LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,839
- Thread starter
- #41
Duh u want me to prove my claim beyond any reasonable doubt.. Mambo ya mahakamani hayo mkuu. Anyways even though I know that some of the things that happen on earth can't be proved in the court of laws but kupata uthibitisho wa madai yangu wala hata huhitaji kutumia nguvu nyingi wewe nenda mahakamani tu ukakutane na maelfu the case watu wanafile for divorce.. Zungumza na Family Lawyers wakwambie wanacho kishuhudia.. Nenda wa wajumbe wa nyumba kumi, ofisi za serikali za mitaa, ustawi etc..Mkuu kwanza unapaswa uthibitishe pasi na shaka kuwa ndoa nyingi za kiislamu na kikristo hazidumu. Baada ya hapo ndio tujadili kwa nini?
Tazama kwenye jamii na vyombo vya habari kila siku vinaripoti habari za wanandoa kuuana etc..
Anyways I know you were joking