Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Logic inajengwa na ufahamu/ knowledge or understanding of issues. The more you learn and get to know things the more logical you become. Unaweza ukajifunza logic kama una matatizo ya kuchanganya mambo. logic pia ina levels, Huwezi ukategemea mtu mwenye elimu kama mwigulu akawa na mpangilio wa hoja usio na logic inayoendana na elimu yake, yaani hana tofauti na wasio na elimu na ufahamu kama wake. Kama hukujaliwa kupangilia hoja waweza pia ukasomea ili kuboresha kiwango chako cha logic. Ndio maana viongozi wetu wanaandikiwa hotuba
Na logic ya post yako sijaiona bado.
Hususan kwa mtazamo wa kuninukuu.