Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa amekula sakramenti ya 4 asingeweza kuoa tena. Lakini kwa kuwa alikura hiyo inategemea idadi ya ndio au hapana ya wapuga kura wake.Kwa mjibu wa kanisa katoliki la Roma Dr. Slaa hawezi kubariki wala kufunga ndoa kwa sababu zifuatazo:-
1. Kuna sacramenti saba ambazo ni:
1. Ubatizo
2. Kipaimara
3.Ekarist takatifu
4.upadri
5. Mpako wa mwisho
6.
7. Ndoa
Dr. SLaa alikura sacrament ya nne ambayo ni upadri, ukiisha kura sacrament hiyo, sacrament ya saba ambao ni ndoa siyo halali. Kwa hiyo Dr. Slaa hawezi kufunga ndoa sehemu yoyote ndani ya kanisa katoliki.
Padri Akiwa amebeba Eukarist![]()
Kumbe wewe ndio unaechomaga makanisa ya wenzako sio?We mbona hunaakili? Mtu amesha sema "kwa mjibu wa kanisa katoliki" kama unachuki na kanisa hilo katie moto makanisa hayo jadili maada msenz.i wewe!