Jifunze kuandika Kwanza....Hapa Tanzania hamna Mklokole wakiujitokeza kabisa wengi wana fuata hiyo dini bila ushahidi wama andishi ni mbumbumbu.
Anaoenda kuongea nao wanajua kiinglish Sasa!??TANGAZO
AZAM MEDIA LTD PAMOJA NA THE ISLAMIC FOUNDATION …
UJIO WA DR ZAKIR NAIK TANZANIA - RATIBA YAKE YOTE
View: https://m.youtube.com/watch?v=PLO0zcQm7ok
KWA MARA YA KWANZA TANZANIA WANAKULETEA MHADHIRI MASHUHURI WA KIMATAIFA , DKT ZAKIR NAIK AKIAMBATANA NA MWANAE SHEIKH FARIQ NAIK KATIKA MDAHALO WA MASWALI NA MAJIBU :
TAREHE 31/12/2024 MSIKITI ZINJIBAR, UNGUJA ZANZIBAR KUANZIA SAA 2 ASUBUHI HADI SAA 7 MCHANA
TAREHE 2/01/2025 DIAMOND JUBILEE DAM KUANZIA SAA 1 USIKU HADI SAA 6 USIKU
TAREHE 5/01/2025 BENJAMIN MKAPA STADIUM UWANJA WA TAIFA KUANZIA SAA 2 ASUBUHI HADI SAA 7 MCHANA
MATANGAZO HAYA YATAKUJIA LIVE - MUBASHARA KUPITIA CHANEL YA ZBC2 WEMA UNAOENDELEA
SOURCE : DUA TV
Mimi mtu akija na mistari ya Bible au Quran, lazima asalimu amri..Mjadala na Atheists huwa inamtoa kamasi muache akomae na waumini wenzake huko kidogo kuna nafuu.
Anaoenda kuongea nao wanajua kiinglish Sasa!??
Mzee, huwa unakaa chini kutafakari matendo yako au ndio wewe na dini, dini na wewe?Hapa Tanzania hamna Mklokole wakiujitokeza kabisa wengi wana fuata hiyo dini bila ushahidi wama andishi ni mbumbumbu.
31 December 2024
Zanzibar, Tanzania
MUBASHARA kutoka Masjid Zinjibar
Muhibiri wa kimataifa akitoa muhadhara muda huu, ikiwa ni hatua yake ya kwanza tangu akanyage ardhi ya Tanzania
LIVE🔴 KONGAMANO LA AMANI MASJID ZINJIBAR- DR ZAKIR NAIK 31 December 2024
View: https://m.youtube.com/watch?v=ipig0nJIhIcSource : Dua TV Tanzania (TZ)
Hàya mambo yalileta shida sana kipindi cha baba yake Hussein, mzee Alli hàssan Mwinyi.Dr. Zakir Naik mhubiri wa kimataifa akutana na rais wa serikali ya mapinduzi Zanzibar aliye mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Mwinyi
View: https://m.youtube.com/watch?v=UmzV1AExecw
Mheshimiwa rais wa SMZ Dr. Hussein Mwinyi asema ziara hiyo ni kwa ajili ya kueneza dini hiyo ya kiIslamu na pia ujio huo wa muhubiri huyo ataweza kusaidia utalii wa Halal na, rais anatumaini muhubiri huyo kupata wasaa wa kuzunguka maeneo kadhaa ya Zanzibar ili kuionesha dunia fursa ya utalii wa kifamilia wa Halal Tourism na inshallah kama itawezekana afike tena wakati wa mfumo wa Ramadhani aendelee kutoa daawa na darsa kwa waumini.