Dr Tundu A Lissu rudisha misingi ya CHADEMA

Ukikabidhiwa Mamlaka kamili kama Mwenyekiti wa CHADEMA rudisha Ile misingi ya kudai Haki. Sio kuomba Haki kama alivyofanya mtangulizi wako
Mtasimama naye kwa vitendo akianza kuidai?
 
Ukikabidhiwa Mamlaka kamili kama Mwenyekiti wa CHADEMA rudisha Ile misingi ya kudai Haki. Sio kuomba Haki kama alivyofanya mtangulizi wako.

NB: Mwenyekiti aliyepo mara kadhaa Amelia kama Kada wa CCM kumbe NI Mwenyekiti CHADEMA
Baada ya kuukosa umakamu mwenyekiti na uenyekiti wa Chadema Taifa,
Tundu Lisu huenda akawa mwenyekiti wa Chadema Diaspora na si vinginevyo 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…