Dr. Wa madomo zege

Dr. Wa madomo zege

Puffader

Member
Joined
May 8, 2013
Posts
44
Reaction score
9
Kutongoza hata kwa kamera tu:
dada samahani naweza kukupiga picha
Dada: ili iweje anko!
Nataka kuja kuwaonyesha wanangu mama yao alivyokuwa enzi za ujana wake!....
ENDELEA MWENYEWE....
 
Back
Top Bottom