Kwa nini hakuna nchi ya kikikristo inayoua mtu kwa kubadili dini, ila za Kiislamu zipo nyingi?

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Hivi kwa nini hakuna nchi inayojulikana sana kuwa na sheria inayomwamuru mtu auawe kwa sababu tu ameacha Ukristo na kuingia Uislamu.

Nimegundua kuna nchi kadhaa zenye sheria zinazoweza kutoa adhabu ya kifo kwa kosa la uasi wa dini (apostasy), ambalo katika mifumo hiyo ya kisheria kwa kawaida humaanisha Muislamu kuacha Uislamu na kujiunga na dini nyingine.

Hizi ni baadhi ya Nchi zenye sheria za adhabu ya kifo kwa uasi wa dini

1. Saudi Arabia

Mfumo wake wa sheria unachukulia kuacha Uislamu na kuingia dini nyingine kama uasi wa dini, ambao unaweza kuadhibiwa kwa kifo. Hata hivyo, sheria hiyo haijaweka adhabu ya kifo kwa mtu ambaye ni Mkristo anayeamua kuingia Uislamu. Kwao ukitoka uislam na kuwa mkristo inabidi uuwawe, lakini mkristo akiingia kwenye Uislamu anafanyiwa tafrija.

2. Iran

Tafsiri ya sheria za Kiislamu inayotumiwa na mamlaka za Iran inaweza kuchukulia kuacha Uislamu kama kosa linaloweza kuadhibiwa kwa kifo au kuwekewa vikwazo vya kisheria. Nchi hizi ukibadili dini na kuwa mkristo bora uondoke tu nchini na kukimbia. Hata watoto wao wa kike hawawezi kuolewa na mkristo, ata kama mmependana vipi, wewe wa kiume ni lazima ubadili dini kuingia uislam

3. Yemen na Brunei

Nchi hizi zimetajwa katika uchunguzi wa mwaka 2023 wa Tume ya Marekani ya Uhuru wa Dini Duniani (USCIRF) miongoni mwa nchi ambazo sheria zake za uasi wa dini au kubadili dini zinaweza kutoa adhabu ya kifo.

Je, Mkristo akiamua kuingia Uislamu anaweza kuuawa?

Katika nchi kama Saudi Arabia na Iran, kuacha Ukristo na kuingia Uislamu si kosa la uasi wa dini linalozungumziwa katika sheria hizo.
 
Sharia zinaongoza mamlaka ya nchi, hakuna nchi ya kikristo mamlaka ya kanisa ina nguvu ya sheria ndani ya dola.

Sio lazima wenye sharia wafanane na wasio na sheria kila nchi inaishi kwenye misingi inayoona ni sahihi kwa makubaliano kama taifa
 
Nchi zenye ukristo ndani ya dola ziko nyingi sana Vatican, Costa Rica, Denmark, Malta, Monaco, Iceland, Tonga, Samoa, Tuvalu hata kwa majirani zetu Zambia, Ukristo unatambuliwa katika katiba kama msingi wa taifa.

Lakini uwezi kuta nchi hizi zinanyonga watu kisa wamekuwa Waislamu
 
Cult zote kama Fuvu la Kuchwa, Freemasonry, Cocaine Gang, Uchawi, Dini ya Haki, Nk: ukizihama ni lazima uuliwe:
Sunan an-Nasa'i 4059
Ibn 'Abbas said:
"The Messenger of Allah [SAW] said:
'Whoever changes his religion, kill him.'"
Ni Amri
 
  • Thanks
Reactions: K11
Nchi zenye ukristo ndani ya dola ziko nyingi sana Vatican, Costa Rica, Denmark, Malta, Monaco, Iceland, Tonga, Samoa, Tuvalu hata kwa majirani zetu Zambia, Ukristo unatambuliwa katika katiba kama msingi wa taifa.

Lakini uwezi kuta nchi hizi zinanyonga watu kisa wamekuwa Waislamu
Soma nilichoandika halafu ujibu kwa ufahamu, hizo nchi sheria zake ni za kiraia au za kikanisa?
 
Hivi kwa nini hakuna nchi inayojulikana sana kuwa na sheria inayomwamuru mtu auawe kwa sababu tu ameacha Ukristo na kuingia Uislamu.

Nimegundua kuna nchi kadhaa zenye sheria zinazoweza kutoa adhabu ya kifo kwa kosa la uasi wa dini (apostasy), ambalo katika mifumo hiyo ya kisheria kwa kawaida humaanisha Muislamu kuacha Uislamu na kujiunga na dini nyingine.

Hizi ni baadhi ya Nchi zenye sheria za adhabu ya kifo kwa uasi wa dini

1. Saudi Arabia

Mfumo wake wa sheria unachukulia kuacha Uislamu na kuingia dini nyingine kama uasi wa dini, ambao unaweza kuadhibiwa kwa kifo. Hata hivyo, sheria hiyo haijaweka adhabu ya kifo kwa mtu ambaye ni Mkristo anayeamua kuingia Uislamu. Kwao ukitoka uislam na kuwa mkristo inabidi uuwawe, lakini mkristo akiingia kwenye Uislamu anafanyiwa tafrija.

2. Iran

Tafsiri ya sheria za Kiislamu inayotumiwa na mamlaka za Iran inaweza kuchukulia kuacha Uislamu kama kosa linaloweza kuadhibiwa kwa kifo au kuwekewa vikwazo vya kisheria. Nchi hizi ukibadili dini na kuwa mkristo bora uondoke tu nchini na kukimbia. Hata watoto wao wa kike hawawezi kuolewa na mkristo, ata kama mmependana vipi, wewe wa kiume ni lazima ubadili dini kuingia uislam

3. Yemen na Brunei

Nchi hizi zimetajwa katika uchunguzi wa mwaka 2023 wa Tume ya Marekani ya Uhuru wa Dini Duniani (USCIRF) miongoni mwa nchi ambazo sheria zake za uasi wa dini au kubadili dini zinaweza kutoa adhabu ya kifo.

Je, Mkristo akiamua kuingia Uislamu anaweza kuuawa?

Katika nchi kama Saudi Arabia na Iran, kuacha Ukristo na kuingia Uislamu si kosa la uasi wa dini linalozungumziwa katika sheria hizo.
Nchi za kikiristo zinaua kwa ajili ya mali
 
Dini zote ni ujinga, lakini humo humo katika ujinga zinazidiana ujinga.
 
Anti baraka pia wanaua kwa ajili ya dini na ni wakristo
Sio Nchi, ni kikundi... kama ilivyo Al-shabab, Boko Haram, AL Qaida, Islamic State

Anti Baraka siku hizi hawapo
 
Nchi hizo zinaendeshwa na sharia ambazo zimetoka kwenye misingi ya dini , ambapo ni makubaliano yao kama taifa huru.

Hawapo wapo walifanya mauaji kwa misingi ya kidini.
 
Anti baraka pia wanaua kwa ajili ya dini na ni wakristo
Mwanetu unatafuta usawa kwamba na ukristo uonekane unalazimisha watu wawe wakristo. Hebu kubali kwanza kwamba dini yako inapenda sana ushetani wa kuua roho za watu kisa wamekataa uislam.
 
Back
Top Bottom