JE, KAMA AFRIKA KUSINI INGEKUWA NCHI YA KIISLAMU?
Hebu fikiria hali ya Afrika Kusini ya sasa, lakini badala ya kuwa Afrika Kusini, iwe ni Tunisia, Morocco au Algeria. Kwa sasa, baadhi ya raia wa Afrika Kusini wanawashambulia na kuwachukia wageni.
Je, dunia ingeendelea kuzungumzia haki za binadamu kwa lugha ileile? Je, vyombo vya habari vingetoa habari kwa uzito uleule? Je, viongozi wa Magharibi wangechukua hatua zilezile?
Au tungeanza kusikia maneno ya ugaidi, misimamo mikali, udikteta na ukiukaji wa haki za binadamu?