Dr. Slaa na Mpenzi wake kubariki ndoa nchini Canada

Dr. Slaa na mchumba wake bhana ...
 
Sacrament zipo 7
1. Ubatizo
2. Kipaimara
3. Ekaristi Takatifu
4. Kitubio/Maungamo
5. Mpako wa wagonjwa
6. Daraja ya Upadre
7.Ndoa
 
Dr willibrod Slaa anatarajia kuibariki ndoa na mkewe josephine Mshumbushi siku chache zijazo,Taarifa ambazo gazeti hili zimezipata kutoka kwa watu wa karibu na familia ya Dr Slaa zimedai kuwa kasisi huyo wa zamani na mkewe Josephine,Watabariki ndoa yao nchini kanada kabla ya maadhimisho ya dikukuu ya pasaka.
Chanzo:Mtanzania
 
Mkewe walioana lini? Waseme wanafunga ndoa na sio kubariki ndoa.
 
Yuda ni yuda tuu...bora kaenda kufungia mbali!! nani mdhamini wa hiyo ndoa
 
Naapa ipo siku akili ya Slaa itazinduka tu na kujua huyo mwanamke sio.
 
Kuna tetesi kuwa kiongozi mmoja wa chama chake kipya kinachomuweka mujini ndo atakuwa best man.
 
na hivi kule ndoa za traditional hazitambuliwi na serikali,hapa Rose kamili imekula kwake.Ila kama kweli wameomba ukimbizi Canada maana yake hawatakuja tena Tanzania unless wapate uraia kabisa wa canada,Maana according to sheria mkimbizi akishapwa hati ya ukaaji wa ukimbizi haruhusiwi tena kwenda kwenye nchi yake aloikimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…