Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Si ulisema walisoma wote na Mangwelele chuo cha draft pamoja?Hajapiga kaweka Masharti
Jamaa inaonekana anamjua ,Kama kaogopa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ulisema walisoma wote na Mangwelele chuo cha draft pamoja?Hajapiga kaweka Masharti
Jamaa inaonekana anamjua ,Kama kaogopa
Wanahisi hivo tuSi ulisema walisoma wote na Mangwelele chuo cha draft pamoja?
Nikweli ,kabisa ,Hata kina Sisco wapo Youtube sema hapo ni aina ya mchezo tu ndio unao wabana kina Sisco
duh!Hawawezi kumruhusu aondoke akiwa bingwa
Vijana mi nawafahamu wakisha hakikishiwa kuwa kuna chochote kitu wanakua na balaaView attachment 2476859
Dawa ya mabano hiiduh!
hiyo copy ni noma.
na mimi kwenye pitapita nimekutana na hii (ANGALIA VIDEO niliyoattach)
Lakini Sisqo hakupigwa british? Hii king haruki ni game ya kimarekani. Hiyo ndiyo ikosolved kabisa na kuandikiwa vitabu vingi sanaDogo Sisco amepigwa kama elf 50 akamwaga mikete yule jamaa nahisi ndio Bingwa wa dunia
Hatuhitaji ushahidi zaidi kuwa jamaa ndiye mkulima🙂Jamaa amesema kama wadhamini watatokea yeye yuko teyari kucheza na Sisco ngoma 24 ila dau liwe nono[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 2476835
Ukipata picha ya Mangwelele utasaidia sanaJamaa kaleta utulivu,
Mpaka Mzee Mangwezi alivyoonekana Manyanya ndio tunaanza kuwaona mafundi sasa[emoji3][emoji3]
Hii ndio Makonda alisemaga "Hatai kwei kwei"duh!
hiyo copy ni noma.
na mimi kwenye pitapita nimekutana na hii (ANGALIA VIDEO niliyoattach)
Ni sababu zipi zilifanya akashauriwa aache draft?Mangwelele alishauriwa na madaktari aache draft lakini
Aliwahi kuumwa nadhani ni kichwa walivyo mpeleka hospitali madaktari wakaiambia familia yake kuwa huyu kuna kitu huwa anakifanya kwa kutumia nguvu kubwa kufikiriaNi sababu zipi zilifanya akashauriwa aache draft?
HatariAliwahi kuumwa nadhani ni kichwa walivyo mpeleka hospitali madaktari wakaiambia familia yake kuwa huyu kuna kitu huwa anakifanya kwa kutumia nguvu kubwa kufikiria
Mangwelele akamuambia daktari kuwa ni magazeti, familia yake ikamfata dokta kumwambia kuwa amedanganya sio magazeti ni madraft
Tangia hapo akashauriwa aachane nayo madraft yanaweza kumfanya awe chizi
daaah qmmmmmmqHawawezi kumruhusu aondoke akiwa bingwa
Vijana mi nawafahamu wakisha hakikishiwa kuwa kuna chochote kitu wanakua na balaa
View attachment 2476859
kuna mpya huko nipe updates
walicheza frenc au tzSisco anakiri kupata goli inakaribiana na ndoto
Huyu kwa nilivyomuona hawa wachezaji wetu atawaonea tu , sijawahi kuona sisco akiongea kauli yakidhaifu akiwa anacheza na mtu ila jana alisema,
asijekuwa mklulima huyu jamani mm nina mashaka nae sasa hilo jembe la nini hapo na anaenda shamba kulima bila ya shaka huyu ndio mkulimaJamaa amesema kama wadhamini watatokea yeye yuko teyari kucheza na Sisco ngoma 24 ila dau liwe nono[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 2476835
picha ya samaki kivipiMangwelele alitaka kumuwekea picha ya samaki mchizi akamstukia
dalmax anatisha hii copy dalamx anaijua mm nayo ila iyo misstep kuikariri kichefu chefuduh!
hiyo copy ni noma.
na mimi kwenye pitapita nimekutana na hii (ANGALIA VIDEO niliyoattach)