Watu wengine bwana
Eti anahuliza chadema itawezaje kuweka serikali imara kam hadi sasa wameshindwa kutaja wagombea wa viti vya ubunge cha wanawake
huyu jama sijui ametumwa na ccm, coz hii tayari imeshatolewa ufafanu
SWALI: Kuna tetesi chama tawala hutumia weekness za upinzani, kwa kuwahonga mawakala ambao si wahaminifu
JIBU: uchaguzi wa 2010 , ni tofauti na chaguzi za huko nyuma, swala la mawakala ni nyeti, na hivyo mawakala hudhibitiwa na wenyeji wa hilo eneo, na mazingira yamebadilika tofauti na chaguzi za nyuma.