Nazani hukunielewa..wakati sisqo anajoin na kina nduli na noel,,bingwa alikua ni mzee noel nazani apo utakubali kwanza..
Pili kusema kutumia akili nyingi hii haipingiki man,, nenda manyanya buni mchezo wako wa style yoyote lazima atafutwe noel au mangwez(sema Sasa hachez mno),, mfano bingwa sijui atoke kigoma atake french utaruka na noel atakuua..cjui Kuna mwana alikuja akacombine french na Chinese noel alimpiga vbaya mno..jamaa anatumia sana akili ila draft inabidi uchukue muda kula copy na mazoezi,,