Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
wow!nimeipata kama ilivyo....
Kwa wale wenye kuweza kuangalia video:
kwa wale wenye kusikia kwa sauti tu:
sikiliza hapa
Mwanakijiji bana....you are at it again!!!:becky::becky::becky:
Na hiyo sauti ndiyo unamwigiza nani....James Earl Jones?
Akishika Slaa waanze kutaifisha nyumba ya Msoga:lol:Ubunifu wa kiwango, CHADEMA wamtafute mtengenezaji, wamlipe chake iende on air kwenye TV mbalimbali...
Akishika Slaa waanze kutaifisha nyumba ya Msoga:lol:
nimeipata kama ilivyo....
Kwa wale wenye kuweza kuangalia video:
kwa wale wenye kusikia kwa sauti tu:
sikiliza hapa
Aise ata yangu nasikia kama vile inakwaruza.ni kweli uko juu baba,ni vema ikatafutiwa air time kwenye radio na kutengeneza script irushwe kwenye TV,ila km sauti ya Mh. rais DR SLAA inakwaruza vile! pls can u edit it if possible au nina matatizo ya kusikia vizuri,but iddnt think so!
Mkj hongera sana, nimeamini wewe ni mbunifu mzuri sana. Nimeipenda sana