Dr Slaa na Dharau kwa Chuo Kikuu cha Mlimani (UDSM)

Dr Slaa na Dharau kwa Chuo Kikuu cha Mlimani (UDSM)

Inaelekea uelewa wako ndugu Asenga wa Jakaya hauna tofauti na Mwigulu. Kama unaweza kushindwa kuelewa logic ya kile alichosema Dr. Slaa na badala yake ukaamua ku-spin, basi wewe na mwigulu hamna tofauti.

mwigulu ni kiboko ya wajingawajinga,kaza mwendo kaka tuko pamoja
 
Dr Slaa.,Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameonyesha dharau kubwa na kukosa kwake imani kwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam maarufu kama UDSM juu ya kiwango cha Elimu kinachotolewa chuoni hapo. Kadhia hiyo imetokea pale Dr Slaa alipokuwa anajibu Post ya Mwigulu Madelu Nchemba Naibu Katibu Mkuu wa CCM ambapo Dr Slaa alisema kuwa kulingana na kauli za Mwigulu anazozitoa ni zao la Elimu aliyoipata chuoni hapo ambapo Mwigulu alipata ufaulu wa first class chuoni hapo...

Je maneno haya ya Dr Slaa yanaukweli wowote kuwa chuo hiko kinatoa mazao yasiyofaa na kwamba anayoyasema na kuyafanya mwigulu yanatokana na Elimu yake aliyoipata Chuoni hapo..???

Labda kwa vile fani ni tofauti kati ya vyuo walivyosoma wana sihasa hawa.
 
Dr. Slaa ni mla kondoo wa watu wengine. Dhambi ili mzidi akakimbia upadre. Na dhambi hiyo itaendelea kumtafuna polepole hadi mwisho.
 
Baadhi ya walimu tumewano kwenye majukwaa tofauti, kweli uwezo wao wa kingereza mdogo. Unapozingatia Course material ipo lugha ya kingereza basi hapo hapo unatilia mashaka uwezo wao wa kufundisha.
 
Lengo la maccm ni kuwagawa watanzania/wanachadema kila wanapopata chance. Hivyo lengo la mleta uzi huu ni kuwagawa wanachadema kwa kuwapandikiza chuki chadema wote waliosoma Udsm. Hawa ccm siku hizi wakiishiwa hoja hudivert mijadala kwa kuanzisha kauzushi ili mawazo yahamie huko na cdm wachukiane. Jitambueni
 
Dr Slaa.,Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameonyesha dharau kubwa na kukosa kwake imani kwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam maarufu kama UDSM juu ya kiwango cha Elimu kinachotolewa chuoni hapo. Kadhia hiyo imetokea pale Dr Slaa alipokuwa anajibu Post ya Mwigulu Madelu Nchemba Naibu Katibu Mkuu wa CCM ambapo Dr Slaa alisema kuwa kulingana na kauli za Mwigulu anazozitoa ni zao la Elimu aliyoipata chuoni hapo ambapo Mwigulu alipata ufaulu wa first class chuoni hapo...

Je maneno haya ya Dr Slaa yanaukweli wowote kuwa chuo hiko kinatoa mazao yasiyofaa na kwamba anayoyasema na kuyafanya mwigulu yanatokana na Elimu yake aliyoipata Chuoni hapo..???

Mwigulu Nchemba HAKUPATA first class bali katika ngazi zao za kimadaraka pale BoT yeye alikuwa Mchumi daraja la kwanza. Hakuna ubongo wa kutoa first class pale. Uzinzi, uuaji,umbea na ushirikina havina mahusiano kabisa na perfomance ya mtu darasani
 
Nilisoma UDSM ila naunga mkono alichokisema Rais Dr. Slaa.
 
Umejitahid kuandika,na nadhani buku 7 inakustahili uongezewe,lakini nikikusoma kwa undani fikra zako ni finyu kama Mwigulu Nchemba,
Ngoja nikusaidie title ya huu upuuzi wako,ungeandika hivi "MWIGULU NCHEMBA ANAKIDHALILISHA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM",kwa kurefer kauli ya Dr Slaa,hapo ingeleta maana kidogo,lakini kukaa kutegemea kujipatia umaarufu kwa kupitia jina na status ya mtu mwingine ni dalili ya wale watoto MCHELE MCHELEE...
 
Hawa watu wanadharau kila kitu, mwisho watajidharau wenyewe

Wamedharau jeshi la polisi

Wamedharau Jeshi la wananchi

Wamedharau watendaji wote serikalini, hii ikiwa na maana hata walimu

Na sasa wanadharau vyuo vyetu

inamaana ukweli huutaki
 
Dr Slaa.,Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameonyesha dharau kubwa na kukosa kwake imani kwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam maarufu kama UDSM juu ya kiwango cha Elimu kinachotolewa chuoni hapo. Kadhia hiyo imetokea pale Dr Slaa alipokuwa anajibu Post ya Mwigulu Madelu Nchemba Naibu Katibu Mkuu wa CCM ambapo Dr Slaa alisema kuwa kulingana na kauli za Mwigulu anazozitoa ni zao la Elimu aliyoipata chuoni hapo ambapo Mwigulu alipata ufaulu wa first class chuoni hapo...

Je maneno haya ya Dr Slaa yanaukweli wowote kuwa chuo hiko kinatoa mazao yasiyofaa na kwamba anayoyasema na kuyafanya mwigulu yanatokana na Elimu yake aliyoipata Chuoni hapo..???

WEWE hujui kuwa siku hizi pale hakuna kitu kwa undergraduate? fanya utafiti kidogo tu utagundua.kuna watu huwa wanaletwa field ofisini kwangu, ukiwapa kazi ya kuandika report tegemea maajabu ya dunia iwe ya kiingereza au ya kiswahili ni shida tupu.hata humu jf, Kuna GT wa ukweli walio graduate miaka hiyooo kabla ya siasa kuingizwa vyuoni ,wa miaka hii wachache sana wanao jua mambo kiukweli.
 
watu wengi wanapenda mtu mnafiki ambaye anasema umefanya vizuri wakati umefanya mabaya mfano mtu anajisaidia nje umwambie anafanya usafi
 
Dr Slaa.,Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameonyesha dharau kubwa na kukosa kwake imani kwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam maarufu kama UDSM juu ya kiwango cha Elimu kinachotolewa chuoni hapo. Kadhia hiyo imetokea pale Dr Slaa alipokuwa anajibu Post ya Mwigulu Madelu Nchemba Naibu Katibu Mkuu wa CCM ambapo Dr Slaa alisema kuwa kulingana na kauli za Mwigulu anazozitoa ni zao la Elimu aliyoipata chuoni hapo ambapo Mwigulu alipata ufaulu wa first class chuoni hapo...

Je maneno haya ya Dr Slaa yanaukweli wowote kuwa chuo hiko kinatoa mazao yasiyofaa na kwamba anayoyasema na kuyafanya mwigulu yanatokana na Elimu yake aliyoipata Chuoni hapo..???

dogo unahitaji shule... unless wewe in IMBECHILI labisa
 
Dr Slaa yupo sahihi sana, kwanza pana digrii za chu.pi na undugu. Pili wasomi wanaofundisha hapo wanamuono finyu. Tatu tabia za wasomi na mavazi yao hamna tofauti na dangulo. 4 WASOMI wengi wa chuo hicho ndio wanaongoza majanga yanayoipata Tanzania kama jk, ritz one, mwigulu aka ng.u.ruw.e po.ri au ngir.i
 
Ukweli uko wazi
nimesoma UDSM
kile chuo wengi wanafaulu kwa kudesa na kubebwa
ndio maana wengi hawauziki katika solo la ajira.
hatujapikwa vema katika kujitegemea au kukubalika katika solo la ajira
Ndio maan first class ya Mwigulu haina tofauti na gentleman pass ya mtu yoyote.

Utakuwa umesoma vyuo vikuu vya Buguruni wewe! Nitakiheshimu chuo cha UDSM daima! Na vilaza mnaodesa mpo tunajua wapo sehemu zote, lakini binafsi najivunia elimu yangu!
 
Utakuwa umesoma vyuo vikuu vya Buguruni wewe! Nitakiheshimu chuo cha UDSM daima! Na vilaza mnaodesa mpo tunajua wapo sehemu zote, lakini binafsi najivunia elimu yangu!

Unajivunia nini wewe? Kaa kimya wenda ungeonekana unabusara. Hicho chuo kinazalisha watu wengi dhaifu.
 
Sehemu kubwa ya WaTanzania TUMEUZA utu wetu. Hatuna tofauti na MACHANGU.... Tunachoongalia ni pesa.

Leo WaTanzania badala ya kutumia logic kufanya utambuzi wa hizi hujuma za WAZI, tunatete hizo hujuma. Wote hatuna tofauti na Mwigulu. Hatuna tofauti na machangu. Tumenunuliwa kwasababu ya kukosa LOGIC. TUMEKWISHA.
 
Unajivunia nini wewe? Kaa kimya wenda ungeonekana unabusara. Hicho chuo kinazalisha watu wengi dhaifu.[/QUOTE8]

Hili ndo tatizo la shule zenu za siku hizi! Wakati sisi tunasoma, ili uchaguliwe kwenda secondary ulitakiwa kuwa na ufaulu wa kutosha mfn maksi 136 kwa 150 ndo unatoka kijijini kwenda Bwiru Boys! Sasa ninyi wa siku hizi wa shule za kata maksi sijui ni ngapi na huko mnakoenda ni ombwe! Sishangai kusikia hujivunii elimu yako maana ni ya kuunga unga na kudesa. I still believe that Udsm is the best university in Tanzania! Lakini ubora pia waweza kuwa individually! Maana vilaza wanaidesa hata Harvard wapo!
 
Mtoa mada nawe ni kama Mwigulu hujatumia logic instead siasa uchwara,it takes a time for a mburula to know the other mburula(yan u to know mwifulu)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom