DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

We utakuwa labda unamsemea Msomali mwingine feki na sio huyo

Huyu naekwambia ukitoa sare anakupa 5,000/= na ukimfunga anakupa mkono na 10,000/=

Jamaa anajua huu mchezo
Hakuna mcheza madraft asojulikana..huyo msomali wa Arusha anajulikana vizuri Sana alishawai kua bingwa wa arusha.
Alaf unaonekana mgeni Sana kwenye mabao..msomali ndio huyo huyo.
 
MATOKEO


MKULIMA vs SISCO



Michezo: Walitakiwa kucheza michezo 24- Yaani Omary John na tege kumi ,,, Lakini michezo iliyochezwa ni 15 tu Yaani Omary John na Tege moja ya Mzee Ngapu


MATOKEO: Mkulima 2, Sisco 0,,

Sisco amekuja kufa goli la kwanza kwenye Omary John ngoma ya 14 ambayo Sisco alianza Pasati na amekuja kufa Tege ya kwanza ambayo Mkulima ndie aliecheza tege na hapo ndipo Dogo Sisco alipotupa taulo na kulala Mbele

Naomba kuwasilisha,,,,,,
 
kweli kila mchezo una lugha yake...
 
Sijaelewa Maelezo.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Niliishia game ya 11 nikaona kumekuwa usiku sana

Game ya 10 Mkulima alisukuma kete moja halafu akala nyoya kama dakika 5 hivi akarejea


Nimeinjoy sana, kuna mabingwa wa vijiweni nao niliwaona kwenye comment box

Kwa hiyo Mkulima kachukua tuzo ya ushindi au mkataba wake ulikuwaje?
 
Watu hawalali kisa alfu sitini juu ya matumizi mazito ya ubongo, hongera yao ila waongezeni dau vinginevyo bora yaanzishwe mashindano ya kunywa k.vant.
Ni kwa vile hufatilii madraft

Ila Juzi Sisco ndani ya Siku 2 kachukua mataji mawili yote kala Kama 800k

Ndipo mzee Java akatoa ofa azuie sare kwa MKULIMA

tuliopo kwenye Grupu la Draft Tz tunayajua haya

Wacheza Draft kwasasa wale Wazuri kwa Mwez anaingiza had million 3
 
SISCO ALIPIGWA 2-0

ILA NADHANI MECHI ITARUDIWA
 
Fainal zote kafa Nduli 1-0
 
Kadau kalikuwa kadogo japo ni kweli kwa sasa sifuatilii.
 
KUNA MECHI HII ,ILA RONALDO anakimbia Sana Sisco,

Taarifa Kutoka Java Lounge ( BOSS JAVA )

SISCO vs CR7( Mnyama )

DAU : 250,000/=( Ipo mezani )

Tajiri aliejipatia umaarufu kutokana na makombe yake ya kitaifa maarufu kama JAVA CUP amejitokeza hadharani na kuweka dau mezani au kitita cha shilingi laki 2 na hamsini kwa pambano la Sisco na Cr7,,

Pia Boss Java ameenda mbali zaidi na kusema aliyaweka mabao kando ila Sisco amemfurahisha na hadi ameamua kurudisha udhamini mezani,,

Kutokana na Hayo yamefanyika mawasiliano na Dogo Sisco na Sisco amesema yeye muda wowote na saa yoyote yupo teyar kupambana na Dilima hata ikiwa kesho asubuh baada ya kupiga na mkulima yeye anachoangalia ni ela na aangalii mtu usoni.

Jitihada za kumtafuta Cr7 ( Mnyama ) zinaendelea na pia tunaomba akiweza kupatikana au menejiment yake ( Jay juve ) wathibitishe hadharani Boss Java ametoa siku 3 za kuthibitisha, baada ya hapo Ngoma ichezwe,,,


Naomba kuwasilisha,,,,,,
 
Sisco alikua anazidiwa 1M na Feisal

Na hapo bado hujapiga hesabu baada ya kodi ya TRA wanayokata
 
Kwa hiyo mkuu ndio kusema saizi bingwa wa draft bongo ni Sisco?
 
Sisco alikua anazidiwa 1M na Feisal

Na hapo bado hujapiga hesabu baada ya kodi ya TRA wanayokata
[emoji91][emoji91][emoji91] EXCLUSIVE [emoji91][emoji91][emoji91]



MKULIMA [emoji89] vs NOEL NAMALOWE



.... CONFIRMED ....



MDA: Saa 4 usiku leo.


ZAWADI: 60K tsh ( Noel azuie sare ngoma 24)



Raisi wa WATU HURU, Kamanda ISSA @⁨Issa Mwakyoma⁩ almaarufu PUTIN ameonekana kutoridhishwa kabisa na matokeo ya game ya DOGO SISCO na [emoji89] akidai kuwa hakukuwa na ulazma wa kijana wake kufungwa.



Kuhusiana na swala la game kuchezwa usiku kwaanzia saa 4... Hii ni KUTOKANA NA MAJUKUMU YA KIMATAIFA ALIYONAYO MKULIMA[emoji89]... MDA huu ndio huwa tulivu kwake hivyo TUNAOMBA RADHI SANA.



UNAPOLIZUNGUMZIA DRAFT UNAMZUNGUMZIA MKULIMA [emoji89].... NAJUA NI KASHFA KWENU KUSHINDWA KUZUIA SARE KATIKA MICHEZO 24 LAKINI SINA NAMNA YA KUWASAIDIA LAZMA NIWAPITISHE KWENYE TANULI LA MOTO ILI MKOMAE [emoji89]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…