Taarifa Muhimu
Taarifa zilizonifikia hivi Punde ni kwamba yule jamaa aliempasua Sisco Manyanya ni Rafiki wa karibu sana na mzee Mangwelele na inasemekana walisoma chuo kimoja cha kidraft huko Nairobi,, ila Jamaa alijiendeleza Zaidi kimabao.
Sasa uchambuzi unaonyesha kwa asilimia 80 jamaa ndio mkulima ila asilimia 20 zinakataa kwa sababu jana usiku Masta Mtemi alivyotaka kumuhoji jamaa akakataa na Kusema yeye hamjui mkulima,, Sasa kwa uchambuzi huu tunaweza jiridhisha kabisa kwamba Whoziambo ndio mkulima na hivyo wageni kutoka sehemu za dunia mnakaribishwa Manyanya kama kivutio kumuona live Mkulima
Vile vile jamaa alikataa kupigwa picha tulikuja kustuka baada ya kumuona Yutube
Naomba kuwasilisha,,,,,,
View attachment 2476827