Nenda moja kwa moja kwenye hoja unayotaka kuiwasilisha.
N.B kuna customary marriages pia.
Ndio maana nimekwambia wewe unabishana kitu usicho kijua..
Kwa mujibu wa hiyo Sheria ya Ndoa ( Marriage Act) ya Tanzania, Tanzania kuna ndoa ya aina moja tu. Nayo ni 👇👇👇
" NDOA INAYO TAMBULIWA NA SHERIA YA NDOA YA TANZANIA"
Kwa mujibu wa hiyo Marriage Act ya Tanzania, hakuna kitu kinaitwa Ndoa ya kikristu wala ndoa ya kiislamu, wala ndoa ya kiserikali, wala ndoa ya kimila. Ndoa inayo tambuliwa na Sheria ya Ndoa ya Tanzania ni ndoa ya aina moja tu kama nilivyo taja hapo juu " Ndoa inayo tambuliwa na Sheria ya ndoa ya Tanzania."
Ndio maana ndoa zote hupewa cheti cha aina moja na cheti hicho hutolewa na serikali.
Hizo kufunga ndoa kanisani, msikitini, Bomani, au kimila hizo ni ceremonies tu
So ndoa iliyo fungwa ni ndoa ya serikali Ila ceremony imefanyika kwa mujibu wa taratibu za kikristu, kiislamu, kimila. Etc.
Ndipo hapo niliposema huko kanisani kinacho enda kufanyika ni purely spiritual covenant. Mnaenda kufanya covenant kwa. Mujibu wa taratibu za utamaduni wa watu walio leta ukristu jambo ambalo sio sahihi kwa mwafrika.
Mwafrika anatakiwa kufanya ceremony ya ndoa yake kwa mujibu wa tamaduni za kabila lake. Mwafrika kufanya ceremony ya ndoa yake kanisani ni kwenda kukabidhi ndoa yake chini ya custody ya miungu ya kigeni..
Nimekusamehe kwa sababu kumbe ulikuwa hata haujui kinacho fanyika kanisani ndoa ikifungwa ni kitu gani..