kiislamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Maajabu: 80% ya wakimbizi duniani ni Waislamu, lakini hawaendi nchi za kiislamu ambazo ni 50 duniani! Kwanini?

    Hizi ni takwimu kutoka mtandaoni. Siwezi kuhakikisha ukweli wake, but all in all wengi wako Western World. Kwanini hawaendi kwa wenzao wanakwenda kwa " makafiri"? Ilham Omar ni mbunge Marekani, why not Pakistan Afghanistan and the like? kwanini alikimbikia kwa makafiri?
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Muziki wa bongo fleva ni haramu katika dini ya Kiislamu?

    Bila shaka kila mtu atakubali kwamba wanamuziki wanaofanya vizuri zaidi katika muziki wa bongo fleva na taarabu ni wanaotoka Pwani na hasa kutoka jamii ya Kiislamu, wanaofanya vizuri katika muziki wa injili (muziki wa mungu) ni kutoka bara, mkoani Mbeya. Ambacho huwa huwa sielewei vizuri ni hii...
  3. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Taliban imepiga marufuku matibabu ya kusaidia macho kuona kwa kusema kuwa matibabu hayo hayaendani na maadili ya kiislamu

  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hakuna nchi ya kikikristo inayoua mtu kwa kubadili dini, ila za Kiislamu zipo nyingi?

    Hivi kwa nini hakuna nchi inayojulikana sana kuwa na sheria inayomwamuru mtu auawe kwa sababu tu ameacha Ukristo na kuingia Uislamu. Nimegundua kuna nchi kadhaa zenye sheria zinazoweza kutoa adhabu ya kifo kwa kosa la uasi wa dini (apostasy), ambalo katika mifumo hiyo ya kisheria kwa kawaida...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Mwana wa kiongozi wa Kiislamu wa Saudi Arabia aokoka na kumkili Yesu kuwa mwokozi

    MWANA WA KIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU SAUDI ARABIA AMGEUKIA YESU KRISTO BAADA YA NDOTO YA AJABU: “NILIPOTEZA MENO 13 KWA SABABU YA KUMFUATA YESU!” Ahmed Joktan, raia wa Saudi Arabia aliyekuwa Muislamu mwenye msimamo mkubwa wa kidini, anasimulia ushuhuda wake wa kumwamini Yesu Kristo licha ya...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi ya Kiislamu ambayo raia wasio Waislamu wana haki sawa na Waislamu?

    Kuna madai kwamba hakuna nchi ya Kiislamu ambayo raia wasio Waislamu na Waislamu wana haki sawa katika taifa. Kwa namna hii dini haiwi ni chombo cha kuleta ubaguzi na madaraja? Je hii ni sahihi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, kama Afrika Kusini ingekuwa nchi ya kiislamu?

    JE, KAMA AFRIKA KUSINI INGEKUWA NCHI YA KIISLAMU? Hebu fikiria hali ya Afrika Kusini ya sasa, lakini badala ya kuwa Afrika Kusini, iwe ni Tunisia, Morocco au Algeria. Kwa sasa, baadhi ya raia wa Afrika Kusini wanawashambulia na kuwachukia wageni. Je, dunia ingeendelea kuzungumzia haki za...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania PITIO LA KITABU CHA MOHAMED KASSIM: MAISHA YANGU NA HARAKATI ZA KIISLAMU TANZANIA

    https://youtu.be/9mqRODTBwJA?si=qKZJ3qQZPDGI3hpe
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ustaadhati abainisha Zawadi ya Wanawake wa Kiislamu Peponi. Utastaajabu mwenyewe

    Ukiacha Viwanja bure na Nyumba. Wanawake wa Kiislamu watapewa Wanaume 72 wakiwa Peponi. Kama ambavyo wanaume nao watapewa wanawake 72. Si maneno yangu. Tupate maneno toka kwa Ustadhati
  10. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Kitabu hiki cha Kiislamu kinasema Shetani ni Muislamu

    Kitabu cha Asili ya majini ukurasa wa 20 kimeandikwa na Sheikh Ahmad. Nanukuu "Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanaye kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu. Ni Mtume Muhammad tu ndiye aliyemwisilisha Shetani akawa Muislamu..."
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama kuu za kiisilamu na hukumu zao dhidhi ya wasiokuwa waislam na viongozi wakuu wa kiislamu

    Hii ni mifano jinsi gani mahakama kuu za kiislam zilivyokaa na kuamua kesi 1. Myahudi akapata haki mbele ya Umar رضي الله عنه Imepokelewa kwamba mtu Myahudi alikuwa na mgogoro na Muislamu mbele ya Umar ibn al-Khattab رضي الله عنه. Baada ya kusikiliza suala hilo, Umar alimhukumia Myahudi huyo...
  12. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Miongoni mwa kundi lingine ambalo ni adui kwa taifa hili ni baadhi ya viongozi wa kiislamu

    Miongoni mwa watu ambao ni adui kwa taifa hili kwa sasa ni baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu. Mimi ni muislamu pia ila nasikitishwa na tamaa au njaa ya baadhi ya viongozi wa kiislamu kuunga mkono yale yote ambayo yapo kinyume na matakwa ya wananchi wengi badala yake wana bariki maovu yote...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

    Ndoa ni suala la kimila. Inatakiwa kufanyika kwa kufuata taratibu za mila na desturi za utamaduni husika. Unaenda kufunga ndoa yako kanisani kwa mujibu wa mila na desturi za wazungu/wayahudi kwani wewe mzungu/myahudi? Utamaduni wa wazungu/wayahudi unakuhusu vipi wewe msambaa wa Lushoto...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

    "Kwa mfano Diamond kazaa na mwanamke A mtoto wa kike ambae ni damu yake kabisaa kisheria za dini anaruhusiwa kumwoa mtoto yule kwasababu ni wa nje ya ndoa alipatikana kwa njia ya uzinifu, ndo uone kwamba namna gani zinaa Mungu ameikataza" Sheikh Kulunge
  15. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Muajemi (Iran) karibuni atakuwa ndo kiongozi wa nchi za kiIslamu Uarabuni

    Habari wanaJamii, Muajemi anashinda vita, kabomoa makambi mengi ya mmarekani - sawa na kumfukuza Uarabuni, na hakuna nchi ya kiarabu yaweza pambana nae. Pia itikadi zake za kutaka waarabu kujitawala bila mikono ya wamagharibi inapendwa na wengi, japo hawasemi ivo - matendo yao yaongea wazi...
  16. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Masheikh na viongozi wa kiislamu nchini Bangladesh wakasirishwa na kulaani Messi na Argentina kushabikiwa

    Masheikh na viongozi wa dini ya kiislamu Bangladesh wamekasirishwa na kulaani kwa wimbi kubwa la wa Bangladesh kumshabikia Messi na timu ya taifa mpira Argentina kama wehu. Viongozi hao wamechanachana bendera za Argentina ambazo zimezagaa mitaani na kuwakumbusha Allah pekee ndio wa kutukuzwa...
  17. Mhandisi Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Je, kwa dini ya kiislamu ni ruksa kuvuta sigara?

    Wasalaam waleikhum ndugu zangu waislam na wakristo.... Ni kawaida kwa waumini wa kislamu kukuta hawatumii pombe kwa kuwa imekatazwa kwenye maandiko. Ila sigara kwao ni kama chanda na pete!! Ukitembelea nchi nyingi za kiislamu kuna uvutaji mkubwa wa sigara na siku hizi shisha. Je ni ruksa kwao...
  18. mfianchi

    JamiiForums Tanzania Ndoa za Kiislamu, je upande wa anayeoa anakuwa hana kauli?

    Wapendwa, katika siku za karibuni nimekuwa nikiona ndoa za kifahari zikifungwa na ndugu zetu Waislamu, ni harusi ambazo ni funika bovu ni sherehe za kifahari kwelikweli, lakini kinachonishangaza ni kuwa waoaji yenye familia za upande wa kiumeni hawaonekani ni kama wao wameolewa, upande wa kike...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa kiislamu katika media hawana propaganda

    Nimejifunza kitu ktk uchambuzi wa vita vya Iran vs Marekani vs Isreal. Waislam walioachambua vita hivi ndio wakichambulia hali halisi ya vita bila propaganda. Licha ya kutoinesha imani yao ktk uchambuzi, lkn walikuwa hawaegemei upande wowote ile Hatimae yaliochambuliwa kupitia media mbali mbali...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Iweje Zanzibar Tarehe 1 Muharam 1448 Sikukuu Inaadhimisha Mwaka wa Kiislamu Bara ni Siku ya Kazi?

    https://youtu.be/6tQNJaVTWlo?si=kcNDLLVOAAy8RaOA
Back
Top Bottom