Mmh kuna mahusiano gani kwaniHii sio habari nzuri kwa Chadema!
Mbona mnadhihaki sana dini za wengine, hakika wewe ndiye mkamilifu?Uwongo mtupu, kipa imara imeandikwa wapi ktk Biblia? Hizo ni kama sanamu tu ambazo mbele ya Mungu ni machukizo tu.
Atabadili kanisa ili afanikishe hilo lakini itamtesaKwa mjibu wa kanisa katoliki la Roma Dr. Slaa hawezi kubariki wala kufunga ndoa kwa sababu zifuatazo:-
1. Kuna sacramenti saba ambazo ni:
1. Ubatizo
2. Kipaimara
3.Ekarist takatifu
4.upadri
5. Mpako wa mwisho
6.
7. Ndoa
Dr. SLaa alikura sacrament ya nne ambayo ni upadri, ukiisha kura sacrament hiyo, sacrament ya saba ambao ni ndoa siyo halali. Kwa hiyo Dr. Slaa hawezi kufunga ndoa sehemu yoyote ndani ya kanisa katoliki.
Kamwambie huyo aliyefungua kesi kama anataka kuolewa aje aolewe na mimiItakuwa inatambuliwa huko Canada, akija huku ni mwendo wa kesi
Yanakuhusu? Olewa wewe basi....duh...bado wanahangaika na ndoa?.hivi kwani ni lazima kuoana?mbona watu haswa ulaya wanaishi kwa mikataba tu bila ndoa?...hili la ndoa najua ni shinikizo la mchumba tu...alafu na hiyo winter huko Canada... Eh..dogo Junior lazima ampate mdogo wake...Mzee anaendekeza chini sana...LOL..
Halafu? Ndo mshahara wako utaongezeka? Fanya mambo yako achana na ya wenzakoAtabadili kanisa ili afanikishe hilo lakini itamtesa
uzunguni kila kitu kipo. mihogo ugali kisamvu hela yako tu.Kanada sijui wataishije na hakuna na mihogo.
Inawezekana kwenye issue ya sanamu wewe ni form 1Uwongo mtupu, kipa imara imeandikwa wapi ktk Biblia? Hizo ni kama sanamu tu ambazo mbele ya Mungu ni machukizo tu.
kama wewe sio mkatoliki au ni mkatoliki jina usipotoshe watu Dr. Slaa alifanya taratibu zote za kuacha upadriKwa mjibu wa kanisa katoliki la Roma Dr. Slaa hawezi kubariki wala kufunga ndoa kwa sababu zifuatazo:-
1. Kuna sacramenti saba ambazo ni:
1. Ubatizo
2. Kipaimara
3.Ekarist takatifu
4.upadri
5. Mpako wa mwisho
6.
7. Ndoa
Dr. SLaa alikura sacrament ya nne ambayo ni upadri, ukiisha kura sacrament hiyo, sacrament ya saba ambao ni ndoa siyo halali. Kwa hiyo Dr. Slaa hawezi kufunga ndoa sehemu yoyote ndani ya kanisa katoliki.
Kwani umeambiwa upadre ni useja?
Huu uchumba una miaka sasa na anayeshinikiza ndoa sio Dr....na wamekimbia kufanya hilo tendo Tz....duh...bado wanahangaika na ndoa?.hivi kwani ni lazima kuoana?mbona watu haswa ulaya wanaishi kwa mikataba tu bila ndoa?...hili la ndoa najua ni shinikizo la mchumba tu...alafu na hiyo winter huko Canada... Eh..dogo Junior lazima ampate mdogo wake...Mzee anaendekeza chini sana...LOL..
Aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa na Josephine Mushumbusi kubariki ndoa nchini Canada kabla ya sikukuu ya Pasaka itakayoadhimishwa mwishoni mwa mwezi wa tatu.
Chanzo: Gazeti
Labda hko kwenu waprotestanti ndo mtamtambua huyo kaini.Kwa taratibu za kikatoliki hawezi kuruhusiwa kufunga/kubariki ndoaHizo sakrament ni mafundisho potofu yasiyokuwepo kwenye Biblia takatifu, dr yuko huru
Jazba ya nini; Una maslahi gani kwenye hili?We mbona hunaakili? Mtu amesha sema "kwa mjibu wa kanisa katoliki" kama unachuki na kanisa hilo katie moto makanisa hayo jadili maada msenz.i wewe!