MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,011
- 2,185
Mod. nisamehe nahisi kama Rais Slaa au wana CHADEMA walio karibu naye kila siku, wanaweza wasipate ujumbe huu kama nitaandika kwenye thrd nyingine.
Mkuu wetu, tafadhari kuhusu kujibu maswali 'live' ni hatari kwako. Tatizo siyo wananchi wema wanaotaka kukusikia au kuelewa utakakotupeleka. Tatizo liko kwa waharibifu.
Amini usiamini, sasa hivi kuna kila juhudi za kuonyesha kwamba hufai. Yatakupata yale ya Vurugu za Kenya baada ya uchaguzi, kipindi ambacho watu walipiga simu ktk FM radio na kutukana na kutoa maoni ya kuuwa.
Uelewa wa wananchi tunatofautiana, wengine wataamini utakayoambiwa vibaya na wengine watadhalau. Ni vibaya kuwapa wabaya wako muda wa kubishana nao kwenye chombo cha habari.
Kubali kuhojiwa na waandishi wa habari hata kama watakusanya maswali toka kwa wananchi na kuyachuja.