Dr. Slaa na Mpenzi wake kubariki ndoa nchini Canada

Dr. Slaa na Mpenzi wake kubariki ndoa nchini Canada

MKE-WA-DR.jpg
 
Kwa mjibu wa kanisa katoliki la Roma Dr. Slaa hawezi kubariki wala kufunga ndoa kwa sababu zifuatazo:-
1. Kuna sacramenti saba ambazo ni:
1. Ubatizo
2. Kipaimara
3.Ekarist takatifu
4.upadri
5. Mpako wa mwisho
6.
7. Ndoa

Dr. SLaa alikura sacrament ya nne ambayo ni upadri, ukiisha kura sacrament hiyo, sacrament ya saba ambao ni ndoa siyo halali. Kwa hiyo Dr. Slaa hawezi kufunga ndoa sehemu yoyote ndani ya kanisa katoliki.
Angekuwa amekula sakramenti ya 4 asingeweza kuoa tena. Lakini kwa kuwa alikura hiyo inategemea idadi ya ndio au hapana ya wapuga kura wake.
 
We mbona hunaakili? Mtu amesha sema "kwa mjibu wa kanisa katoliki" kama unachuki na kanisa hilo katie moto makanisa hayo jadili maada msenz.i wewe!
Kumbe wewe ndio unaechomaga makanisa ya wenzako sio?

Ngoja tukuchunguze.
 
Back
Top Bottom