Dr. Vedasto Kyaruzi daktari mpigania uhuru wa Tanganyika

Yeye ndiye wa kwanza kumuandika katika historia ya Tanganyika., "thus, originality".

Jee, wewe ulimsoma wapi kabla ya kumsoma kwa Mohamed Said? au wale makhabith wazee wako waliwahi kukuhadithia?
Kabla huyo hawara yako hajasimuliwa mie nilisha fahamu habari ya Mshume!
 
Kabla huyo hawara yako hajasimuliwa mie nilisha fahamu habari ya Mshume!

Hili jina lako linanikumbusha mikingamo!
Teh teh teh teh!
We unaoneka umekomaa mpaka unaskia maumivu!
Kwi kwi kwi kwi! Mihogo kila siku nuksii nyie!
 
Huyu ndiye daktari wa kwanza wa binadamu mweusi katika nchi ya Tanzania.
 
Hongera mzee.
Nimevutiwa sana na historia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…