusema kasoma nje sio kuringa ni kukupa moyo nawe utafute scholarship
watanzania tumebaki na majungu na kulalamika kila siku
wenzenu wanasonga mbele nyie mnabaki na midomo yenu..
ukweli uko wazi na narudia tena UDSM haimwandai mwanafunzi kujitegemea kifikra. Mfano mzuri ni wewe kama ulisoma hapo na wengine kama kina Mwigulu. sisi wachache tumejitambua tulikotoka na tuliko.
I am not in a position to detail what you need.do your own research

Nahisi, mwigu alivyo mmafia alikuwa anaingia na madesa ktk mitihani Tu, hakuwa fair kama asivyo fair ktk siasa
 
watu wengine bado wana akili za kijima
ndio maana wakenya wanatupita kwa mengi, wako proud sana kwa walisoma na walio nje ya nchi
mtu kusema kasoma nje sio kuringa ni kukupa moyo nawe utafute scholarship
watanzania tumebaki na majungu na kulalamika kila siku
wenzenu wanasonga mbele nyie mnabaki na midomo yenu..
ukweli uko wazi na narudia tena UDSM haimwandai mwanafunzi kujitegemea kifikra. Mfano mzuri ni wewe kama ulisoma hapo na wengine kama kina Mwigulu. sisi wachache tumejitambua tulikotoka na tuliko.
I am not in a position to detail what you need.do your own research

Ndugu yangu, tatizo ni msingi-vinginevyo ni tambo za chuo tu! Yaani mtu asome st.kayumba toka primary mpaka shahada ya kwanza, halafu shahada ya pili asome nje halafu ajione amebadilika kabisa. Sio yule wa st. Kayumba-huu ni uongo. Ww huna tofauti na aliyesoma UDSM lakin anamtambia wa SJUT, kisa UDSM ni kongwe. Tatizo letu liko kwenye mfumo wa elimu toka chini. Hata ukichukua mtoto wa darasa la 3 Kenya na Tanzania ni tofauti kwa sababu ya msingi mbovu tulionao.

Tukumbuke pia, hakuna chuo dunian ambako wahitimu wake wote wana uwezo mzuri. Hata chuo kiwe kizuri namna gani, mwisho wa siku ni juhud binafsi ndizo zinamtofautisha mwanafunzi mmoja hadi mwingne. Alijisemea Chris Rock kwamba duniani kote, darasani kuna wanafunzi wachache sana wana uwezo mkubwa sana na wachache sana wana uwezo mdogo kabisa. Wengi wapo katikati. Pia tukumbuke elimu inaweza kutumia kuleta faida au hasara. Mfano ni mtu aliyegundua Bomu la Nyuklia. Huyu ni genious asiye na manufaa. Point hapa ni kwamba Mwigulu Nchemba anaweza kuwa na akili sana, lakin akaamua kutumia uwezo wake visivyo. Na ndiyo ukweli kuhusiana na Mwigulu, propaganda anaziweza na hii ni changamoto kwa Chadema.
 
babu padiri a.k.a kirusi ndani ya cdm,donge hana elimu ni form 6. mwigulu kasoma.
 
Ukweli uko wazi
nimesoma UDSM
kile chuo wengi wanafaulu kwa kudesa na kubebwa
ndio maana wengi hawauziki katika solo la ajira.
hatujapikwa vema katika kujitegemea au kukubalika katika solo la ajira
Ndio maan first class ya Mwigulu haina tofauti na gentleman pass ya mtu yoyote.

Mdau kwa hali ya sasa ambavyo kuna mwamko wa elimu na idadi wa wahitimu inaongezeka kila kukicha na idadi ya vyuo inaongezeka ni vigumu katika hali ya kawaida kutegemea wahitimu wote wakaajiriwa.Hivyo hii ni changamoto kwamba sio kila umalizapo elimu yako lazima ukupate ajira yako kinyume na enzi hizo ambazo tunaambiwa kuwa kabla mtu hajamaliza elimu yake alikuwa ameshapangiwa nafasi yake ya ajira katika idara mbalimbali serikalini na mara baada ya kumaliza shule ilikuwa ni moja kwa moja kazini tofauti na sasa ambapo mhitimu anasota mtaani mpaka miaka kadhaa anasaka ajira.Hivyo basi ni wazi kuwa wahitimu hawana budi kuwa wabunifu katika nyanja ambazo wamesomea ili kuweza kukabiliana na changamoto za ajira ambazo wanatakumbana nazo.Kuhusu kupikwa vyema katika kujitegemea nadhani mdau utakuwa umemaliza kitambo sana pale UDSM na utakuwa sio mfatiliaji wa machapisho mbalimbali kwani katika kukabiliana na changamoto ya ajira kila chuo katika mitaala yake lazima kiweke somo la ujasiliamali na kwa UDSM pale shule ya biashara(Business School) masuala ya ujasiliamali wamebobea ingawa sio wote wanaofanya ujasiliamali maana ujasiliamali sio taaluma hivyo unaweza fika pale ukapata chochote ambacho kinaweza kukupa mwanga.
 
Ahsante sana Dr. umesema nilichokuwa nasema..UDSM ni chuo cha hovyo..chuo cha kusomea madesa...mengine hayasomeki kw akutolewa copy za ubora wa chini mara nyingi.Nyingine hata herufu na figure hazisomeki hata mwalimu mwenyewe kwa miaka yote hajapata fahamu za kutengenza maswali yake aliyoyafanyia tafiti.

Lini watajibu kitu walichojifunza haswa na kukielewa, lini wanafunzi watafanya tafiti ktk vitabu na maisha halisi..wenzao vyuo vingine wakitoka wanakuja na mawazo mapya yanayowapa utajiri kabla ya kumaliza.

Haya matakataka ya UDSM hata ktk midahalo ni aibu tupu.Wamejifunza usanii hata ktk majibu..wana jinsi ya kujibu maswali utadhani wanajua wasemacho, unapokuja ktk application ndipo utaona wote kuanzia mwalimu hadi mwanafunzi hajapata concept.
 
ndugu wana jF, Shida hapa ni kwamba Mwigulu kashindwa kutuwakilisha vema sisi wana UDSM, Ktk kutetea uhalali wa 1st class yake, Hoja, mawazo na maoni ya MWIGULU Popote apitapo hayana hata chembe ya u-1st class wowote, what was education for? Wana CCM waangalieni kina Prof. Msolla, Daniel Nsanzugwanko enzi zile, na hata Kina Silinde ambae nae pia kakalia mi-digrii ile ile aliyokalia MWIGULU, Waziwazi tofauti ya Logic reasoning inajionyesha. Ingawa somo juu ya LOGIC ni very rarely taught in any educ. Level ila alikofikia MWIGULU ni msaada wa kumfikisha mbali kama base ya LOGICAL REASONING, So, lazima watu wahofu 1st class yake
 
Inaelekea uelewa wako ndugu Asenga wa Jakaya hauna tofauti na Mwigulu. Kama unaweza kushindwa kuelewa logic ya kile alichosema Dr. Slaa na badala yake ukaamua ku-spin, basi wewe na mwigulu hamna tofauti.
 
Back
Top Bottom