Elections 2015 Dr. W. Slaa ni fisadi kuliko Lowassa

Wadigo tunasema usinene ukamala wewe emelifanya hilo ona leo unapwata pwata maneno mkanganyo. Lowasa ni fisadi sawa tunamchagua huyu huyu kuliko hao mamia waliopo huko haturudi misri.

Huo ndiyo umasikini wa Watanzania. Sikushangai.
 

Wamesema..,..,
Kama Fisadi basi bora huyu mmoja ambaye tuna mmudu kuliko hayo maelfu yalioko huko upande wa pili.
Kama mwizi basi ndio mzuri maana anayajuwa majizi menzake kwahiyo akiwa mwenye mamlaka atayakamata majizi menzake maana anayajuwa.
Ndiyo anafaa maana ataenda iba nje sasa alete kuliko kuiba humuhumu nchini.
Huu ni mtazamo wa watu unaweza usiukubali......
Loading..........
 
Hivi huu umaskini wa watanzania umesababishwa na nani vile!?

Unasababishwa na upumbavu wako.

Leo yule tajiri anaekwambia anauchukia umasikini kaweka matangazo kila pahala anataka umchangie kwa njia yoyote, na wewe umo tu na umasikini wako unamchangia yeye. Halafu unauliza umasikini wako umesababishwa na nani?

Mimi nilifikiria yeye atakutowa kwenye umasikini? Kumbe? Anakuchangisha wewe umzidishie utajiri wake.

Hakika wajinga ndiyo waliwao.
 

Silaa alimfukuza huyo mama kutoka chadema karudi ccm,leo unamuita lofa?amakweli usilolijua ni ucku wa giza.
 

Dada kwani kipindi kile cha kikombe cha Babu wa Loliondo ilikuwaje? Watu wanaambiwa serikali haijaidhinisha uhalali wa nguvu za uponyaji ya dawa hiyo. Watu wakabisha na wagombea hawa wawili wote walikwenda na kupeleka waumini. Watu walipanga foleni siku 2 - 3 njiani. Tuliokataa na kubisha tukaonekana wajinga, waovu na wabaya kwa kutoamini.
DECI ilikuwaje?
Victims mara zote ni watu maskini. Baadaye wanalalamika kwa nini serikali haikuwakinga na ujuha wao. Sasa ujuha huu leo umehamia katika siasa. Watu watakaomchangia Lowassa utasikia Novemba wanalalamika hapa kuwa oh kama serikali walijua Lowassa ni mgonjwa sana na kuwa hafai kuwa rais kwa nini hawakutuambia. Serikali itusaidie kurudisha pesa zetu. Anything is possible.
 

Ajuza upo?
 
Huo ndiyo umasikini wa Watanzania. Sikushangai.

Washatusema sisi malofa poa tu ngoja tutimize waliyo tunenea kuwa sisi ni malofa. Ccm miaka mingi sana sasa inatosha ngoja tubadilishe upepo kidogo. Ccm nyumbani hawa wakizungua tutawapga chini nao lakini kwa sasa ccm hapana
 
Washatusema sisi malofa poa tu ngoja tutimize waliyo tunenea kuwa sisi ni malofa. Ccm miaka mingi sana sasa inatosha ngoja tubadilishe upepo kidogo. Ccm nyumbani hawa wakizungua tutawapga chini nao lakini kwa sasa ccm hapana

Zimwi likujualo halikuli likakwisha.
 
Kwani nani aliyesema lowasa ni fisadi baada ya kufanya uchunguzi ,na kumuweka lowasa ktk list of shame ,ni nani tena aliyesema lowasa ni msafi na hayupo ktk list of shame ,si ni nyie wale wale ..leo mnasema huyu ni fisadi ,kesho mnasema sio fisadi na mlisema mkapimwe akili sijui mmeshapimwa au ,basi inabidi mpelekwe mirembe
 
Hilo wala si uongo.

Slaa alikuwa anatuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi.

Lakini leo nnaona Slaa kazimwa na Mwenyekiti Mbowe, hasikiki wala

Tujadili.
Safi sana....ingawa najua mishale ya mashambulizi itaelekezwa kwako..ila ujumbe umeufikisha vizuri kabisa
 
Mhhhhh bibi ngoja kwanza niwe Sober nitarudi kusoma vizuri nahisi kama mabadiliko unayoyafanya yanazidi kunifanya nikuone kigoli wa miaka 18 ,
 
Hahahahaha! Leo hii mbowe kawa wa maana, ngowe ambwage EL ndo utamjua mbowe n nan
 
Nyie Chadema mambulula sana. Waliomtangaza Lowassa fisadi ni nani kama sio nyie


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…