Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

Unatumia vigezo gani kusema ndoa yako IPO salama mkuu? Huo utafiti uliufanyia wapi?
Sasa hivi umechoka kujadili hoja umeanza kuhamia kwenye maisha yangu binafsi? Ndoa yangu kuwa salama ni kwa sababu mimi na mke wangu tunaishi kwa misingi ya akili, heshima, ukomavu, na uaminifu, vitu ambavyo havihitaji utafiti wa chuo kikuu kuthibitisha. Ukweli uliokushinda ni kwamba ndoa inalindwa na tabia ya watu wawili, siyo mambo ya kuku mweusi porini. Focus on the argument.
 
Sasa hivi umechoka kujadili hoja umeanza kuhamia kwenye maisha yangu binafsi? Ndoa yangu kuwa salama ni kwa sababu mimi na mke wangu tunaishi kwa misingi ya akili, heshima, ukomavu, na uaminifu, vitu ambavyo havihitaji utafiti wa chuo kikuu kuthibitisha. Ukweli uliokushinda ni kwamba ndoa inalindwa na tabia ya watu wawili, siyo mambo ya kuku mweusi porini. Focus on the argument.
Fact
 
Ukiwafuatilia utaona kila mmoja anaeleza yake kuhusisha hao mababu, sasa haieleweki huo ukweli ni upi?
Ndiyo maana kuna sehemu mimi nimemwambia jambo lisilo na takwimu halisi huwa linabaki kuwa ni assumption tu.

Yeye anakomaa kutaka kutuaminisha ni jambo la kweli, ili hali hata kuthibitisha kuwa ni jambo la kweli hawezi.
 
Mwenzetu wewe mzungu bana lazima useme hivyo. Ila kwa wasisi waafirka tunao preserve Uafrika wetu tunajua mababu wapo na uwepo wao, nguvu zao maana zao zinaishi kwenye maisha yetu..
Issue sio kuwepo au kutokuwepo hao mababu, mimi nazungumzia hayo mambo ambayo mnayahusisha na hao mababu ndio kitu ambacho nasema ni mitazamo yetu tu imejaa kila mmoja anaweza kusema lake na kuhusisha na mababu.

Kama hapa wewe umekuja kuhusisha masuala ya kuvunjika kwa ndoa na masuala ya mababu, kwahiyo kuna mengi tunaona yanahusishwa na mababu ilhali uhalisia haupo hivyo bali ni mitazamo binafsi tu ya watu.

Na kama kweli unaamini uwepo na nguvu zao bila ya shaka unafahamu pia kuwa kuna nguvu mbaya au mababu wabaya pia ambao huweza kuharibu ndoa za watu.
 
Enzi za mababu zetu ndoa kuvunjika sio rahisi. Huu utamaduni wa kizungu na kiarabu haueleweki kwani sio jadi yetu. Tulipokea tu bila kuhoji, ukihoji ni dhambi..
Kwahiyo mkuu unataka kusema imani zetu za asili afrika huwa tunahoji kuhusu hizo imani?
 
Mababu hawana muda wa kufuatilia kama ulifunga ndoa kanisani lakini hawana taarifa kama umefunga ndoa so they will never protect your marriage kwa sababu hawawezi ku protect kitu ambacho hakipo... Mwisho wa siku watoto wa wanaume wengine wana zaliwa kwenye " Ndoa" yako..
Unazidi kujichanganya kila hatua unayopiga. Ndoa inalindwa na upendo, uaminifu, na heshima ya wawili waliopo hai, ukioa mwanamke asiyekuheshimu, hata mkienda porini kupiga magoti, bado atakuletea watoto wa nje ya ndoa kwa sababu ana uhuru wake wa kufanya maamuzi ya hovyo. Acha kutisha watu na hadithi za kusadikika.
 
Takwimu ni nini?
Takwimu ni pale unapochukua ndoa 1,000 za hapo Chamazi na Kimara, ukafuatilia maisha yao, ukagundua ndoa 450 zimevunjika kwa sababu ya usaliti na umaskini, na hakuna hata moja iliyovunjika kwa sababu ya hao mababu zako. Hizo namba ndio zinaitwa takwimu. Zipo ili kukata porojo za watu wanaoota ndoto usiku na kuja kuzifanya kuwa sheria asubuhi. Now you know?
 
Kama hujafunga ndoa ya kimila, uwezekano wa kulea watoto wa nje ya ndoa ni 45%. Ndoa za kanisani na msikitini hazina adabu
Hiyo asilimia 45 umeitoa kwenye kamusi gani ya mizimu? Utafiti gani duniani unaonyesha uwezekano wa kulea watoto wa nje una uhusiano na eneo la kufungia ndoa?
 
😂😂 Imenibidi nicheke kwanza ulichoandika! Eti Newton alidondokewa na passion fruit? Newton aliishi Uingereza, huko hakuna miti ya passion, hadithi yake inasema ni toloo au epo,

Mkuu unazidi kuprove hoja yangu kuhusu wewe kwamba lengo Lako ni kubishana na mtoa hoja na sio hoja.. Ndio maana nimekuchekecha hapo kwenye passion nikijua lazima utakuja kuzungumza kuhusu passion na wakati hoja hapo sio tunda, hoja ni tunda kudondoka kutoka kwenda chini.. Ninacho kushangaa ni kwanini hujanikosoa kwenye suala la Newton kudondokewa na tunda.. Nilijua utanikosoa na hapo kwa sababu Newton ha kudondokewa na tunda isipokuwa aliona tunda likidondoka au kwa lugha nyepesi tunda lilidondoka pembeni yake.. Kumbe hata katika ubishi wako bado haupo makini.. Next time kuwa makini.

# Nilikua uwanjani Jana natazama mpira ndio maana sikuweza kukujibu ontime. Sasa nimekuja kukuelekeza.

yani unavyouliza tu kuwa Newton alitoa wapi data za kimahesabu inadhihirisha hujui historia ya sayansi,
Mimi nilifikiri ungesema sisomi sayansi kumbe unazungumzia Historia ya sayansi.. We jamaa vipi wewe? Niache kusoma sayansi yenyewe nisome histora ya sayansi..Hata Ole Gunnar ata guna.

ngoja nikueleweshe, iko hivi Newton alitumia data za miaka mingi za unajimu kutoka kwa Johannes Kepler na Tycho Brahe
Hapa ndio umethibitisha kweli wewe umesoma Historia ya sayansi na sio sayansi yenyewe. Kama ungekuwa umesoma sayansi yenyewe wala usingethubutu kuwaleta Kepler na Brahe kwenye huu mjadala kwa sababu uwepo wa watu hao wawili kwenye huu mjadala una sapoti hoja yangu kuliko hoja yako.. How? 👇👇

Kepler Ali develop his 3 laws of planetary motion kwa kusoma kazi za Brahe.

Brahe alikuwa mwana Astronomia nwenye sifa moja kubwa. Sifa hiyo ni 👇👇

Alikuwa ana lisoma anga ( he was studying the sky) kwa kufanya observation. ( Kwa kulitazama tu ) Na alikuwa ana anaziandika findings za kile alicho kisoma kwenye anga.

So break it down to you 👇👇👇👇👇

Brahe ali study anga kwa kufanya observation 👉 Kepler akatumia findings za Brahe ku develop his three laws of planetary motion 👉 Newton akatumia maandishi ya Kepler kama reference kwenye andiko lake.


Baada ya hilo tukio la apple, tayari Newton alisha develop hypothesis yake kuhusu gravity, alicho kuwa anakitafuta ni lugha ya ki sayansi na ki Hisabati ( Mathematical and Scientific Language ) ku explain hypothesis yake..

, na akalazimika kugundua hesabu mpya kabisa inayoitwa calculus ili kuthibitisha nadharia yake kwenye kitabu chake cha Principia Mathematica!

Eti " Hesabu mpya iitwayo Calculus" 🤣🤣🤣

Again kweli wewe ni msomi wa Historia ya Sayansi na sio msomi wa sayansi, kwa sababu ungekuwa msomi wa sayansi ungekuwa unafahamu ya kwamba Newton hakugundua Calculus. What happen ni kwamba Newton ali develop a new method in Calculus ( Method of fluxions) Alicho kitanya hapo kwenye Calculus ni ku synthesize na ku formalize pre -existing ideas.
Hakukaa tu chini ya mti akatunga stori kama unavyofanya wewe sasa hivi hapa
Yaani unafananisha taasisi ya ndoa ya watu wazima wawili na mtoto mdogo aliyetoroka nyumbani?

Miaka ya tisini nilikuwaga jambazi. Section yangu ilikiwa kuendesha gari . Ilikuwa tukienda kufanya tukio halafu ukachelewa kuingia kwenye gari mi nakuacha unaishia kwenye mikono ya wananchi wenye hasira. Kwa sababu nilikuwa sipendi watu ambao wapo slow..

Nasikitika kukwambia mkuu hata wewe ningekuacha na sasa hivi ungekuwa marehemu. Kwa sababu upo very slow..

Mfano wangu upo wazi Kabisa kama uchi wa mbuzi. Sijafananisha masuala ya ndoa na binti wa miaka 16. Nilikuwa nakujihu hoja yako. Ulisema Mimi nimesema " Ndoa zinazo fungwa kanisani na misikitini zinavunjika kwa sababu mizimu imekasirika " Nikakukibu hiyo sio hoja yangu. Nikasema hoja yangu ni 👇👇👇👇

Ndoa hizo zinavunjika kwa sababu mizimu haizitambui. Na mizimu haizitambui kwa sababu hazijatambulishwa kwao. Mizimu ingezitambua ingezilinda zisinge vunjika... Next time ntawomba mods waweke option ya fimbo .
Kisheria na kiuhalisia, hizo defects huwa zinatengenezwa na akili na tabia mbaya za hao wanandoa wenyewe wakiwa hai, sio kwa sababu ya roho za waliokufa zimegoma kuwalinda,
Kwani akili ni nini? Tabia mbaya ni nini?


umesoma kweli wewe,

Sijasoma ndio maana naamini katika mizimu


mbona ni mweupe hivi?

🤣🤣🤣 unajaribu kuni gaslight.. We mwenyewe unajua Mimi sio mweupe.. Leta hoja mkuu wacha ku play games
Unachokifanya hapa ni kuzunguka mbuyu tu, hauna hoja yoyote yenye mashiko
Nimefurahi umetaja vigezo vya mahakama vya adultery, cruelty, na desertion,
🤣🤣🤣 We jamaa ur so funny... Eti umefurahi.. Hujafurahi bana unless otherwise uwe hujui ulicho kiandika

Or else kitu gani kina kufanya ufurahie hoja ambayo Ina pingana na madai yako?

Okay najua unasahau kwa haraka sana inabidi nifanye kazi ya ziada kukukumbusha kila Mara. Ni hivi madai yangu yalikuea ni kwamba ndoa za kanisani na msikitini zinavunjika sana.. Wewe ukauliza nimefanya wapi utafiti nikakujibu nimefanya observation... Ukasema nimefanya observation kwa washkaji zangu watano tu.. Again nikakwambia utandawazi ulivyo nisaidia kujua kinacho endelea kwenye taasisi ya ndoa sehemu mbalimbali nchini...


Ukashikilia kwenye msimamo wako kwamba unataka takwimu.. Nikakwambia nenda mahakamani huko ukakutane na maelfu ya kesi za watu wakiomba talaka..


Ukasema hao hawaombi talaka kwa sababu ya ndoa zao kuvunjwa na mizimu.. Na Mimi nikakujibu hata Mimi sijasema hivyo. Nikakueleza watu Hao wanaomba talaka kwa sababu kuu moja ya kisheria ambayo ni " THE MARRIAGE HAS BROKEN DOWN IRREPARABLY" Dai ambalo linathibitishwa na vitu vikuu vitatu ambavyo ni : 👇👇

1. Adultery.

2. Cruelty and

3. Dissection.

Ghafla unasema umefurahi kusikia hivyo 🤣🤣🤣🤣 Umefurahi kivipi? .


Yani umefungwa goli halafu unafurahi are you okay?

Anyways kama hujui ninacho kisema hapa ni kwamba.. 👇👇👇👇👇

Uwepo wa maelfu ya wakristu wanao omba talaka mahakamani una prove madai yangu kuhusu sababu za kiroho kwanini ndoa hizo za kanisani zinavunjika Sana.. How 👇👇👇


Kwa wakristu ndoa ni agano takatifu. Agano hili hufungwa kwenye " Madhabahu" Kanisani.. Kiapo Kikuu cha agano Hilo ni " TILL DEATH DO US APART"

Kwa hiyo hatakiwi kuonekana mkristu yoyote kwenye mahakama ya kiraia akiomba talaka ya kuvunja ndoa yake huku mwenzi wake wa ndoa bado yupo hai kwa sababu agano Lao ni mpaka kifo kitakapo watenganisha...

So uwepo wa makumi elfu ya wa Kristu wanao omba talaka mahakamani unathibirisha madai yangu kwamba ndoa nyongi Sana za kikristu zinavunjika..

I


sasa nikuulize hivi unajua maana ya hivyo vitu?
Are u asking the question or are you talking about the question?


Hakuna mtu ambaye huwa anasaliti ndoa yake kwa sababu mababu hawamtambui, usaliti ni issue ya tamaa za mtu binafsi, hata ukienda mahakamani kuangalia rate ya divorce, utaenda kuishia kuona tu uharibifu wa tabia za binadamu wa sasa, sio uharibifu unaotokana na kukataa mila. You just proved my point using the law, Ahsante sana.

Mkuu usifananishe " Ndoa" na vitu vya ajabu. Unganiko ambalo mababu hawalitambui ni void about initio.. Utakuwa unanikosea Sana heshima kama utakuwa unamaanisha hayo maigizo mnayo fanya kanisani ni ndoa.
Nitake radhi tayari..


Ndoa inavunjikaga? 🤣🤣🤣🤣 kama ndoa imevunjika basi hiyo haikuwa ndoa kabisa.. Kinacho vunja ndoa ni kifo tu
 
Back
Top Bottom