Logic inajengwa na ufahamu/ knowledge or understanding of issues. The more you learn and get to know things the more logical you become. Unaweza ukajifunza logic kama una matatizo ya kuchanganya mambo. logic pia ina levels, Huwezi ukategemea mtu mwenye elimu kama mwigulu akawa na mpangilio wa hoja usio na logic inayoendana na elimu yake, yaani hana tofauti na wasio na elimu na ufahamu kama wake. Kama hukujaliwa kupangilia hoja waweza pia ukasomea ili kuboresha kiwango chako cha logic. Ndio maana viongozi wetu wanaandikiwa hotuba
Huyu jamaa mpeni reputation ya ukweli, maana naona like haimtoshi!Kweli JF imevamiwa na Vilaza wa CCM, mleta mada hujui hata kusoma na Kuelewa alichokiandika Dr.Slaa.
Embu jaribu kusoma between the lines na kisha tafakari maneno haya kwenye hiyo nukuu ya Dr.Slaa.
''Sina hakika Kama...'' kisha ''Unless mnatuambia....''
*Kifupi ni kwamba Dr.Slaa ana mashaka sana elimu ya Mwigulu anayotambia nayo(First Class Economic!!!) kinyume chake Chuo alichosomea Mwigulu kitakuwa ni kibovu sana, why? Haiwezekani mtu aliyepata elimu ya Chuo kikuu kwa uhalali kila mara akashindwa kuwa na LOGIC kwa kile anachokisema.
...Elimu ya wakatoliki unaijua unaisikia? huwa hawabeep na kuishia na elimu akhera tu. kwa taarifa yako wanasoma mpaka kurani - ukibisha wabeep siku moja uone moto wake kama utauweza.yeye amesomea upadre,hata sheria aliyosomea inahusiana na masuala ya kiimani,arudi kanisani,hawezi siasa
We Nape, yaani tangu Migulu ajiunge na Lowasa umesusa kuwa mwenezi wa propaganda za magamba, vipi mkuu?Mods wa JF kiboko.,hawafichi mapenzi yao kwa watu na vyama vyao.,siamini hii thread imekuwa moved aisee. Hongereni sana.,tena sana mnafanya kazi nzuri.,babu anaiona.
aiseeeee babayangu unaniacha hoi sana tena pale vibwetani vya sr na academic bridge unasubiri umezeshwe hata baba rizione kpindi tunasoma nae yeye kazi yake kutupiga exzali kila siku ndio maana alipata 2.2 GPAMkuu Rombo lakini pale pazuri, unaweza kukaa pale Tbs/Atb ukawa unacheki mandhari ya library bila kuingia ndani afu unasubiri kudesa kama Mwigulu Nchemba alivokua anafanya...
Mods wa JF kiboko.,hawafichi mapenzi yao kwa watu na vyama vyao.,siamini hii thread imekuwa moved aisee. Hongereni sana.,tena sana mnafanya kazi nzuri.,babu anaiona.
Asenga tangu ubebwe na kuwekwa ktk famili ya Baba Rizimoko na wewe unajiona ni wa Ikulu,unamua kujiita ASENGA WA "PAKAYA"...umebadili na dini upate fadhila...
Huyo mzede si kasoma kanuni za kanisa tu, na hata hizo zikamshinda. Anakijuwa nini huyo zaidi ya majungu na ufataani na kuitakia mabaya Tanzania.
mkuu kama kweli unalosema ulisoma udsm basi na wewe pi ulisoma kwa kudesa
generalization uliyoitoa iko biased sana.
Dr Slaa.,Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameonyesha dharau kubwa na kukosa kwake imani kwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam maarufu kama UDSM juu ya kiwango cha Elimu kinachotolewa chuoni hapo. Kadhia hiyo imetokea pale Dr Slaa alipokuwa anajibu Post ya Mwigulu Madelu Nchemba Naibu Katibu Mkuu wa CCM ambapo Dr Slaa alisema kuwa kulingana na kauli za Mwigulu anazozitoa ni zao la Elimu aliyoipata chuoni hapo ambapo Mwigulu alipata ufaulu wa first class chuoni hapo...
Je maneno haya ya Dr Slaa yanaukweli wowote kuwa chuo hiko kinatoa mazao yasiyofaa na kwamba anayoyasema na kuyafanya mwigulu yanatokana na Elimu yake aliyoipata Chuoni hapo..???
Utakuwa umesoma vyuo vikuu vya Buguruni wewe! Nitakiheshimu chuo cha UDSM daima! Na vilaza mnaodesa mpo tunajua wapo sehemu zote, lakini binafsi najivunia elimu yangu!
Mdau kwa hali ya sasa ambavyo kuna mwamko wa elimu na idadi wa wahitimu inaongezeka kila kukicha na idadi ya vyuo inaongezeka ni vigumu katika hali ya kawaida kutegemea wahitimu wote wakaajiriwa.Hivyo hii ni changamoto kwamba sio kila umalizapo elimu yako lazima ukupate ajira yako kinyume na enzi hizo ambazo tunaambiwa kuwa kabla mtu hajamaliza elimu yake alikuwa ameshapangiwa nafasi yake ya ajira katika idara mbalimbali serikalini na mara baada ya kumaliza shule ilikuwa ni moja kwa moja kazini tofauti na sasa ambapo mhitimu anasota mtaani mpaka miaka kadhaa anasaka ajira.Hivyo basi ni wazi kuwa wahitimu hawana budi kuwa wabunifu katika nyanja ambazo wamesomea ili kuweza kukabiliana na changamoto za ajira ambazo wanatakumbana nazo.Kuhusu kupikwa vyema katika kujitegemea nadhani mdau utakuwa umemaliza kitambo sana pale UDSM na utakuwa sio mfatiliaji wa machapisho mbalimbali kwani katika kukabiliana na changamoto ya ajira kila chuo katika mitaala yake lazima kiweke somo la ujasiliamali na kwa UDSM pale shule ya biashara(Business School) masuala ya ujasiliamali wamebobea ingawa sio wote wanaofanya ujasiliamali maana ujasiliamali sio taaluma hivyo unaweza fika pale ukapata chochote ambacho kinaweza kukupa mwanga.
Dr Slaa.,Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameonyesha dharau kubwa na kukosa kwake imani kwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam maarufu kama UDSM juu ya kiwango cha Elimu kinachotolewa chuoni hapo. Kadhia hiyo imetokea pale Dr Slaa alipokuwa anajibu Post ya Mwigulu Madelu Nchemba Naibu Katibu Mkuu wa CCM ambapo Dr Slaa alisema kuwa kulingana na kauli za Mwigulu anazozitoa ni zao la Elimu aliyoipata chuoni hapo ambapo Mwigulu alipata ufaulu wa first class chuoni hapo...
Je maneno haya ya Dr Slaa yanaukweli wowote kuwa chuo hiko kinatoa mazao yasiyofaa na kwamba anayoyasema na kuyafanya mwigulu yanatokana na Elimu yake aliyoipata Chuoni hapo..???
Kweli JF imevamiwa na Vilaza wa CCM, mleta mada hujui hata kusoma na Kuelewa alichokiandika Dr.Slaa.