Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.

Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African Spiritualism.


View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS
 
Maadhali kadai uislam unamfanya mtu kufuata tamaduni za kiarabu/arabisation,basi ni dhahiri uislam haujui na ni haki yake kuhamia kwenye mizimu ya kiafrika, waarabu walimuandama muhammad wakidai anawaharibia tamaduni zao,wakampiga mpaka vita vya damu na nyama
 
Back
Top Bottom