Hapo mkuu unajidanganya....Tumaini bado sana......na st.Augustine hawana uwezo wa kunyambua mambo kivile sema wanazuoni wa udsm wanaojipendekeza ndio wanapewa attention!
Haa haa dogo kumbe upo vp kampango kenu na yule mshamba mwenzako kakutaka yule mbunge wa viti maalum-Iringa CCM awatafutie ajira. Madogo ninyi wajinga sana
heheheheh,watafutiwe ajira na mbunge???hahaha maskin kijana wa kitanzania,amekaa katika hali ya kusubiri KUHURUMIWA TU
hapana ni reasonable doubt ,wemgi wa wanaokipaka matope udsm
1)wame disco
2)wameikosa nafsi points zilikuwa almost zitoshe
3) wivu