Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

Narudia tena hakuna " Ndoa" Inayo haribika.. Hicho mnacho kifanya kanisani ni uhuni usiite ndoa. Sifa ya kwanza ya ndoa ya kwanza ya mwanamke ni lazima awe bikira.. Wewe mwanamke sio bikira halafu unaita ndoa, uliwahi ona wapi ndoa ya hvyo?
Huko kijijini kwenu au kwenye ukoo wenu, dada zako wote na binti zenu wote wameolewa wakiwa bikira? Mbona wengi walishazaa kabla ya ndoa na bado wazee wenu wa kimila walipokea mahari na wakawabariki? Unataka kuaminisha watu uongo hapa JF wakati hata huko vijijini kwenu ndoa za kimila za wanawake ambao si bikira zipo maelfu na zina amani!

Una upeo mdogo sana wa kuelewa mila na sheria. Kwenye Sheria ya Ndoa ya Kitanzania na hata kwenye Sheria za Kimila hakuna kipengele kinachosema ubikira ni sifa ya ndoa halali, hata kibaolojia, binti anaweza kupoteza ubikira kwa michezo au ajali bila hata kukutana na mwanaume. Sasa kwa akili yako fupi binti wa namna hiyo akiolewa kimila utamuita ni uhuni?
 
Ndoa ni suala la kimila. Inatakiwa kufanyika kwa kufuata taratibu za mila na desturi za utamaduni husika.

Unaenda kufunga ndoa yako kanisani kwa mujibu wa mila na desturi za wazungu/wayahudi kwani wewe mzungu/myahudi? Utamaduni wa wazungu/wayahudi unakuhusu vipi wewe msambaa wa Lushoto?

Unaenda kufunga ndoa kwa mujibu wa mila na desturi za waarabu ( ndoa ya kiislamu) kwani wewe mwarabu?

Utamaduni wa mwarabu unakuhusu vipi wewe Abdullah Kinyogoli mdengereko wa Kiparang'anda?

Ndoa ya mwafrika yapaswa kufungwa kwa mujibu wa mila na desturi za kabila husika. Mzaramo afunge ndoa kwa mujibu wa mila na desturi za kizaramo... Kama ameoa let's say msukuma basi tamaduni zote zifuatwe.. Tamaduni za kizaramo na tamaduni za kisukuma.

Ndoa ni tambiko Zito sana na Lenye nguvu za ajabu. Sio kitu cha kufanyia mzaha mzaha kama mnavyo fanya nyie wayahudi wa kimara na waarabu wa chamazi.

Ndoa ni tambiko la kuwakabidhi wana ndoa kwa watakatifu mabibi na mababu wa ukoo kwa ajili ya Baraka zao. Ndio maana kwenye " Matambiko ya Ndoa" ya wazee wetu walichinjwa wanyama weusi pea 2, mmoja jike mwingine dume kila pea kama ishara ya heshima kwa mabibi na mababu wa pande zote mbili..

Kazi ya damu katika ulimwengu wa roho ni pamoja na kusimamisha agano na pili damu hutumika kama medium of communication.. So damu inayo mwagwa kwenye hilo tambiko la kuunganisha Koo inatumika kupeleka taarifa kwa mabibi na mababu kwamba wewe Bwana Mandevu na Bi Cheupe mmefunga ndoa mmekuwa mke na mume..

Hivyo vitu mnavyo ombwaga kwenye kutoa mahali ( Mkaja wa Bibi, ugoro wa babu etc) ni vitu ambavyo zamani villkuwaga vinatolewa kweli vyenyewe kama vyenyewe kwa ajili ya kuwapa zawadi watakatifu mabibi na mababu zetu ( mnawaita mizimu) kama ishara ya shukrani zenu na heshima yenu kwao na vilitunzwa kama sehemu ya ukumbusho wa agano lenu la ndoa.. Ila sasa hivi mmevigeuza eti mnatoa hela badala ya vitu vyenyewe... Wazazi wanavitumia kama excuse ya kuwapiga hela washenga..

Kwa bahati nzuri sana wa Afrika matajiri na viongozi wengi wa najua kuhusu ukweli huu ndio maana wengi wao at least hufanya sherehe za kimila kwenye kutambulisha uchumba ( mfano binti wa Ruto) na wengine hadi kwenye ndoa then kanisani au msikitini wanafanya ceremonial tu..

Uliwahi kujiuliza kwanini unakuta mtu amekaa kinyumba na mwanamke vizuri kabisa kwa amani na furaha miaka mitano hadi kumi wamezaa na watoto halafu wakienda kubariki ndoa kanisani hawamalizi mwaka wanaachana? This will be a topic for another day.

Brothers and sisters.. Turudi kwenye asili yetu. Wazungu na waarabu wametupiga pakubwa. Yes we like their technology lakini utamaduni wetu kama waafrika hasa kwenye Jambo serious kama la ndoa lazima tuuenzi.

Sio tu kwenye ndoa hata kwenye suala la kuzaliwa, suala la unyago/jando, suala la maziko, kote huko tunapaswa kurejea kwenye utamaduni wetu.. Unampaje mtoto jina bila kufanya " Naming Ceremony "? . Unamuitaje mtoto wako jina Elton wakati wewe mgogo? Halafu akija kuwa shoga una laumu Freemasons?

Haya sasa twende kazi..

1. Kama ndio upo kwenye mchakato wa ndoa ya kanisani au msikitini achana na hizo Mambo fanya ndoa ya kimila and thank me later.

2. Kama ulisha funga ndoa kanisani au msikitini kimbia haraka sana kajisalimishe kwa watakatifu mabibi na mababu zako kwa ku " Bariki" Ndoa yako kimila..( I mean kwa kufunga upya ndoa yako kimila kwa kufuata ya taratibu wa mila na desturi za kwenu)

Na wewe ambae ulisha funga ndoa ya kanisani au msikitini unapoenda kubariki ndoa yako kimila nenda katubu na kuomba msamaha kwa watakatifu mabibi na mababu zako.. Jigaragaze Lia omboleza omba msamaha wa dhati..

Na wewe ambae ulikuwa ndio upo kwenye mpango wa kufunga ndoa ya kanisani au msikitini, wachana na hiyo story kisha kimbia haraka sana ukafunge ndoa ya kimila.. Nasema kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukiumia inuka vumilia.

Ndoa za waafrika zifungwe kwa kufuata mila, desturi za tamaduni za ki Afrika.

Thank me later.🙏🙏🙏🙏

N. B : Tambill halisi la ndoa ya kimila inayo kubalika na mababu, pamoja na Mambo mengine, inahitaji mambo makuu yafuatayo :

1. Damu ya mtu ( Damu hii humwagika wakati mwali ana fanya tendo la ndoa kwa mara ya kwanza / Damu ya bikini)

Kazi ya damu hiyo ni pamoja na 👇👇👇👇👇

1. Kusimamisha agano la ndoa husika.. Kupeleka taarifa kwa mababu kwamba binti fulani kaolewa na fulani bin fulani.

( Hii ni kwa mwanamke anae olewa kwa mara ya kwanza.. Ni lazima na sio ombi)

2. Kama mwanamke anaolewa kwa mara ya pili basi ni lazima mume wake wa kwanza awe amefariki dunia kwa sagabu agano la ndoa ya kiafrika huwa ni la milele. So kwa mwanamke anae olewa kwa mara ya pili baada ya mume wake kufa, tayari mababu wanakuwa na taarifa kwa sababu mtu anapokufa, kwenye tambiko la maziko yake huwa wanachinjwa wanyama kwa ajili ya kitoweo. Damu za wanyama wanao chinjwa kwenye msiba wa marehemu hutumika pia kupeleka taarifa rasmi kwa mababu kuhusu kifo cha mume wa mwanamke huyu.
Mimi ndoa yangu nimefunga kwa taratibu za kimila ila kanisa limeibariki baadaye
 
Huko kijijini kwenu au kwenye ukoo wenu, dada zako wote na binti zenu wote wameolewa wakiwa bikira? Mbona wengi walishazaa kabla ya ndoa na bado wazee wenu wa kimila walipokea mahari na wakawabariki? Unataka kuaminisha watu uongo hapa JF wakati hata huko vijijini kwenu ndoa za kimila za wanawake ambao si bikira zipo maelfu na zina amani!
Umefanya wapi utafiti huo kugundua wanawake vijijini kwenye ndoa za kimila wana olewa wakiwa hawana bikra?
Una upeo mdogo sana wa kuelewa mila na sheria. Kwenye Sheria ya Ndoa ya Kitanzania

na hata kwenye Sheria za Kimila hakuna kipengele kinachosema ubikira ni sifa ya ndoa halali
Sheria ya mila ipi hiyo? Sheria namba ngapi na ya mwaka gani? 🤣🤣🤣
, hata kibaolojia, binti anaweza kupoteza ubikira kwa michezo au ajali bila hata kukutana na mwanaume. Sasa kwa akili yako fupi binti wa namna hiyo akiolewa kimila utamuita ni uhuni?
Tutajie jina la binti alie poteza bikira yake kwa ajali au michezo ili tujue you are not talking about a ghost?
 
Tatizo la watu kuachana si la kanisa au nyumba za ibada, na la wahusika

Kabla hawajaenda kwenye nyumba za ibada walikubaliana nini? Uhalisia wa kuish pamoja walishaujaribu?

Kusinginzia nyumba za ibada ni excuse
Kama ni hivyo, kwenye nyumba za ibada wanaenda kufanya nini? Na hicho kiapo wanachokula kwenye nyumba za ibada humaanisha nini?
 
Nimeamini kweli wewe ni mjinga na upo kubishana kwa sababu unacopy sehemu tu wala hutumii akili yako ndio maana unakuwa kichwa ngumu kuelewa. Yani unalazimisha maneno ya Kilatini ya sheria kwenye vitu hata usivyovijua.

Sawa mimi mjinga but sija copy sehemu yoyote kama unavyo dai. Ila ninacho jua. The maxim " Exi turpi causa non oritor actio" = You cannot claim a right out of an illegal transaction. Kwa mtu ambae hajakariri kama wewe anajua kuwa hiyo maxim inaweza kufit mahali popote, more especially kwenye suala la ndoa kwa sababu hiyo ni transaction pia. Unless otherwise uwe hujui kama hiyo ndoa yako ya kanisani ni transaction but illegal one kwa sababu Ina lack ingredients za kuofanya kuwa legal.. Kwa hiyo ni kichaa tu ndio anaweza kutarajia kuheshimika/kuheshimiwa kwenye jambo ambalo halijafanyika kwa kufuata misingi ya heshima.
Nme The law of marriage act, cap 29, hakuna kipengele hata kimoja cha Sheria ya Ndoa, au sheria za kimila kinachosema ndoa ni batili kwa sababu mwanamke si bikira!

Unajua wewe jamaa ni kilaza usie jijua... Ni wapi nimeizungumzia hiyo Law of Marriage Act? Au nilivyo tumia hiyo maxim exi turpi causa non oritor actio ndio imekuchanganya sio? Yani umeshindwa kabisa ku connect Kati hoja yangu na hiyo maxim? Seriously? Okay I understand ur a very slow individual, so let me break it down to you as follows: 👇👇👇👇

Nimesema hivi kwa taratibu na Mila na desturi za kiafrika, ndoa ni tambiko linalo husu kuunganisha familia/koo mbili. Kila tambiko lina vigezo vyake.. Kigezo namba Moja cha tambiko la ndoa ya kimila ni kwamba mwanamke lazima awe bikira. Hiki ni kigezo cha lazima ambacho hakina compromise.. Kama mwanamke sio bikira, tambiko hilo haliwezi kufanyika kwa sababu litakosa uhalali wanna kuitwa tambiko juu ya mwanamke anae olewa kukosa kigezo cha kushiriki kwenye tambiko Hilo.

U taratibu huu unawahusu waafrika wote toka enzi za mabibi na mababu. Uki " Muoa" Mwanamke ambae sio bikira tafsiri yake ni kwamba huyo sio mke wako halali. Kwa sababu mkeo halali ungepaswa kumuoa akiwa bikira.. Yes unaweza ukapewa vyeti vya kiserikali kuonyesha kwamba huyo ni mke wako, lakini katika ulimwengu wa kimila huyo si mkeo. Ulimwengu wa kiroho huyo si mkeo pia.. Ndoa yako ni haramu au kwa lugha nyingine hukufunga ndoa..

Hiyo sheria umejitungia chumbani kwako kwa kukariri maneno ya kilatini kwenye Google tu
Ni taratibu ya kimila. Ni taratibu ya kilimwengu. Kama umeoa mwanamke ambae sio bikira I am regretting to tell u she is not your wife. Mume wake ni Yule alie mtoa bikira

, Unajifanya unajua mila, mbona makabila mengi ya kiafrika yakioza binti ambaye si bikira mahari inapunguzwa tu kidogo lakini ndoa inafungwa na inatambulika?
Wanawaozesha kikanisa kanisa na sio kimila. Kimila na desturi za kiafrika ndoa haiwezi kuwa halali kama mwanamke halfway bikira wakati anaolewa

Kweli namuelewesha chizi hapa, yani maelezo yote hayo marefu umeandika kuhusu mke wangu as if unamfahamu kumbe hata humjui maskini , huoni kama unajidhihirisha ni jinsi gani ulivyo mjinga?

🤣🤣🤣 kwa hiyo unataka kusema ulimuoa mkeo akiwa bikira?
Uzuri hapa unabisha kijinga tu, asilimia kubwa ya watu humu ndani wanaujua ukweli,

Huo utafiti umeufanya wapi kupata hizo asilimia? 🤣🤣🤣
ndio maana naishia kukuita wewe ni mjinga na mila zako,

Umepanic 🤣🤣🤣🤣
kwenye uzi wako wa kwanza uliponda dini za kigeni ukasema wakristo wa kimara na waislamu wa chamazi wametupiga pakubwa. Saizi ili utetee hoja yako ya ubikira, ghafla umeanza kumuonea huruma Mungu wa kanisani na amri zake za kuzuia uzini! Yaani dini umezikataa, lakini unatumia amri za hizo hizo dini kuhukumu maadili ya wanawake? Huoni jinsi akili yako inavyohangaika kutafuta msaada wa hoja mpaka unakumbatia vitu ulivyoviponda mwanzo? Hujioni Jinsi ulivyo mjinga?

Wewe jamaa upo very slow ujue..🤣🤣🤣🤣 kwa hiyo hapo wewe umeona ninatafuta huruma kwa Mungu wako? 🤣🤣🤣

Ni hivi wewe ni mkristu. Umefunga ndoa kanisani. Ukaja na hoja kwamba msingi wa ndoa yako na mkeo umejengwa kwa heshima, utiifu na uaminifu blah blah blah.

Na Mimi ndo nikakujibu sasa kwa kutumia mtazamo wa Imani yako kukuonyesha kwamba huyo mkeo hakuheshimu wala sio mtiifu na mwaminifu kwako..

Sababu zangu nikasema, mkeo umemoa akiwa sio bikira. So kama umemuoa akiwa sio bikira maana Yake :

1. Sio mtiifu kwa Mungu wake.

2. Sio muaminifu kwa Mungu wake.

3. Hamuheshimu Mungu wake.

Ndio maana alizini kabla hajaolewa licha ya Mungu wake kumkataza.

Kama hakumtii Mungu wake, hakumuheshimu Mungu wake, hakuwa loyal kwa Mungu wake. Atakuja kuwa loyal kwako? Dogo hebu Wacha ufala basi 🤣🤣🤣 Huna ndoa wewe.. Ndoa halisi mwanamke lazima umkute bikira.
Kama kawa umri tu ulio nao unaniuliza maswali ya kijinga kama ukomavu ni nini, unatagemea nione hapa najadili na mtu mwenye utimamu wa akili kweli?

🤣🤣🤣 Wacha kupanic.. Jibu swali ili nione kama unakijua unacho kiandika hapa.
Kama ndoa tu hujui ni nini, hiyo ukomavu ndio Utajua ni nini?
Ni dhahiri kwamba mjadala huu umekushinda kwa sababu umeanza kutumia lugha za dharau kwa wanawake na kuhukumu ndoa za watu kwa vigezo vya chumbani. Kuingiza habari za ubikira na kusema ndoa za watu hazina amani kisa hawajafuata ramli zako, ni ishara ya hofu na upungufu mkubwa wa uelewa wa saikolojia ya ndoa za leo. Nenda kaisalimishe hiyo hoja yako iliyofeli kwa mababu zako, jenga hoja zenye uhalisia nikuone nione kweli unajua nini unaongea sio kuniletea maj

Buhahahahaha 🤣🤣🤣🤣 eti nahukumu wanawake... Kusema mwanamke lazima aolewe akiwa na bikira ndio kumuhukumu? We bwege nini?
 
Ndoa za kimila hazivunjiki.

Ndoa za kimila mwanamke haolewi kama sio bikira. Ndoa za kanisani mwanamke anaolewa tu hata kama sio bikira.

The structure of traditional marriages is so strong to be broken. Ndoa ya kimila huvunjika pale mwenzi anapo kufa.

Ndoa ya kanisani ni mwanamke na mwanaume wanawaacha wazazi wao kuanzisha familia

Ndoa za kimila ni familia za wazazi wa wanandoa zinaunganishwa kupitia watoto wao.. Vitu viwili tofauti

Hoja yangu ilikuwa kwamba ni rahisi sana kupata taarifa (idadi) za ndoa za kidini zilizofungwa au kuvunjika nchini kwa sababu ya mfumo wake wa urasimishaji na utunzaji wa taarifa na kumbukumbu zake ambao haupo au kama upo sio lazima kuzingatiwa kwa ndoa za kimila.

Ndiyo maana nikasema kwamba huwezi kulinganisha maisha ya ndoa hizo mbili (kudumu au kuvunjika mapema) kwa sababu taarifa (data) za ndoa za kimila hazipo wazi kabisa.

Kwa hiyo ni vigumu au ni kosa kuhitimisha (it's a biased conclusion) kwamba ndoa za kidini hazidumu ukilinganisha na za kimila kwa sababu hakuna taarifa za upande wa pili.
 
Mambo yameanza huku. Ndoa za kanisani hizi 👇👇👇👇👇👇

Mchezaji wa zamani Wa Klabu ya Yanga, Mukoko Tonombe anaripotiwa kupitia kipindi kigumu baada ya kutapeliwa nyumba na aliye kuwa mkewe anaye itwa Trisha.

Mukoko baada ya kuja kucheza Tanzania alimuoa Trisha, na hata baada ya kuondoka Yanga wali rudi wote Kongo, na baada ya kurudi Kongo ilibidi Mukoko awe anatuma pesa Kwa mama yake na mkewe Ili asimamie ujenzi, na nyumba ilivyo Kamilika waliweka mpangaji.

Sasa unaambiwa Kwa Sasa Mke wa Tonombe kasema hiyo nyumba ni yake haimhusu Mukoko Tonombe, na mpaka muda huu mwanamke huyo Yuko Afrika kusini na mwanaume mwingine.

Mukoko Anapitia Kipindi kigumu sana Mpaka Kaomba msaada kupitia MAI TV.

#fblifestyle
1000092618.jpg
 
Umefanya wapi utafiti huo kugundua wanawake vijijini kwenye ndoa za kimila wana olewa wakiwa hawana bikra?

Sheria ya mila ipi hiyo? Sheria namba ngapi na ya mwaka gani? 🤣🤣🤣

Tutajie jina la binti alie poteza bikira yake kwa ajali au michezo ili tujue you are not talking about a ghost?

Sawa mimi mjinga but sija copy sehemu yoyote kama unavyo dai. Ila ninacho jua. The maxim " Exi turpi causa non oritor actio" = You cannot claim a right out of an illegal transaction. Kwa mtu ambae hajakariri kama wewe anajua kuwa hiyo maxim inaweza kufit mahali popote, more especially kwenye suala la ndoa kwa sababu hiyo ni transaction pia. Unless otherwise uwe hujui kama hiyo ndoa yako ya kanisani ni transaction but illegal one kwa sababu Ina lack ingredients za kuofanya kuwa legal.. Kwa hiyo ni kichaa tu ndio anaweza kutarajia kuheshimika/kuheshimiwa kwenye jambo ambalo halijafanyika kwa kufuata misingi ya heshima.

Unajua wewe jamaa ni kilaza usie jijua... Ni wapi nimeizungumzia hiyo Law of Marriage Act? Au nilivyo tumia hiyo maxim exi turpi causa non oritor actio ndio imekuchanganya sio? Yani umeshindwa kabisa ku connect Kati hoja yangu na hiyo maxim? Seriously? Okay I understand ur a very slow individual, so let me break it down to you as follows: 👇👇👇👇

Nimesema hivi kwa taratibu na Mila na desturi za kiafrika, ndoa ni tambiko linalo husu kuunganisha familia/koo mbili. Kila tambiko lina vigezo vyake.. Kigezo namba Moja cha tambiko la ndoa ya kimila ni kwamba mwanamke lazima awe bikira. Hiki ni kigezo cha lazima ambacho hakina compromise.. Kama mwanamke sio bikira, tambiko hilo haliwezi kufanyika kwa sababu litakosa uhalali wanna kuitwa tambiko juu ya mwanamke anae olewa kukosa kigezo cha kushiriki kwenye tambiko Hilo.

U taratibu huu unawahusu waafrika wote toka enzi za mabibi na mababu. Uki " Muoa" Mwanamke ambae sio bikira tafsiri yake ni kwamba huyo sio mke wako halali. Kwa sababu mkeo halali ungepaswa kumuoa akiwa bikira.. Yes unaweza ukapewa vyeti vya kiserikali kuonyesha kwamba huyo ni mke wako, lakini katika ulimwengu wa kimila huyo si mkeo. Ulimwengu wa kiroho huyo si mkeo pia.. Ndoa yako ni haramu au kwa lugha nyingine hukufunga ndoa..

Ni taratibu ya kimila. Ni taratibu ya kilimwengu. Kama umeoa mwanamke ambae sio bikira I am regretting to tell u she is not your wife. Mume wake ni Yule alie mtoa bikira

Wanawaozesha kikanisa kanisa na sio kimila. Kimila na desturi za kiafrika ndoa haiwezi kuwa halali kama mwanamke halfway bikira wakati anaolewa

🤣🤣🤣 kwa hiyo unataka kusema ulimuoa mkeo akiwa bikira?

Huo utafiti umeufanya wapi kupata hizo asilimia? 🤣🤣🤣

Umepanic 🤣🤣🤣🤣

Wewe jamaa upo very slow ujue..🤣🤣🤣🤣 kwa hiyo hapo wewe umeona ninatafuta huruma kwa Mungu wako? 🤣🤣🤣

Ni hivi wewe ni mkristu. Umefunga ndoa kanisani. Ukaja na hoja kwamba msingi wa ndoa yako na mkeo umejengwa kwa heshima, utiifu na uaminifu blah blah blah.

Na Mimi ndo nikakujibu sasa kwa kutumia mtazamo wa Imani yako kukuonyesha kwamba huyo mkeo hakuheshimu wala sio mtiifu na mwaminifu kwako..

Sababu zangu nikasema, mkeo umemoa akiwa sio bikira. So kama umemuoa akiwa sio bikira maana Yake :

1. Sio mtiifu kwa Mungu wake.

2. Sio muaminifu kwa Mungu wake.

3. Hamuheshimu Mungu wake.

Ndio maana alizini kabla hajaolewa licha ya Mungu wake kumkataza.

Kama hakumtii Mungu wake, hakumuheshimu Mungu wake, hakuwa loyal kwa Mungu wake. Atakuja kuwa loyal kwako? Dogo hebu Wacha ufala basi 🤣🤣🤣 Huna ndoa wewe.. Ndoa halisi mwanamke lazima umkute bikira.

🤣🤣🤣 Wacha kupanic.. Jibu swali ili nione kama unakijua unacho kiandika hapa.
Kama ndoa tu hujui ni nini, hiyo ukomavu ndio Utajua ni nini?

Buhahahahaha 🤣🤣🤣🤣 eti nahukumu wanawake... Kusema mwanamke lazima aolewe akiwa na bikira ndio kumuhukumu? We bwege nini?
Wewe ni bwege tu ambaye hauna hoja yoyote ya msingi leta takwimu hapa zinazothibitisha madai yako mjinga mmoja wewe.
 
Wewe ni bwege tu ambaye hauna hoja yoyote ya msingi leta takwimu hapa zinazothibitisha madai yako mjinga mmoja wewe.
🤣🤣🤣🤣 umeishiwa hoja lazima utukane matusi..

Narudia tena huna ndoa wewe.. Hicho ulicho fanya ni uhuni tu.. Ndoa ni tambiko
Mkeo lazima awe bikira..

Wewe hujistukii? Wenzako wamemgeuza wamemtumia bure halafu wewe unaenda kumuoa unamfanya kuwa mke wako? Na mahali unatoa kabisa? 🤣🤣🤣🤣 Una akili timamu kweli wewe?
Wenzako walio fanya hivyo wamejificha huko hawataki kujulikana Ila wewe unajitokeza kabisa hadharani kutetea ubwege wako..

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndoa ni tukio la kimila chini ya serikali...

Mwanzoni ndoa haikuwa ishu ya kidini wala kanisani,, kwenye karne ya 13 wakristo wachache walianza kwenda kubariki ndoa zao kanisani ( Roman Catholic ).. baada ya kanisa kuona wanaobariki wamekuwa wengi ikaifanya sakramenti katika karne ya 16 ( around 1950 )..
 
Bila takwimu halisi hapa, unatakiwa uelewe umeandika ujinga tu mdogo wangu, yani assumptions mtupu hakuna uhalisia wowote hapa, kijana mjinga.
Takwimu za ndoa za kanisani si nimekwambia nenda kasome kesi mahakamani?. Au tayari umesahau.

Siwezi kuwa mdogo wako in many manner whatsoever..
 
Ndoa ni tukio la kimila chini ya serikali...

Mwanzoni ndoa haikuwa ishu ya kidini wala kanisani,, kwenye karne ya 13 wakristo wachache walianza kwenda kubariki ndoa zao kanisani ( Roman Catholic ).. baada ya kanisa kuona wanaobariki wamekuwa wengi ikaifanya sakramenti katika karne ya 16 ( around 1950 )..
Marcostilone
 
🤣🤣🤣🤣 umeishiwa hoja lazima utukane matusi..

Narudia tena huna ndoa wewe.. Hicho ulicho fanya ni uhuni tu.. Ndoa ni tambiko
Mkeo lazima awe bikira..

Wewe hujistukii? Wenzako wamemgeuza wamemtumia bure halafu wewe unaenda kumuoa unamfanya kuwa mke wako? Na mahali unatoa kabisa? 🤣🤣🤣🤣 Una akili timamu kweli wewe?
Wenzako walio fanya hivyo wamejificha huko hawataki kujulikana Ila wewe unajitokeza kabisa hadharani kutetea ubwege wako..

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna sehemu yoyote nimedai kuwa nimeoa mwanamke ambaye sikumkuta na bikira, unaandika maelezo marefu hivi kutolea ufafanuzi jambo ambalo haulifahamu kwa namna yoyote ile halafu unajiona upo timamu kweli?

Ni nani aliyeanza kumtukana mwenzake kwa kumuita bwege? Wewe sukari ilipanda muda sana kwa sababu nilicho kipinga ni sahihi, na nikakupa darasa, lakini kwa vile hautumii akili yako kufanya mjadala na mimi, lazima ukaze fuvu ili na wewe uonekane una hoja lakini, ni assumptions mtupu umeandika.

HAKUNA UKWELI WOWOTE UNAOENDANA NA UHALISIA WA MAISHA YA SASA KWENYE UZI WAKO.
 
Takwimu za ndoa za kanisani si nimekwambia nenda kasome kesi mahakamani?. Au tayari umesahau.

Siwezi kuwa mdogo wako in many manner whatsoever..
Nimeshakuambia, kasome The Law of Marriage Act 1971 ya Tanzania. Kwenye hizo kesi zote za talaka unazozisemea, hakuna hata moja iliyovunja ndoa kwa sababu unazoongelea wewe, haujui kusoma kwa ufahamu nini?

Hata kama una umri mkubwa, ila kifikra wewe ni mdogo wangu tu mbali sana, yani upeo wako wa kufikiri na kuchanganua mambo ni mdogo sana.
 
Ndoa ni tukio la kimila chini ya serikali...

Mwanzoni ndoa haikuwa ishu ya kidini wala kanisani,, kwenye karne ya 13 wakristo wachache walianza kwenda kubariki ndoa zao kanisani ( Roman Catholic ).. baada ya kanisa kuona wanaobariki wamekuwa wengi ikaifanya sakramenti katika karne ya 16 ( around 1950 )..
Karne ya 16 ni miaka ya 1500, Mwaka 1950 ni karne ya 20! Kasome vizuri kuhusu council of trent ya mwaka 1547. Halafu hata kama kanisa liliratibu ndoa kisheria baadae, hiyo inaondoa wapi ukweli kwamba tabia na akili ya mtu ndio inayolinda ndoa ya sasa?
 
typing error...ni 1500`S..
 
Back
Top Bottom