dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,370
- 57,943
... tupanue kidogo mada. Badala ya ukristo vs uislam, ingesomeka;Haya jibu hoja ya Uzi huu, ni nchi ipi inalazimisha watu wake wawe wakristo na ukiacha ukristo unauawa kama ambavyo wanafanya waislam kwenye mataifa yenye waislam wengi
"Kwanini baadhi ya dini zinaua waumini wanaoziacha? Kwanini nyingine hazifanyi hivyo?".
Hapo ingekuwa holistic approach badala ya dini mbili tu wakati zipo nyingi - Buddhism, Hinduism, Judaism, to mention few.