Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,818
- 7,940
- Thread starter
- #21
Je watu walishirikishwa kutoa maoni au wametumia tu nguvu kupitisha hizo sheria.... na kama zinapendwa mbona refugees wengi wa Uislamu wazikimbia hizo nchi kisa hiyo hiyo dini.Nchi hizo zinaendeshwa na sharia ambazo zimetoka kwenye misingi ya dini , ambapo ni makubaliano yao kama taifa huru.
Hawapo wapo walifanya mauaji kwa misingi ya kidini.
Uwezi kuta mkristo anakimbia nchini kisa sheria za ukristo