DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

Ukitaka kuikariri cheza kwenye dalmax two players uku unafuatisha miguu yote kwenye video
 
habari zenu wadau wa draft tz.
tunaomba kwa anaowafahamu mabingwa wa draft na username zao kule playok atusaidie kututajia ili tutakapowaona wakicheza tujue ni nani anacheza na nani kwamajina yao halisia au kwa umaarufu wao
 
JAVA LOUNGE

SISCO 1, DILIMA 1


NGOMA 14 ZIMEKAMILIKA OMARI JOHN[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] ,,,



Sisco kafa na taa ya treni aliyoanza yeye,,,na Dilima kafa na kavimba aliyoanza yeye[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] ukumbi ni tulivu kabisa
 
Hapa balaa timu CR7 tupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…