Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

Fine nijibu swali linalo fuata.
swali gani hapo mzee,,, maisha yako kwa ujumla yote yanaendeshwa na utashi na ufahamu wako..

kama ufahamu wako uko shallow utakuwa brain-washed na yanayokuzunguka..

mwenye ufahamu wa kina anaishi kwa misingi ya kuchunguza ukweli na siyo kwenda na mazoea au mitazamo pandikizwa.

ndoa siyo ya kila mtu..
 
Kama watu wanafuata hatua hizo hizo za kimila bado ndoa zao zinavunjika mahakamani kwa usaliti na ukatili, maana yake nini?
sielewi point yako hapo... ila kufunga ndoa haiondoi usaliti wala ukatili,, mi nazungumzia ndoa yenyewe kama tukio kwamba inafungwa kimila..
 
swali gani hapo mzee,,, maisha yako kwa ujumla yote yanaendeshwa na utashi na ufahamu wako..

kama ufahamu wako uko shallow utakuwa braish-washed na yanayokuzunguka..

mwenye ufahamu wa kina anaishi kwa misingi ya kuchunguza ukweli na siyo kwenda na mazoea au mitazamo pandikizwa.

ndoa siyo ya kila mtu..
Hebu tuache unafiki, nani hapa anaishi kwa mitazamo pandikizwa? Mtu anayelazimisha kuwa matatizo ya ndoa ya leo yanatatuliwa kwa kukimbilia matambiko ya karne ya 15, au sisi tunaobana hoja kwa kutumia takwimu halisi na sheria za sasa? Hapo mwenye shallow understanding na anayekariri mazoea ni nani?

Let's talk about critical thinking, msitangulize hisia mbele.
 
sielewi point yako hapo... ila kufunga ndoa haiondoi usaliti wala ukatili,, mi nazungumzia ndoa yenyewe kama tukio kwamba inafungwa kimila..
Okay, umesoma mada na kuielewa inazungumzia nini hasa? Je unakubaliana na mtoa mada? Kama ndiyo kwa hoja gani hasa?
 
Hebu tuache unafiki, nani hapa anaishi kwa mitazamo pandikizwa? Mtu anayelazimisha kuwa matatizo ya ndoa ya leo yanatatuliwa kwa kukimbilia matambiko ya karne ya 15, au sisi tunaobana hoja kwa kutumia takwimu halisi na sheria za sasa? Hapo mwenye shallow understanding na anayekariri mazoea ni nani?

Let's talk about critical thinking, msitangulize hisia mbele.
hayo matukio yaliyo kwenye hizo takwimu halisi na sheria zinazozovunja hizo ndoa zinasababishwa na nini?
 
Kukwepa swali unaloulizwa na kurukia hoja nyingine kabla haujajibu hoja ya mwanzo ndio unafiki huu nauita.

Unataka kujifanya wewe hujui mambo yanayosababisha tabia za hovyo za binadamu wa sasa?

Kwamba haujui upungufu wa maadili, malezi mabaya ya familia, shinikizo la mitandao ya kijamii, tamaa binafsi, na kutokujali kwa wanandoa wenyewe ndio sababu zenyewe?

Jibu hoja yangu yangu nzima ya mwanzo kwanza ili nikuelewe vizuri, upo upande gani, usitafute chaka la kujificha hapa.
 
Kwamba haujui upungufu wa maadili, malezi mabaya ya familia, shinikizo la mitandao ya kijamii, tamaa binafsi, na kutokujali kwa wanandoa wenyewe ndio sababu zenyewe?
ndo maana pale juu nilikwambia maisha yako yapo chini ya UTASHI na UFAHAMU wako unaopatikana kwenye maadili na malezi na tabia binafsi... ukiwa sawa kiufahamu hutopelekeshwa na MITAZAMO PANDIKIZWA ya mitandao ya kijamii.. sasa mi sielewi we unauliza nini?
 
Kwani mkuu ukienda moja kwa moja kwenye pointi, ukasema haukubaliani na mtoa mada tatizo litakuwa wapi?
 
“ Uliwahi kujiuliza kwanini unakuta mtu amekaa kinyumba na mwanamke vizuri kabisa kwa amani na furaha miaka mitano hadi kumi wamezaa na watoto halafu wakienda kubariki ndoa kanisani hawamalizi mwaka wanaachana?”

Jibu la hili swali lako lipo wazi, ndoa ya kusainishana makaratasi ni kama mkataba ambao upo legally binding, ukichepuka au akahisi umechepuka, kesho utamkuta mahakamani anadai mgawanyo wa mali nusu kwa nusu, motivation kubwa huwa ni tamaa ya mali waliyonayo wanawake.
 
Nimeshakuambia, kasome The Law of Marriage Act 1971 ya Tanzania. Kwenye hizo kesi zote za talaka unazozisemea, hakuna hata moja iliyovunja ndoa kwa sababu unazoongelea wewe, haujui kusoma kwa ufahamu nini?

Hata kama una umri mkubwa, ila kifikra wewe ni mdogo wangu tu mbali sana, yani upeo wako wa kufikiri na kuchanganua mambo ni mdogo sana.

Kwa hiyo kwa akili yako unadhani inaweza kuandikwa kwenye sheria ya ndoa kwamba " Ndoa zinavunjika kwa sababu hazijafungwa kimila"? Ndicho nilicho kimaanisha kwenye Uzi wangu?..
Huko makanisani kwenu mnaambiwaga ndoa zinavunjwa na shetani, na kwenye Marriage Act imeandikwa hivyo?
Kumbe we kilaza?

Eti sisomi kwa ufahamu. Nani sasa ambae hasomi kwa ufahamu Kati ya mimi na wewe?

Mkuu kwa akili hii una haki ya kwenda kumtolea mahali mwanamke ambae wenzako walimchakata bure.. Ur very slow
 
Wewe inaonekana ukoo wenu wote kuanzia mke wako mpaka dada zako na shangazi zako waliolewa bila bikira ndio maana upo kulazimisha kumfananisha malkia wangu na ukoo wenu wa kimalaya huo.

Umerudi kulekule kwenye kujipinga mwenyewe. Umekubali kuwa kwenye sheria ya ndoa haipo, na makanisani wanaamini ni shetani lakini kwenye sheria haipo. Sasa kama unakubali kuwa sheria inasimamia uhalisia wa tabia za binadamu na haiangalii mambo ya kiroho wala kuku mweusi, mbona unalazimisha kuleta nadharia yako ya kimila kama suluhisho la kisheria na kijamii? Umeona jinsi sheria na uhalisia ulivyotupa kando mambo yako ya kufikirika? Ukiacha kucopy sehemu utanielewa vizuri sana wewe akili ndogo.
 
Hakuna sehemu yoyote nimedai kuwa nimeoa mwanamke ambaye sikumkuta na bikira, unaandika maelezo marefu hivi kutolea ufafanuzi jambo ambalo haulifahamu kwa namna yoyote ile halafu unajiona upo timamu kweli?

🤣🤣🤣🤣 kwa hiyo unataka kusema mkeo ulimuoa akiwa bikira? 🤣🤣🤣
Ni nani aliyeanza kumtukana mwenzake kwa kumuita bwege?

Nime confirm wewe ni mgonjwa mkuu. Una tatizo la Alzheimer.. Mwanzoni nilikuwa naenda na wewe kistaarabu kwa sababu ulikua unatoa hoja zako kistaarabu japo hazina mashiko.. Umeona umeshindwa hoja ukaanza kutoa lugha kali unaniita mjinga Mara this Mara that.. Mimi nimeanua kumatch ur energy nimekuita bwege, imekuwa makosa tena? Wewe jamaa ni mgonjwa period.. Au ulizani una hatimiliki ya kutoa maneno makali?

Wewe sukari ilipanda muda sana kwa sababu nilicho kipinga ni sahihi, na nikakupa darasa,

Nipewe darasa na kilaza kama wewe? 🤣🤣🤣🤣 labda darasa la jinsi ya kuishi na kahaba kwa akili.. Jinsi ya kumtolea mahari mwanamke ambae sio bikira..
lakini kwa vile hautumii akili yako kufanya mjadala na mimi, lazima ukaze fuvu ili na wewe uonekane una hoja lakini, ni assumptions mtupu umeandika.

Kumbe natumia akili ya Nani? Akili yako? Hii hii ya kwenda kumtolea mahari mwanamke ambae sio bikira.

HAKUNA UKWELI WOWOTE UNAOENDANA NA UHALISIA WA MAISHA YA SASA KWENYE UZI WAKO.
Ukweli unanaanzia kwenye maisha yako wewe na mkeo. Huyo unae muita mkeo anakuona foolish guy wala ha kuheshimu kwa sababu wajanja walikuwa wanamtumia bure Ila wewe bwege ndio umeenda Hadi kumtolea mahari

Na Hao wajanja wakitaka muda wote wana mchakata..

Uzi wangu upo kwa ajili ya kukusaidia kukutoa gizani badala kuusujudia unajitia ujuaji kuuponda.. Faller kweli wewe
 
🤣🤣🤣🤣 kwa hiyo unataka kusema mkeo ulimuoa akiwa bikira? 🤣🤣🤣

Nime confirm wewe ni mgonjwa mkuu. Una tatizo la Alzheimer.. Mwanzoni nilikuwa naenda na wewe kistaarabu kwa sababu ulikua unatoa hoja zako kistaarabu japo hazina mashiko.. Umeona umeshindwa hoja ukaanza kutoa lugha kali unaniita mjinga Mara this Mara that.. Mimi nimeanua kumatch ur energy nimekuita bwege, imekuwa makosa tena? Wewe jamaa ni mgonjwa period.. Au ulizani una hatimiliki ya kutoa maneno makali?

Nipewe darasa na kilaza kama wewe? 🤣🤣🤣🤣 labda darasa la jinsi ya kuishi na kahaba kwa akili.. Jinsi ya kumtolea mahari mwanamke ambae sio bikira..

Kumbe natumia akili ya Nani? Akili yako? Hii hii ya kwenda kumtolea mahari mwanamke ambae sio bikira.

Ukweli unanaanzia kwenye maisha yako wewe na mkeo. Huyo unae muita mkeo anakuona foolish guy wala ha kuheshimu kwa sababu wajanja walikuwa wanamtumia bure Ila wewe bwege ndio umeenda Hadi kumtolea mahari

Na Hao wajanja wakitaka muda wote wana mchakata..

Uzi wangu upo kwa ajili ya kukusaidia kukutoa gizani badala kuusujudia unajitia ujuaji kuuponda.. Faller kweli wewe
Ukoo wenu kama ni makahaba, usikifirie na huku nje wengine watakuwa kama nyie,, thibitisha kwa takwimu kuwa ndoa ambazo hazijafungwa kwa mila huwa zinawahi kuvunjika mapema, na uonyeshe takwimu ndoa zilizo fungwa kwa mila huwa zina dumu kama unavyojinadi hapa akili ndogo wewe.
 
Ukoo wenu kama ni makahaba, usikifirie na huku nje wengine watakuwa kama nyie
Kubali ukweli mchungu mkuu. Kama hukumkuta mkeo akiwa na bikira yake jua umeoa kahaba.
,, thibitisha kwa takwimu kuwa ndoa ambazo hazijafungwa kwa mila huwa zinawahi kuvunjika mapema, na uonyeshe takwimu ndoa zilizo fungwa kwa mila huwa zina dumu kama unavyojinadi hapa akili ndogo wewe.

Tatizo nishakwambia una shida ya Alzheimer. Nilishakwambia takwimu zipo. Mahakamani nenda kasome huko makumi elfu ya walio funga ndoa ma kanisani wakiomba mahakama iwasaidie kupata talaka wakati huko ma kanisani waliapa. Hadi kifo kiwatenganishe
 
Ukoo wenu kama ni makahaba, usikifirie na huku nje wengine watakuwa kama nyie,, thibitisha kwa takwimu kuwa ndoa ambazo hazijafungwa kwa mila huwa zinawahi kuvunjika mapema, na uonyeshe takwimu ndoa zilizo fungwa kwa mila huwa zina dumu kama unavyojinadi hapa akili ndogo wewe.
Mkuu inaonekana wewe ni mgeni hapa JF. Hapa JF kuna watu wawili wanaogopeka na kuheshimika Sana linapokuja suala la kubishana kwa hoja.. Wa kwanza ni Kiranga na wa pili ni Likud. Hawa watu ni ma genius. Huwezi shindana nao kwa hoja mkuu..
 
Back
Top Bottom