Inabidi uwe unasoma tafiti kwa umakini sio kukurupuka, kasome utamaduni wa Ethiopia vizuri kwenye Wikipedia. Kule Kanisa la Orthodox ndio asili na msingi wa utamaduni wao tangu karne ya 4, sio kitu cha kigeni cha kushikizia kama unavyofikiri.Hao wa Ethiopia wamekukataa pia, utafiti wako unaonyesha wa Ethiopia hufanya ndoa za kitamaduni kisha wanaenda kuotambulisha kanisani ( ceremonial)View attachment 3647090
Inabidi uwe unasoma tafiti kwa umakini sio kukurupuka, kasome utamaduni wa Ethiopia vizuri kwenye Wikipedia. Kule Kanisa la Orthodox ndio asili na msingi wa utamaduni wao tangu karne ya 4, sio kitu cha kigeni cha kushikizia kama unavyofikiri.
Pamoja na huo mchanganyiko wa dini na mila, bado miji kama Addis Ababa inarekodi maelfu ya talaka kila mwaka kwa sababu ya maisha ya kisasa na uchumi. Kubali tu kwamba nadharia yako ya mizimu na dini imefeli mbele ya uhalisia wa sasa.
Yaani unalazimisha ushindi mpaka unajitekenya na kucheka wenyewe? Mwanzo nilikuambia Ethiopia wana ndoa imara, ukanibishia. Nikakuletea data za talaka zao, bado unasema nadharia yako iko sahihi! Kama ndoa za kimila za Ethiopia bado zinavunjika kwa 45%, hiyo nadharia yako ya ndoa ya kimila haivunjiki imesimama wapi sasa? Unajua kusoma kwa ufahamu kweli?Hueleweki umesimamia wapi. Mwanzo ulisema wa Ethiopia ndoa zao ni za kikristu ndio maana zinadumu Sana ukanipa na reference ya utafiti nimeenda kuchimbua nimegundua hoja yako si sahihi kwa sababu wa Ethiopia hufunga ndoa kwa kufuata Mila na taratibu za makabila Yao kama vile wa Oromo kisha ndo huenda kuzitambulisha kanisani.. Umegeuka tena unasema na talaka zimo tena 🤣🤣🤣
Theory yangu ipo sahihi kabisa wewe fanya observation utagundua..
Kingine ile hoja yako kuhusu wazungu kutawala Bara Zima bado haina mantiki kwenye Uzi wangu.. Nakwambia tena babu zetu waliwapa wazungu ana illusion of power. And they did it unconsciously. Yani ni sawa tu na babu yako Mzee Peter Sanga kule kijijini kwenu Njombe siku ya X Mass anunue n'gombe wake wa wawili kisha ampeleke jirani yake Bwana AbdAllah Kinyogoli awachinje hao ng'ombe. Sio kwamba Mzee Sanga Hana uwezo wa kuchinja hao ng'ombe isipokuwa anampa bwana Abdallah an illusion of power..
Ushauri:Kama ulifunga ndoa kanisani fanya mpango ukafanye sherehe ya kimila.. Kama unaogopa kuonekana wa " Ajabu" Basi kwenye anniversary ya mwakani ya ndoa yako ifanyie sherehe ya kimila.. Tubu dhambi zako kwa mababu zako..
Nimalize kwa kukuongoza sala ya Toba.. Sema " Enyi mabibi na mababu zangu"
Zinavunjika kwa asilimia 45% kwa wastani wa miaka 30.Yani kwa wastani ndoa za Ethiopia zinazo vunjika hu vunjika baada ya miaka 30.. Ikimaanisha kwamba wana ndoa wanao funga ndoa Ethiopia wanaweza kudumu kwenye ndoa kwa miaka 30. Pamoja na hayo asilimia kubwa kwenye 45 % ni za wana ndoa wanaoishi kwenye majiji makubwa na sio wale wa vijijini ambako Mila na desturi hufuatwa kwa ukubwa na Upana.Yaani unalazimisha ushindi mpaka unajitekenya na kucheka wenyewe? Mwanzo nilikuambia Ethiopia wana ndoa imara, ukanibishia. Nikakuletea data za talaka zao, bado unasema nadharia yako iko sahihi! Kama ndoa za kimila za Ethiopia bado zinavunjika kwa 45%, hiyo nadharia yako ya ndoa ya kimila haivunjiki imesimama wapi sasa? Unajua kusoma kwa ufahamu kweli?
Unaacha kuangalia data unaleta mambo ya observation ya macho yako tu hapa.
Unajisomea takwimu nusu nusu halafu unajiongezea unavyotaka wewe, eti wanadumu miaka 30? Kasome vizuri tafiti za BMJ Open na data za EDHS.Zinavunjika kwa asilimia 45% kwa wastani wa miaka 30.Yani kwa wastani ndoa za Ethiopia zinazo vunjika hu vunjika baada ya miaka 30.. Ikimaanisha kwamba wana ndoa wanao funga ndoa Ethiopia wanaweza kudumu kwenye ndoa kwa miaka 30. Pamoja na hayo asilimia kubwa kwenye 45 % ni za wana ndoa wanaoishi kwenye majiji makubwa na sio wale wa vijijini ambako Mila na desturi hufuatwa kwa ukubwa na Upana.
Yes observation muhimu cause Uzi umeihusu jamii ya ki Tanzania..
Umeamini maneno yangu mkuu? At first nilikwambia lengo Lako ni kubishana na Mimi ili ushinde ukabisha. Ona una ji expose mwenyewe.. I can access your subconscious mindYaani unalazimisha ushindi mpaka unajitekenya na kucheka wenyewe?
Mababu hawana muda wa kufuatilia kama ulifunga ndoa kanisani lakini hawana taarifa kama umefunga ndoa so they will never protect your marriage kwa sababu hawawezi ku protect kitu ambacho hakipo... Mwisho wa siku watoto wa wanaume wengine wana zaliwa kwenye " Ndoa" yako..Unajisomea takwimu nusu nusu halafu unajiongezea unavyotaka wewe, eti wanadumu miaka 30? Kasome vizuri tafiti za BMJ Open na data za EDHS.
Halafu hata huko vijijini Ethiopia talaka zipo juu sana kwa sababu ya ndoa za utotoni na umaskini, hakuna cha usalama wowote wa mila, kila nikikupiga na data unahamisha magoli. Sasa hivi umeanza kujifanya mtaalamu wa kufafanua takwimu ili mradi tu nadharia yako isife.
Hivi unadhani mababu wa kizaramo au kisukuma wana muda wa kukaa na kufuatilia kama ulifungia ndoa kanisani au msikitini ili wakuharibie?
Jibu hoja, hii ndio tabia yenu watu msio kuwa na hoja, huwa mnaacha hoja za msingi mnakimbilia kujibu ujinga.Umeamini maneno yangu mkuu? At first nilikwambia lengo Lako ni kubishana na Mimi ili ushinde ukabisha. Ona una ji expose mwenyewe.. I can access your subconscious mind
Hakuna Vita yoyote mkuu.. Ndoa ni Tambiko la Asili. Tambiko la heshima.. Hizo mnazofunga kanisani na misikitini sio ndoa hizo.. Utakuwa unanikosea Sana heshima kama utaziita ndoaKuna vita kubwa dhidi ya ndoa sijui kwa Nini?. Ila kwa observation wanaobaki kwenye ndoa ni wengi kuliko wanaoachana. 80 kwa 20 asilimia.
Hoja yako tayari imejibiwa.. But umejielekeza kubishana na Mimi as a person kuliko hoja yangu. Kwa sababu unajua hoja yangu Ina ukweli mnene kiasi unaweza kuushikaJibu hoja, hii ndio tabia yenu watu msio kuwa na hoja, huwa mnaacha hoja za msingi mnakimbilia kujibu ujinga.
Umejibu hoja gani? Iweke hapa.Hoja yako tayari imejibiwa.. But umejielekeza kubishana na Mimi as a person kuliko hoja yangu. Kwa sababu unajua hoja yangu Ina ukweli mnene kiasi unaweza kuushika
Mkuu Ina maana wewe huoni ndoa zinavyo vunjika kwa wingi Tanzania kiasi cha kuitwa janga? Mpaka wasanii wa musicians wanaimba nyimbo kuziponda ndoa..Umejibu hoja gani? Iweke hapa.
Ila huwa tunapenda sana kuwasemea hao mababu mara hivi mara vile, yote ni mitazamo yetu binafsi tu tunahusisha na hao mababu.Mababu hawana muda wa kufuatilia kama ulifunga ndoa kanisani lakini hawana taarifa kama umefunga ndoa so they will never protect your marriage kwa sababu hawawezi ku protect kitu ambacho hakipo... Mwisho wa siku watoto wa wanaume wengine wana zaliwa kwenye " Ndoa" yako..
Fateema hii siyo hoja ninayo pingana nayo mimi, soma replies zangu vizuri utaelewa ni nini ninakipinga kwenye hii mada.Mkuu Ina maana wewe huoni ndoa zinavyo vunjika kwa wingi Tanzania kiasi cha kuitwa janga? Mpaka wasanii wa musicians wanaimba nyimbo kuziponda ndoa..
Sahihi kabisa, halafu jamaa anadai ameandika ukweli mtupu wakati ni assumption mtupu.Ila huwa tunapenda sana kuwasemea hao mababu mara hivi mara vile, yote ni mitazamo yetu binafsi tu tunahusisha na hao mababu.