Elections 2010 Dr. Slaa TV & Radio Ad - First Take

Elections 2010 Dr. Slaa TV & Radio Ad - First Take

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Nimeipata kama ilivyo....

Kwa wale wenye kuweza kuangalia video:

Kwa wale wenye kusikia kwa sauti tu:

Sikiliza Hapa
 
Last edited by a moderator:
Mwanakijiji bana....you are at it again!!!:becky::becky::becky:

Na hiyo sauti ndiyo unamwigiza nani....James Earl Jones?
 
CHADEMA iunganisheni na zile nyimbo za chama mnazotumia kabla ya mikutano yenu, itasaidia kwa kiasi fulani.
 
Mwanakijiji bana....you are at it again!!!:becky::becky::becky:

Na hiyo sauti ndiyo unamwigiza nani....James Earl Jones?

mashabiki wa Chadema wameambiwa wasisome... James Early Jones is the Standard...
 
Kama kungekuwa na TV ina uwezo wa kuirusha hii Mh! Ingekuwa safi sana
 
Nikisoma shabiki mwingine wa Chadema anatoa maoni humu itakuwa vurugu LOL
 
Mzee, mbona unaturudisha nyuma kwenye hoax ccj? Hata hivo nashukuru. Nimefurahi kusikia hoja za kwanini aliamua kwenda kwenye chama kisichokuwa na usajiri. Yeye aliona vyama vingi ni mapandikizi ya ccm which is true and open secret now. Naona ana uchungu sana wa nchi yetu. Ni kweli kama alivosema Pendazoe.. wengi tunaendelea kungoja tukidhani mambo yatakuwa mazuri hapo baadae. Ukweli ni kwamba wakati wa kuamua ni mwaka huu. Kama alivyoamua Pendazoe, sote tumuunge mkono vinginevo chama tawala kitaangamiza taifa hili. Raisi wetu ni mbwa mwitu aliyevaa vazi la kondoo tusiendelee kudhani ni nyerere..atamaliza kula kondoo na vimwanakondoo vya taifa letu, .. tuamke ... Thanx MKJJ
 
Ubunifu wa kiwango, CHADEMA wamtafute mtengenezaji, wamlipe chake iende on air kwenye TV mbalimbali...
 
Ubunifu wa kiwango, CHADEMA wamtafute mtengenezaji, wamlipe chake iende on air kwenye TV mbalimbali...
Akishika Slaa waanze kutaifisha nyumba ya Msoga:lol:
 
Mkj hongera sana, nimeamini wewe ni mbunifu mzuri sana. Nimeipenda sana
 
nimeipata kama ilivyo....

Kwa wale wenye kuweza kuangalia video:

kwa wale wenye kusikia kwa sauti tu:

sikiliza hapa

mwanakijiji tunaomba utengeneze video au audio zenye kauli zote za jk tatanishi kuanzia hotuba ya sihijaji kura za wafanyakazi, wanafunzi wana viherehere kupata mimba, na nyingine nyingi ili tuweze kuwatumia ndugu jamaa kuwakumbusha hizo kauli that will be so productive
 
Last edited by a moderator:
ni kweli uko juu baba,ni vema ikatafutiwa air time kwenye radio na kutengeneza script irushwe kwenye TV,ila km sauti ya Mh. rais DR SLAA inakwaruza vile! pls can u edit it if possible au nina matatizo ya kusikia vizuri,but iddnt think so!
 
Wanajamii Dr. Slaa ametuomba tusambaze hii mp3

View attachment slaaad.MP3
41784_148053981881068_35_q.jpg

Mnaweza kurekodi hii kwa simu zenu na kuwapatia rafiki zenu au kutuma kwa simu. Asante MM kwa jitihada zako: http://www.box.net/shared/ln73fxu780
 
ni kweli uko juu baba,ni vema ikatafutiwa air time kwenye radio na kutengeneza script irushwe kwenye TV,ila km sauti ya Mh. rais DR SLAA inakwaruza vile! pls can u edit it if possible au nina matatizo ya kusikia vizuri,but iddnt think so!
Aise ata yangu nasikia kama vile inakwaruza.
 
Mkj hongera sana, nimeamini wewe ni mbunifu mzuri sana. Nimeipenda sana

Hakuna ubunifu wa ajabu hapo. Majuu aliko Mwanakijiji matangazo kama haya ni kawaida sana. Kila mara tunayaona. Sasa hivi yamejaa tele kwa sababu kuna congressional midterm elections zinakuja Novemba
 
Back
Top Bottom