Jikite kwenye mada, acha kumbwela mbwela hapa na maneno yasiyo kuwa na mantiki yoyote.
🤣🤣🤣 maneno yangu yana mantiki.. Umechagua kufumba jicho moja.. Jicho lako moja linaiona mantiki na jicho lingine haliioni. So mantiki ya maneno yangu unaiona huku hauioni at the same time..
Umeishiwa spana kabisa umeamua kukimbilia chini ya uvungu wa kitanda kuulizia ubikira?
Nimeleta ishu ya bikira kwa kufuatisha ulicho kisema. Umesema wewe na mkeo mnaheshimiana na mimi nimekwambia mkeo hawezi kuwa anakuheshimu kama ulimkuta Hana bikira.. Ni viwili tofauti kabisa ambavyo haviwezi kukaa sehemu moja. . Ange kuwa ana kuheshimu angekusubiri umuoe akupe " Heshima" Ya bikira Yake siku ya ndoa.. Ana muheshimu alie mbikiri na sio wewe.. Ndio maana kwenye ndoa zetu za kiafrika, ili ndoa ifungwe, kama mwanamke ni ndoa yake ya kwanza basi lazima awe bikira. Narudia tena kama hujamuoa bikira huyo sio mkeo..
Kwanza kisheria neno Void ab initio linahusu mikataba halali ya nchi, sio mambo yako ya asili ya kufikirika.
Shuleni ulienda kukariri mkuu na sio kuelewa..
Halafu rudi kwenye mada yako, usitake kuhamisha mjadala hapa na hoja uchwara unazonipa hapa.
We jamaa unajua una vituko Sana.. Una leta hoja, nakujibu kama ulivyo leta hoja yako then una jibu kwa kusema nisihame kwenye mada. Mimi hoja yangu ipo pale pale mkuu
Sasa kama unalijua hili, kwanini unakataa kwamba tabia njema na akili ya mtu ndio inayolinda ndoa,
Tabia njema na akili ya mtu ndio inayo Linda ndoa?
Tabia njema ni nini na akili ni nini?
halafu unataka kulazimisha kwamba ulinzi unatoka kwa mababu?
Duh kumbe nalazimisha?
Mbona unajipinga mwenyewe ?
Mkuu hicho unacho kiita Mimi kujipinga mwenyewe= wewe kutonielewa.. Una complicate mambo tu bila hata sababu youite ya msingi
Hapo kwenye ndoa yangu mimi sijakupa takwimu za nchi, nimekuambia siri ya amani ya nyumba yangu.
"Siri ya amani ya nyumba yangu" 🤣🤣🤣 Nyumba yako. Ina amani?. How?
Kama yako haina amani kwa sababu ya kuwaza bikira au kuku mweusi, pole sana.
Mkuu kama hukumuoa mwanamke akiwa bikira huyo sio mke wako wala nyumba yako haiwezi kuwa na amani. Kwa mujibu wa mila na desturi za mwafrika, mwanamke anae olewa kwa mara ya kwanza lazima awe bikira.. Hata kanisani kwenu Mungu wenu alikujaliwa kuzaliwa duniani kupitia mwanamke bikira..
My marriage runs on mutual respect, not ghost approval.
Nimeshakukataza kutumia neno " Respect" Kama hukumuoa mkeo akiwa bikira.. Ndoa yako ni VOID.. No honour among thieves.. Huwezi ku claim right ya kuheshimiwa kwenye agano ambalo ni haramu toka mwanzo.
Mkeo hakuutunza uanamke wake.. Na wewe huna self respect umeenda kuoa mwanamke ambae haji heshimu halafu unategemea respect.. Exi turpi cause non oritor action ( No one can claim right out of an illegal transaction)
Duh! Yaani mada ilianza na ndoa za kanisani/msikitini kutokudumu, ikahamia kwa Isaac Newton, ikaenda kwenye kesi za mahakamani, ikaja Keene watoto wa nje, na sasa hivi imefika kwenye ubikira wa wanawake? We jamaa kila ukipigwa KO unatafuta goli jipya la kukimbilia.
We jamaa unajua ur a very difficult person.. Mtu wa ajabu kabisa. Yani tabia zako una zi project kwangu. Unasahau vitu msani ya muda mfupi. Ili kuwa hivi👇👇👇
Nilianzisha mada kuhusu sababu za kuvinjika kwa ndoa za kanisani. Nikazipa sifa, heshima na utukufu ndoa za kimila.. Ukajibu 👇👇👇👇👇
" Kama hizo mila na desturi za kiafrika zilikuwa na nguvu kwanini zilishindwa kuzuia Bara zima kutawaliwa*..
Hapo ni nani alie enda nje ya mada Kati yangu Mimi na wewe? Mada yangu ilihusu ndoa au ilihusu mambo ya ukoloni? Anyways nilikujibu kama ulivyo kuja. Nahisi hukuwa tayari kwa majibu ya swali ulilo liuliza.
# " Na sasa hivi imefikia kwa wanawake mabikra" 🤣🤣🤣We jamaa hivi unaweza vipi kuzungumzia ndoa bila kutaja mwanke bikira? Are u joking eti eeh?
Hiyo nadharia yako ya uafrika' feki imejaa hofu binafsi.
Wewe ndio umejawa na hofu. Hiyo hofu uliyo iona kwenye andiko langu ni reflection ya hofu iinayoishi ndani yako
Again unazidi kurpove observation yangu kwako. Wewe unabishana ili kushindana na mimi hubishani na uhalisia. Ukweli ni kwamba hata kama utanishinda kwenye ubishi lakini huwezi kushindana na uhalisia. Mwisho wa siku uhalisia uta kushindana tu.
ndoa inalindwa na ukomavu na tabia ya mtu. Period!
Ukomavu ni nini?
Jibu ni NDIO kubwa sana! Zimeshindwa kulindwa kwa sababu mume au mke alionyesha tabia mbaya ya usaliti, ukatili, au dharau, vitu ambavyo vipo ndani ya uwezo wa kibinadamu.
Braza narudia tena kama mke wako hukumkuta bikira ondoa neno uamifu, utiifu na heshima kwako.. Kama hakumtii " Mungu wenu/wake" . aliemwambia asizini nje ya ndoa, atakutii wewe ukiwa nani? Kama alimdharau Mungu wake/wako kwa kupuuzia amri ya kutokuzini kabla ya ndoa, atakuheshimu wewe ukiwa kama nani? Kama hakuwa loyal kwa Mungu kwake/wako kwa kuheshimu amri zake, atakuwa loyal kwako ukiwa kama nani? Brother hivi unajisikia unacho kisema lakini?
Hata kama wangefunga hiyo ndoa kienyeji au porini,
Aliekwabia ndoa ya kimila inafungiwa porini ni nani? Yani wewe baba mzima halafu eti hujui ndoa ya kimila inafungwa vipi
kama mtu ana tabia ya hovyo,
Tabia za hovyo wanakuwaga nazo Hao wanawake wanao funga ndoa za kanisani. Usiwafananishe Dada zetu/malkia wetu wa kiafrika na tabia za Dada zenu wa kanisani
bado angesaliti na kuua ndoa yake tu.
Hiyo ni kwa ndoa za kanisani tu kwa sababu huko wanawake hata ambao sio mabikra wanaingia kwenye ndoa
Character has no religion or tribe,
Ukimuoa mwanamke ambae sio bikra tafsiri yake ni kwamba you are a poor judge of character.. A good judge of character hawezi mwanamke ambae sio bikira.
Inachekesha unavyodai nina uelewa mdogo wa mila za kiafrika wakati wewe ndio unaleta picha ya mila iliyojengwa kwenye kukagua mashuka na kutisha watu na laana. Waafrika wa sasa wanaishi kwenye uhalisia, wanatafuta maisha, wanajenga familia kwa akili, na kulinda amani zao,huu mjadala umeonyesha wazi ni jinsi gani usivyokuwa na akili, yani mpaka mambo yaliyo wazi kabisa unapinga, una akili ndogo sana.
We jamaa una vituko Sana. Ni wapi kwenye andiko langu nimetisha watu kuhusu laana? Ni wapi nimekataza waafrika kufanya kazi na kujenga?