Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
Ndoa ni suala la kimila. Inatakiwa kufanyika kwa kufuata taratibu za mila na desturi za utamaduni husika.

Unaenda kufunga ndoa yako kanisani kwa mujibu wa mila na desturi za wazungu/wayahudi kwani wewe mzungu/myahudi? Utamaduni wa wazungu/wayahudi unakuhusu vipi wewe msambaa wa Lushoto?

Unaenda kufunga ndoa kwa mujibu wa mila na desturi za waarabu ( ndoa ya kiislamu) kwani wewe mwarabu?

Utamaduni wa mwarabu unakuhusu vipi wewe Abdullah Kinyogoli mdengereko wa Kiparang'anda?

Ndoa ya mwafrika yapaswa kufungwa kwa mujibu wa mila na desturi za kabila husika. Mzaramo afunge ndoa kwa mujibu wa mila na desturi za kizaramo... Kama ameoa let's say msukuma basi tamaduni zote zifuatwe.. Tamaduni za kizaramo na tamaduni za kisukuma.

Ndoa ni tambiko Zito sana na Lenye nguvu za ajabu. Sio kitu cha kufanyia mzaha mzaha kama mnavyo fanya nyie wayahudi wa kimara na waarabu wa chamazi.

Ndoa ni tambiko la kuwakabidhi wana ndoa kwa watakatifu mabibi na mababu wa ukoo kwa ajili ya Baraka zao. Ndio maana kwenye " Matambiko ya Ndoa" ya wazee wetu walichinjwa wanyama weusi pea 2, mmoja jike mwingine dume kila pea kama ishara ya heshima kwa mabibi na mababu wa pande zote mbili..

Kazi ya damu katika ulimwengu wa roho ni pamoja na kusimamisha agano na pili damu hutumika kama medium of communication.. So damu inayo mwagwa kwenye hilo tambiko la kuunganisha Koo inatumika kupeleka taarifa kwa mabibi na mababu kwamba wewe Bwana Mandevu na Bi Cheupe mmefunga ndoa mmekuwa mke na mume..

Hivyo vitu mnavyo ombwaga kwenye kutoa mahali ( Mkaja wa Bibi, ugoro wa babu etc) ni vitu ambavyo zamani villkuwaga vinatolewa kweli vyenyewe kama vyenyewe kwa ajili ya kuwapa zawadi watakatifu mabibi na mababu zetu ( mnawaita mizimu) kama ishara ya shukrani zenu na heshima yenu kwao na vilitunzwa kama sehemu ya ukumbusho wa agano lenu la ndoa.. Ila sasa hivi mmevigeuza eti mnatoa hela badala ya vitu vyenyewe... Wazazi wanavitumia kama excuse ya kuwapiga hela washenga..

Kwa bahati nzuri sana wa Afrika matajiri na viongozi wengi wa najua kuhusu ukweli huu ndio maana wengi wao at least hufanya sherehe za kimila kwenye kutambulisha uchumba ( mfano binti wa Ruto) na wengine hadi kwenye ndoa then kanisani au msikitini wanafanya ceremonial tu..

Uliwahi kujiuliza kwanini unakuta mtu amekaa kinyumba na mwanamke vizuri kabisa kwa amani na furaha miaka mitano hadi kumi wamezaa na watoto halafu wakienda kubariki ndoa kanisani hawamalizi mwaka wanaachana? This will be a topic for another day.

Brothers and sisters.. Turudi kwenye asili yetu. Wazungu na waarabu wametupiga pakubwa. Yes we like their technology lakini utamaduni wetu kama waafrika hasa kwenye Jambo serious kama la ndoa lazima tuuenzi.

Sio tu kwenye ndoa hata kwenye suala la kuzaliwa, suala la unyago/jando, suala la maziko, kote huko tunapaswa kurejea kwenye utamaduni wetu.. Unampaje mtoto jina bila kufanya " Naming Ceremony "? . Unamuitaje mtoto wako jina Elton wakati wewe mgogo? Halafu akija kuwa shoga una laumu Freemasons?

Haya sasa twende kazi..

1. Kama ndio upo kwenye mchakato wa ndoa ya kanisani au msikitini achana na hizo Mambo fanya ndoa ya kimila and thank me later.

2. Kama ulisha funga ndoa kanisani au msikitini kimbia haraka sana kajisalimishe kwa watakatifu mabibi na mababu zako kwa ku " Bariki" Ndoa yako kimila..( I mean kwa kufunga upya ndoa yako kimila kwa kufuata ya taratibu wa mila na desturi za kwenu)

Na wewe ambae ulisha funga ndoa ya kanisani au msikitini unapoenda kubariki ndoa yako kimila nenda katubu na kuomba msamaha kwa watakatifu mabibi na mababu zako.. Jigaragaze Lia omboleza omba msamaha wa dhati..

Na wewe ambae ulikuwa ndio upo kwenye mpango wa kufunga ndoa ya kanisani au msikitini, wachana na hiyo story kisha kimbia haraka sana ukafunge ndoa ya kimila.. Nasema kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukiumia inuka vumilia.

Ndoa za waafrika zifungwe kwa kufuata mila, desturi za tamaduni za ki Afrika.

Thank me later.🙏🙏🙏🙏

N. B : Tambill halisi la ndoa ya kimila inayo kubalika na mababu, pamoja na Mambo mengine, inahitaji mambo makuu yafuatayo :

1. Damu ya mtu ( Damu hii humwagika wakati mwali ana fanya tendo la ndoa kwa mara ya kwanza / Damu ya bikini)

Kazi ya damu hiyo ni pamoja na 👇👇👇👇👇

1. Kusimamisha agano la ndoa husika.. Kupeleka taarifa kwa mababu kwamba binti fulani kaolewa na fulani bin fulani.

( Hii ni kwa mwanamke anae olewa kwa mara ya kwanza.. Ni lazima na sio ombi)

2. Kama mwanamke anaolewa kwa mara ya pili basi ni lazima mume wake wa kwanza awe amefariki dunia kwa sagabu agano la ndoa ya kiafrika huwa ni la milele. So kwa mwanamke anae olewa kwa mara ya pili baada ya mume wake kufa, tayari mababu wanakuwa na taarifa kwa sababu mtu anapokufa, kwenye tambiko la maziko yake huwa wanachinjwa wanyama kwa ajili ya kitoweo. Damu za wanyama wanao chinjwa kwenye msiba wa marehemu hutumika pia kupeleka taarifa rasmi kwa mababu kuhusu kifo cha mume wa mwanamke huyu.
 
Ndoa ni suala la kimila. Inatakiwa kufanyika kwa kufuata taratibu za mila na desturi za utamaduni husika.

Unaenda kufunga ndoa yako kanisani kwa mujibu wa mila na desturi za wazungu/wyaahudi kwani wewe mzungu/myahudi? Utamaduni wa wazungu/wayahudi unakuhusu vipi wewe msambaa wa Lushoto?

Unaenda kufunga ndoa kwa mujibu wa mila na desturi za waarabu ( ndoa ya kiislamu) kwani wewe mwarabu?

Utamaduni wa mwarabu unakuhusu vipi wewe Abdullah Kinyogoli mdengereko wa Kiparang'anda?

Ndoa ya mwafrika yapaswa kufungwa kwa mujibu wa mila desturi za kabila husika. Mzaramo afunge ndoa kwa mujibu wa mila na desturi za kizaramo... Kama ameoa let's say msukuma basi tamaduni zote zifuatwe.. Tamaduni za kizaramo na tamaduni za kisukuma.

Ndoa ni tambiko Zito sana na Lenye nguvu za ajabu. Sio kitu cha kufanyia mzaha mzaha kama mnavyo fanya nyie wayahudi wa kimara na waarabu wa chamazi.

Ndoa ni tambiko la kuwakabidhi wana ndoa kwa watakatifu mabibi na mababu wa ukoo kwa ajili ya Baraka zao. Ndio maana kwenye " Matambiko ya Ndoa" ya wazee wetu walichinjwa wanyama weusi pea, mmoja jike mwingine dume kila pea kama ishara ya heshima kwa mabibi na mababu wa pande zote mbili..

Kazi ya damu katika ulimwengu wa roho ni pamoja na kusimamisha agano na pili damu hutumika kama medium of communication.. So damu inayo mwagwa kwenye hilo tambiko la kuunganisha Koo inatumika kupeleka taarifa kwa mabibi na mababu kwamba wewe Bwana Mandevu na Ni Cheupe mmefunga ndoa mmekuwa mke na mume..

Hizo vitu mnavyo ombwaga kwenye kutoa mahali ( Mkaja wa Bibi, ugoro wa babu etc) ni vitu a mnavyo zamani villkuwa vinatolewa kweli vyenyewe kama vyenyewe kwa ajili ya kuwapa zawadi watakatifu mabibi na mababu zetu ( mnawaita mizimu) kama ishara ya shukrani zenu na heshima yenu kwao na vilitunzwa kama sehemu ya agano menu la ndoa.. Ila sasa hivi mmevigeuza eti mnatoa hela badala ya vitu vyenyewe... Wazazi wanavitumia kama excuse ya kuwapiga hela washenga..

Kwa bahati nzuri sana wa Afrika matajiri na viongozi wengi wa najua kuhusu ukweli huu ndio maana wengi wao at least hufanya sherehe za kimila kwenye kutambulisha uchumba ( mfano binti wa Ruto) na wengine hadi kwenye ndka then kanisani au msikitini wanafanya ceremonial tu..

Uliwahi kujiuliza kwanini mtu amekaa kinyumba na mwanamke miaka mitano hadi kumi wamezaa na watoto halafu wakienda kubariki ndoa kanisani hawamalizi mwaka wanaachana? This will be a topic for another day.

Brothers and sisters.. Turudi kwenye asili yetu. Wazungu na waarabu wametupiga pakubwa. Yes we like their technology lakini utamaduni wetu kama waafrika hasa kwenye Jambo serious kama la ndoa lazima tuuenzi.

Sio tu kwenye ndoa hata kwenye suala la kuzaliwa, suala la unyago/jando, suala la maziko, kote huko tunapaswa kurejea kwenye utamaduni wetu.. Unampaje mtoto jina bila kufanya " Naming Ceremony "? . Unamuitaji mtoto wako jina Elton wakati wewe mgogo? Halafu akija kuwa shoga una laumu Freemasons?

Haya sasa twende kazi..

1. Kama ndio upo kwenye mchakato wa ndoa ya kanisani au msikitini achana na hizo Mambo fanya ndoa ya kimila Anne thank me later.

2. Kama ulisha funga ndoa kanisani au msikitini kimbia haraka sana kajisalimishe kwa watakatifu mabibi na mababu zako kwa ku " Bariki" Ndoa yako kimila..( I mean kwa kufunga upya ndoa yako kimila kwa kufuata ya taratibu wa mila na desturi za kwenu)

Na wewe ambae ulisha funga ndoa ya kanisani au msikitini unapoenda kubariki ndoa yako kimila nenda katubu na kutomba msamaha kwa watakatifu mabibi na mababu zako.. Jigaragaze Lia omboleza omba msamaha wa dhati..

Na wewe ambae ulikuwa ndio upo kwenye mpango wa kufunga ndoa ya kanisani au msikitini, wachana na hiyo story kisha kimbia haraka sana ukafunge ndoa ya kimila.. Nasema kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukiumia inuka vumilia.

Ndoa za waafrika zifungwe kwa kufuata mila, desturi za tamaduni za ki Afrika.

Thank me later.🙏🙏🙏🙏
Kuna statistics inayo support hoja yako,? Au umekuja na conclusion yako according to experience yako?
 
Mila zetu zilishindwa kulinda bara zima lisitawaliwe, utaziamini vipi sasa hivi kwenye ishu ya kuzuia talaka?
Babu zetu hawakuwa mabwege kiasi hicho unacho fikiria. Waliwaona wazungu kama watumwa wao na sio kama watawala wao. Walicho kifanya babu zetu ni kuwapa wazungu kitu kinacho itwa " Illusion of power" but our ancestors mained the real power.

Ni kama ambavyo Vatican inaipa dunia an illusion of power to choice a religion kwa kutengeneza Ukatoliki( Ukristo na Uislamu). Wakristu wanasema Sisi sio waislamu na waislamu wanasema Sisi sio wakristu. Whatever the case, it is still beneficial to the Vatican..

This is the case kwa wazungu.

Watu wametoka kwao wamekuja kwetu wanatujengea Barabara, majumba etc kwa kutumia elimu na maarifa Yao unasema vipi wanatuwala kama Sisi ndio tunawatawala.

And if we go down to that level, Liberia and Ethiopia hazikuwahi kutawaliwa kwa sababu hawakuona faida ya kuwatumia watumwa wazungu
 
Hao Ethiopia unaojisifia hawakutawaliwa, mbona ndio nchi ya kwanza Afrika kupokea Ukristo na Uislamu mapema sana kuliko wengine? Huoni hapo nadharia yako ya ndoa za kizungu na kiarabu inafeli? Alafu by the way, Ethiopia walitawaliwa na Waitaliano kuanzia 1936 hadi 1941, kasome historia vizuri uache kuishi in denial.

Halafu kama unajua Vatican ndio inayocheza na akili za dunia nzima hadi wakatengeneza hizo dini unazozipinga, ina maana hiyo akili ya wazungu ni kubwa kuliko ya hao mababu waliokuwa wanawaza illusion, kama wao walikuwa na akili kubwa hivyo, mbona mifumo yetu yote ya maisha leo ipo kikanisani, kimsikitini, au kisheria ya kizungu? Nani anatawala hapa kwa unavyoona wewe?
 
Kumbe kuwa " Cunning" ni kuwa na akili? Kama ndivyo unavyo amini hivyo basi unaweza kuwa sahihi...

Yes Ethiopia ni nchi ya kwanza kupokea Ukristu na uislamu but sio WA Ethiopia wote waliupokea Ukristu na uislamu.. 2nd : Kabla ya huo Ukristu na uislamu, uafrika ulikuwepo. 3rd. Katikati ya huo Ukristu na uislamu bado wapo mamilioni ya WA Ethiopia ambao bado wana enzi mila desturi na tamaduni zao.
 
We jamaa mbona unajipinga mwenyewe? Kwenye mada yako ya kwanza umesema Ukristo na Uislamu ni tamaduni za wazungu na waarabu zinazoharibu ndoa za Waafrika. Sasa hivi unakubali Ethiopia walizipokea hizo dini mapema kabla hata hawajatawaliwa, na bado wakabaki na tamaduni zao. Kama Ethiopia walivyoweza kuchanganya dini na tamaduni zao, kwanini Msambaa au Mzaramo ashindwe leo?
 
Najua Lengo lako ni kubishana ili ushinde debate. Ndio maana unatumia Socratic style of debating.. Wanasaikolojia na wanafilosofi wanasema njia nzuri ya kushinda debate ni kudebate kwa kuuliza maswali. Ndicho unacho kifanya we wewe na nimekuona toka Kwenye swali lako la kwanza.... Maswali unayo uliza hayagusi mzizi wa Uzi wangu.. Wewe ndo umewazungumzia Ethiopia then unanigeuzia kibao unasema mimi nimesema. Ethiopia this Ethiopia that.. Umeuliza swali kuhusu Ethiopia ( japo haikuwa hoja yangu) nimerespond hoja yako kuhusu Ethiopia then. Suddenly unasema nimesema. Ethiopia this Ethiopia that. Is my thread about Ethiopia? Halafu nilicho kujibu kuhusu Ethiopia sio hicho unacho kuuliza wewe

Haha, sasa bro mbona unapaniki na kuanza kulia kuhusu Socratic style? Wewe mwenyewe kwenye uzi wako ulitolea mfano Liberia na Ethiopia ukiandika Liberia and Ethiopia hazikuwahi kutawaliwa...Mimi nilijibu pointi yako hiyo hiyo, sasa hivi unakataa hukusema? Stop crying foul na rudi kwenye mada.

Pointi ipo palepale,mbona ndoa za kidini Ethiopia zinadumu kuliko unavyotaka kutuaminisha? Jibu hoja, achana na staili yangu ya kuuliza maswali.
 
Ndoa ni suala la kimila. Inatakiwa kufanyika kwa kufuata taratibu za mila na desturi za utamaduni husika.

Unaenda kufunga ndoa yako kanisani kwa mujibu wa mila na desturi za wazungu/wayahudi kwani wewe mzungu/myahudi? Utamaduni wa wazungu/wayahudi unakuhusu vipi wewe msambaa wa Lushoto?

Unaenda kufunga ndoa kwa mujibu wa mila na desturi za waarabu ( ndoa ya kiislamu) kwani wewe mwarabu?

Utamaduni wa mwarabu unakuhusu vipi wewe Abdullah Kinyogoli mdengereko wa Kiparang'anda?

Ndoa ya mwafrika yapaswa kufungwa kwa mujibu wa mila na desturi za kabila husika. Mzaramo afunge ndoa kwa mujibu wa mila na desturi za kizaramo... Kama ameoa let's say msukuma basi tamaduni zote zifuatwe.. Tamaduni za kizaramo na tamaduni za kisukuma.

Ndoa ni tambiko Zito sana na Lenye nguvu za ajabu. Sio kitu cha kufanyia mzaha mzaha kama mnavyo fanya nyie wayahudi wa kimara na waarabu wa chamazi.

Ndoa ni tambiko la kuwakabidhi wana ndoa kwa watakatifu mabibi na mababu wa ukoo kwa ajili ya Baraka zao. Ndio maana kwenye " Matambiko ya Ndoa" ya wazee wetu walichinjwa wanyama weusi pea 2, mmoja jike mwingine dume kila pea kama ishara ya heshima kwa mabibi na mababu wa pande zote mbili..

Kazi ya damu katika ulimwengu wa roho ni pamoja na kusimamisha agano na pili damu hutumika kama medium of communication.. So damu inayo mwagwa kwenye hilo tambiko la kuunganisha Koo inatumika kupeleka taarifa kwa mabibi na mababu kwamba wewe Bwana Mandevu na Bi Cheupe mmefunga ndoa mmekuwa mke na mume..

Hivyo vitu mnavyo ombwaga kwenye kutoa mahali ( Mkaja wa Bibi, ugoro wa babu etc) ni vitu ambavyo zamani villkuwaga vinatolewa kweli vyenyewe kama vyenyewe kwa ajili ya kuwapa zawadi watakatifu mabibi na mababu zetu ( mnawaita mizimu) kama ishara ya shukrani zenu na heshima yenu kwao na vilitunzwa kama sehemu ya ukumbusho wa agano lenu la ndoa.. Ila sasa hivi mmevigeuza eti mnatoa hela badala ya vitu vyenyewe... Wazazi wanavitumia kama excuse ya kuwapiga hela washenga..

Kwa bahati nzuri sana wa Afrika matajiri na viongozi wengi wa najua kuhusu ukweli huu ndio maana wengi wao at least hufanya sherehe za kimila kwenye kutambulisha uchumba ( mfano binti wa Ruto) na wengine hadi kwenye ndoa then kanisani au msikitini wanafanya ceremonial tu..

Uliwahi kujiuliza kwanini unakuta mtu amekaa kinyumba na mwanamke vizuri kabisa kwa amani na furaha miaka mitano hadi kumi wamezaa na watoto halafu wakienda kubariki ndoa kanisani hawamalizi mwaka wanaachana? This will be a topic for another day.

Brothers and sisters.. Turudi kwenye asili yetu. Wazungu na waarabu wametupiga pakubwa. Yes we like their technology lakini utamaduni wetu kama waafrika hasa kwenye Jambo serious kama la ndoa lazima tuuenzi.

Sio tu kwenye ndoa hata kwenye suala la kuzaliwa, suala la unyago/jando, suala la maziko, kote huko tunapaswa kurejea kwenye utamaduni wetu.. Unampaje mtoto jina bila kufanya " Naming Ceremony "? . Unamuitaje mtoto wako jina Elton wakati wewe mgogo? Halafu akija kuwa shoga una laumu Freemasons?

Haya sasa twende kazi..

1. Kama ndio upo kwenye mchakato wa ndoa ya kanisani au msikitini achana na hizo Mambo fanya ndoa ya kimila and thank me later.

2. Kama ulisha funga ndoa kanisani au msikitini kimbia haraka sana kajisalimishe kwa watakatifu mabibi na mababu zako kwa ku " Bariki" Ndoa yako kimila..( I mean kwa kufunga upya ndoa yako kimila kwa kufuata ya taratibu wa mila na desturi za kwenu)

Na wewe ambae ulisha funga ndoa ya kanisani au msikitini unapoenda kubariki ndoa yako kimila nenda katubu na kuomba msamaha kwa watakatifu mabibi na mababu zako.. Jigaragaze Lia omboleza omba msamaha wa dhati..

Na wewe ambae ulikuwa ndio upo kwenye mpango wa kufunga ndoa ya kanisani au msikitini, wachana na hiyo story kisha kimbia haraka sana ukafunge ndoa ya kimila.. Nasema kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukiumia inuka vumilia.

Ndoa za waafrika zifungwe kwa kufuata mila, desturi za tamaduni za ki Afrika.

Thank me later.🙏🙏🙏🙏
Idea ya utakatifu inapatikana wapi kwenye hayo masuala ya kimila?
Unakataa ndoa za kikristu halafu unatumia msamiati wa kikristu kuhalalisha hoja zako, huo sio uchizi kweli?
 
Haha, sasa bro mbona unapaniki na kuanza kulia kuhusu Socratic style? Wewe mwenyewe kwenye uzi wako ulitolea mfano Liberia na Ethiopia ukiandika Liberia and Ethiopia hazikuwahi kutawaliwa...
Sijataja Ethiopia na Liberia kwenye Uzi wangu.. I was responding to your argument. Ulisema wazungu wameitawala Afrika nzima, nikakukibu Ethiopia na Liberia hazijatawaliwa..

Mimi nilijibu pointi yako hiyo hiyo, sasa hivi unakataa hukusema? Stop crying foul na rudi kwenye mada.
Am not crying wala sio point yangu hiyo. In fact Mimi ndo nilijibu hoja yako..
Pointi ipo palepale,mbona ndoa za kidini Ethiopia zinadumu kuliko unavyotaka kutuaminisha? Jibu hoja, achana na staili yangu ya kuuliza maswali.
Unaweza kuthibitisha kuhusu ndoa za kidini Ethiopia kudumu?
 
Idea ya utakatifu inapatikana wapi kwenye hayo masuala ya kimila?

Unakataa ndoa za kikristu halafu unatumia msamiati wa kikristu kuhalalisha hoja zako, huo sio uchizi kweli?
Wakristu ndio wameiga hiyo unayo iita idea ya utakatifu..Kanisa katoliki wanajua hilo.. "Mtakatifu Marko utuombee" " Mtakatifu Penina wa Barcelona utuombee"
 
Sijataja Ethiopia na Liberia kwenye Uzi wangu.. I was responding to your argument. Ulisema wazungu wameitawala Afrika nzima, nikakukibu Ethiopia na Liberia hazijatawaliwa..

Am not crying wala sio point yangu hiyo. In fact Mimi ndo nilijibu hoja yako..

Unaweza kuthibitisha kuhusu ndoa za kidini Ethiopia kudumu?
Kasome utafiti wa Demographic and Health Survey (EDHS).
 
Ndoa ni suala la kimila. Inatakiwa kufanyika kwa kufuata taratibu za mila na desturi za utamaduni husika.

Unaenda kufunga ndoa yako kanisani kwa mujibu wa mila na desturi za wazungu/wayahudi kwani wewe mzungu/myahudi? Utamaduni wa wazungu/wayahudi unakuhusu vipi wewe msambaa wa Lushoto?

Unaenda kufunga ndoa kwa mujibu wa mila na desturi za waarabu ( ndoa ya kiislamu) kwani wewe mwarabu?

Utamaduni wa mwarabu unakuhusu vipi wewe Abdullah Kinyogoli mdengereko wa Kiparang'anda?

Ndoa ya mwafrika yapaswa kufungwa kwa mujibu wa mila na desturi za kabila husika. Mzaramo afunge ndoa kwa mujibu wa mila na desturi za kizaramo... Kama ameoa let's say msukuma basi tamaduni zote zifuatwe.. Tamaduni za kizaramo na tamaduni za kisukuma.

Ndoa ni tambiko Zito sana na Lenye nguvu za ajabu. Sio kitu cha kufanyia mzaha mzaha kama mnavyo fanya nyie wayahudi wa kimara na waarabu wa chamazi.

Ndoa ni tambiko la kuwakabidhi wana ndoa kwa watakatifu mabibi na mababu wa ukoo kwa ajili ya Baraka zao. Ndio maana kwenye " Matambiko ya Ndoa" ya wazee wetu walichinjwa wanyama weusi pea 2, mmoja jike mwingine dume kila pea kama ishara ya heshima kwa mabibi na mababu wa pande zote mbili..

Kazi ya damu katika ulimwengu wa roho ni pamoja na kusimamisha agano na pili damu hutumika kama medium of communication.. So damu inayo mwagwa kwenye hilo tambiko la kuunganisha Koo inatumika kupeleka taarifa kwa mabibi na mababu kwamba wewe Bwana Mandevu na Bi Cheupe mmefunga ndoa mmekuwa mke na mume..

Hivyo vitu mnavyo ombwaga kwenye kutoa mahali ( Mkaja wa Bibi, ugoro wa babu etc) ni vitu ambavyo zamani villkuwaga vinatolewa kweli vyenyewe kama vyenyewe kwa ajili ya kuwapa zawadi watakatifu mabibi na mababu zetu ( mnawaita mizimu) kama ishara ya shukrani zenu na heshima yenu kwao na vilitunzwa kama sehemu ya ukumbusho wa agano lenu la ndoa.. Ila sasa hivi mmevigeuza eti mnatoa hela badala ya vitu vyenyewe... Wazazi wanavitumia kama excuse ya kuwapiga hela washenga..

Kwa bahati nzuri sana wa Afrika matajiri na viongozi wengi wa najua kuhusu ukweli huu ndio maana wengi wao at least hufanya sherehe za kimila kwenye kutambulisha uchumba ( mfano binti wa Ruto) na wengine hadi kwenye ndoa then kanisani au msikitini wanafanya ceremonial tu..

Uliwahi kujiuliza kwanini unakuta mtu amekaa kinyumba na mwanamke vizuri kabisa kwa amani na furaha miaka mitano hadi kumi wamezaa na watoto halafu wakienda kubariki ndoa kanisani hawamalizi mwaka wanaachana? This will be a topic for another day.

Brothers and sisters.. Turudi kwenye asili yetu. Wazungu na waarabu wametupiga pakubwa. Yes we like their technology lakini utamaduni wetu kama waafrika hasa kwenye Jambo serious kama la ndoa lazima tuuenzi.

Sio tu kwenye ndoa hata kwenye suala la kuzaliwa, suala la unyago/jando, suala la maziko, kote huko tunapaswa kurejea kwenye utamaduni wetu.. Unampaje mtoto jina bila kufanya " Naming Ceremony "? . Unamuitaje mtoto wako jina Elton wakati wewe mgogo? Halafu akija kuwa shoga una laumu Freemasons?

Haya sasa twende kazi..

1. Kama ndio upo kwenye mchakato wa ndoa ya kanisani au msikitini achana na hizo Mambo fanya ndoa ya kimila and thank me later.

2. Kama ulisha funga ndoa kanisani au msikitini kimbia haraka sana kajisalimishe kwa watakatifu mabibi na mababu zako kwa ku " Bariki" Ndoa yako kimila..( I mean kwa kufunga upya ndoa yako kimila kwa kufuata ya taratibu wa mila na desturi za kwenu)

Na wewe ambae ulisha funga ndoa ya kanisani au msikitini unapoenda kubariki ndoa yako kimila nenda katubu na kuomba msamaha kwa watakatifu mabibi na mababu zako.. Jigaragaze Lia omboleza omba msamaha wa dhati..

Na wewe ambae ulikuwa ndio upo kwenye mpango wa kufunga ndoa ya kanisani au msikitini, wachana na hiyo story kisha kimbia haraka sana ukafunge ndoa ya kimila.. Nasema kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukiumia inuka vumilia.

Ndoa za waafrika zifungwe kwa kufuata mila, desturi za tamaduni za ki Afrika.

Thank me later.🙏🙏🙏🙏
Huku kwetu kusini watu wanaona Leo baada ya mwezi wanaachana na wakiachana hawakai mwezi wanaingia kwenye ndoa tena.. Zanzibar na Mafia ndio balaa. Na wote hao wanafunga ndoa za kiislamu.. Watoto kibao siku hizi wanaishi kwa Bibi zao
 
Back
Top Bottom