DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

EXCLUSIVE

Timu: Dogo Sisco Vs Cr7 Mnyama ( Confirmed )

Mdhamini: Boss Java

Zawadi: 300,000/= (winner 200k na Looser 100k )

Lini: Jumapili tarehe 15 January 2023 Saa tisa kamili jioni

Wapi: JAVA FAMILY LOUNGE ( Kitunda )

Mfumo: Ngoma 24 - Omary John + tege kumi za mzee Ngapu

Mratibu: Masta Mtemi (15,000)

Photographer : Masta Mtemi

Kamisaa: Fidelis (10,000)

Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila kutakuwa na nauli ya shilingi laki moja kwa atakaefungwa kama Kifuta jasho na endapo mechi itaisha sare hawa jamaa watapewa laki na ishirini kila mmoja

Tajiri Mkubwa JAVA amesema wacha kiwake,, Wazaramo wanasema hawana ulimbo wa kutegela Ng'onzi,, na Waswahili wanasema asie na mwana aeleke Jiwe[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Mama Mkanye Mwanao
Mwambie photographer atende kazi yake kwa weledi.
 
MANGWELELE ANATAKA KUINGIA UWANJANI WAZEEEE.

MZEE KAPIGIWA SIMU KUTOKA IKULU AJE KULITETEA TAIFA....

MANGWELELE ANAWEKA MIKATABA SAWA NA GOJ/MKULIMA WAZICHAPE.

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

STAY TUNED

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
KUNA MWAMBA KAVAMIA MANYANYA

WANAHISI NDIYE MKULIMA

Chrispini whoziambo ,, Ndie aliemsafisha Sisco jana,, ila Dogo Sisco alikuwa hamjui naomba tumsamehe tu,, huyu hata british anazuia sare tatu ila kingi hairuki ndio Bingwa wa dunia
IMG-20230110-WA0079.jpg
 
Taarifa kutoka Manyanya

Jana majira ya saa moja usiku Dogo Sisco alikutana na mtu asiejulikana, Mtu huyo alieonekana kama Boss au tajiri flani alijaribu kuomba sare moja ngoma za kawada ambapo Sisco Damu nyingi zilimtoka na baadae sisco kazi ikamshinda jamaa akaomba yeye ampe Sisco sare moja french sisco akaona ajaribu kurudisha ela yake napo hakuvua hata round moja,,, Baadae akaja Gwisu kumtetea Sisco Gwisu nae akapigwa Nyundo ya Shingo ,, Ndipo jamaa akawaonea huruma na akajitambulisha rasmi kwamba yeye ndio Bingwa wa Kingi Hairuki Duniani na ameshaenda Indonesia , Ufaransa , na Nchi nyingi za ulaya kwa ajili ya kazi hiyo,,,

Wazee kwa mnamjua Sisco jamani Sisco ni mjeuri huwa hakubali kushindwa lakini kwa yule jamaa alikiri jamaa hafai

Jina La jamaa ni Chrispine whoziambo nenda google utamkuta na yupo manyanya kwa mwezi mmoja

Naomba kuwasilisha ,,,,,

Taarifa Muhimu

Taarifa zilizonifikia hivi Punde ni kwamba yule jamaa aliempasua Sisco Manyanya ni Rafiki wa karibu sana na mzee Mangwelele na inasemekana walisoma chuo kimoja cha kidraft huko Nairobi,, ila Jamaa alijiendeleza Zaidi kimabao.

Sasa uchambuzi unaonyesha kwa asilimia 80 jamaa ndio mkulima ila asilimia 20 zinakataa kwa sababu jana usiku Masta Mtemi alivyotaka kumuhoji jamaa akakataa na Kusema yeye hamjui mkulima,, Sasa kwa uchambuzi huu tunaweza jiridhisha kabisa kwamba Whoziambo ndio mkulima na hivyo wageni kutoka sehemu za dunia mnakaribishwa Manyanya kama kivutio kumuona live Mkulima

Vile vile jamaa alikataa kupigwa picha tulikuja kustuka baada ya kumuona Yutube

Naomba kuwasilisha,,,,,,
IMG-20230110-WA0079.jpg
 
Back
Top Bottom