Nimejifunza kitu ktk uchambuzi wa vita vya Iran vs Marekani vs Isreal.
Waislam walioachambua vita hivi ndio wakichambulia hali halisi ya vita bila propaganda. Licha ya kutoinesha imani yao ktk uchambuzi, lkn walikuwa hawaegemei upande wowote ile
Hatimae yaliochambuliwa kupitia media mbali mbali ikiwemo social media ndio yaliotokea.
Kuonesha udhaifu wa Marekani, propaganda za USA na mengine.